Jumatatu, 21 Agosti 2017

Tafuteni Maana ya Maisha - "Kwa Ajili ya Nani Mtu Aishi" (Video Rasmi ya...


 
Kwa Ajili ya Nani Mtu Aishi
I
Haikuwa wazi ni kwa ajili ya nani mtu anapaswa kuishi. Sasa nina jibu kwa hilo.
Nilikuwa naishi tu kwa ajili yangu mwenyewe, kutafuta hadhi tu na umaarufu.
Maombi kwa Mungu yaliyojaa maneno mema, lakini nikishikilia njia zangu mwenyewe katika maisha halisi.
Imani juu ya msingi wa kesho na majaliwa, sina ukweli au uhalisi. Mila na sheria, zikifungia imani yangu; sikubaki na kitu ila utupu.
Najichukia kwa kuwa sikuwa na dhamira, kutomtii Mungu na kuvunja moyo wake.
Kushindwa kuishi kama binadamu, sistahili upendo wa Mungu kwa ajili yangu. II Moyo wangu umeamshwa sasa, ukiniambia ni lazima nilipe upendo wa Mungu.
Hukumu ya Mungu hunifanya nione, nilikuwa nimepotoshwa na Shetani kabisa.
Kamwe sijawahi kuutunza moyo wa Mungu; kamwe sikuwahi kujishughulisha na maneno Yake. Bila dhamiri, kutokuwa na hisi, ni jinsi gani naweza kuorodheshwa kama mtu? Maovu, dunia hii, iliyojaa mitego, Ukweli ndio muumini lazima achague.
Najishughulisha kugharimia rasilmali kwa ajili ya Mungu, kujitoa mwenyewe kulipa upendo wake,
Ee Mungu mpenzi, Unanipenda sana, kufanya kila Unaloweza kunifanya niokolewe. Kile Ulichonifanyia, nitakiweka kwa kumbukumbu! Kamwe sitasahau milele. Utunzaji wa moyo wa Mungu, hayo ni mapenzi yangu yote. Nina kusudio la kufuata ukweli. kujitoa mwenyewe kulipa upendo wake.
Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wan aikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.
kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya



Hakuna maoni:

Chapisha Maoni