Jumatatu, 9 Aprili 2018

Umeme wa Mashariki | Maana ya Kuwa Mwanadamu Halisi

Injili, Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu

Umeme wa Mashariki | Maana ya Kuwa Mwanadamu Halisi

Mwenyezi Mungu alisema, Kumsimamia mwanadamu ndio Kazi Yangu, na ushindi Wangu dhidi yake ni kitu ambacho kilikuwa hata zaidi kimeshaamuliwa kabla Nilipoiumba dunia. Watu huenda hawajui kwamba Nitashinda kabisa katika siku za mwisho na pia huenda hawajui kwamba ushahidi Wangu kumshinda Shetani ni kuwashinda wale walio waasi miongoni mwa binadamu.

Umeme wa Mashariki | Christian movie Video Swahili | "Saa ya Giza Kabla ya Mapambazuko" Trailer

Umeme wa Mashariki | Christian movie Video Swahili | "Saa ya Giza Kabla ya Mapambazuko" Trailer

    Tangu kilipokuja mamlakani katika China Bara mnamo mwaka wa 1949, Chama Cha Kikomunisti cha China kimekuwa hakikomi katika mateso yake kwa imani ya kidini. Kwa wayowayo kimewashika na kuwaua Wakristo, kuwafukuza na kuwadhulumu wamishonari wanaofanya kazi nchini China, wakachukua ngawira na kuchoma nakala nyingi za Biblia, wakafunga kabisa na kubomoa majengo ya kanisa, na bila mafanikio wakajaribu kukomesha makanisa yote ya nyumbani.

Jumapili, 8 Aprili 2018

Christian movie Video Swahili | Nyendo za Mateso ya Kidini "Mhalifu ni Nani?" Trailer

Umeme wa Mashariki | Christian movie Video Swahili | Nyendo za Mateso ya Kidini "Mhalifu ni Nani?" Trailer

    Tangu kilipokuja mamlakani katika China Bara mnamo mwaka wa 1949, Chama Cha Kikomunisti cha China kimekuwa hakikomi katika mateso yake kwa imani ya kidini. Kwa wayowayo kimewashika na kuwaua Wakristo, kuwafukuza na kuwadhulumu wamishonari wanaofanya kazi nchini China, wakachukua ngawira na kuchoma nakala nyingi za Biblia, wakafunga kabisa na kubomoa majengo ya kanisa, na bila mafanikio wakajaribu kukomesha makanisa yote ya nyumbani.

Jumamosi, 7 Aprili 2018

Umeme wa Mashariki | Matukio Aliyopitia Petro: Ufahamu Wake wa Adabu na Hukumu

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mungu, Umeme wa Mashariki
Umeme wa Mashariki | Matukio Aliyopitia Petro: Ufahamu Wake wa Adabu na Hukumu

Umeme wa Mashariki | Matukio Aliyopitia Petro: Ufahamu Wake wa Adabu na Hukumu

Mwenyezi Mungu alisema, Alipokuwa akiadibiwa na Mungu, Petro aliomba, “Ee Mungu! Mwili wangu ni mkaidi, na unaniadibu na kunihukumu mimi. Nafurahi katika adabu Yako na hukumu, na hata kama Hunitaki mimi, katika hukumu Yako mimi ninaona tabia Yako takatifu na tabia Yako ya haki. Unaponihukumu, ili wengine wapate kuiona hali Yako ya haki katika hukumu Yako, ninaridhika.

Umeme wa Mashariki | Dondoo ya Filamu ya Bwana Wangu Ni Nani – Je, Kazi na Maneno Yote ya Mungu Yamo katika Biblia?

Dondoo ya Filamu ya Bwana Wangu Ni Nani – Je, Kazi na Maneno Yote ya Mungu Yamo katika Biblia?

    Dunia nzima ya kidini yote huamini kwamba kazi na maneno ya Mungu yote yamo katika Biblia, na kwamba isipokuwa Biblia, hakuna maneno yaliyonenwa na Mungu na kazi Yake. Kwa hiyo, ili mradi uko mwaminifu kwa Biblia, hili litahakikisha kwamba utaweza kuingia ufalme wa mbinguni.

Ijumaa, 6 Aprili 2018

Umeme wa Mashariki | Kuelezea Wazi Uhusiano Kati ya Biblia na Mungu | "Biblia na Mungu" ( Video za Kikristo ) Swahili

Kuelezea Wazi Uhusiano Kati ya Biblia na Mungu | "Biblia na Mungu" ( Video za Kikristo ) Swahili

    Liu Zhizhong ni mzee katika kanisa moja la mtaani la nyumba nchini China. Amekuwa muumini kwa zaidi ya miaka 30, na amesisitiza bila kukoma kwamba "Biblia ni ufunuo wa Mungu," "Biblia inamwakilisha Mungu, kuamini katika Mungu ni kuamini katika Biblia, kuamini katika Biblia ni kuamini katika Mungu."

Umeme wa Mashariki | 12. Wakati wa Uzoefu Mmoja Niliona Ulinzi wa Mungu

Yongxin, Jiji la Yibin, Mkoa wa Sichuan
Hatukuwahi kumwamini Mungu kabla. Mnamo mwaka wa 2005, tukitiwa moyo na Mungu, mume wangu, baba mkwe wangu, mjomba wangu, na mimi wote tuliikubali kazi ya Mungu ya siku za mwisho. Baada ya muda mfupi, kanisa lilinipangia kufanya wajibu wa kuhifadhi vitabu.