Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Roho-Mutakatifu-natoa-saut. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Roho-Mutakatifu-natoa-saut. Onyesha machapisho yote

Jumatano, 15 Novemba 2017

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Tamko La Tano

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki

Mwenyezi Mungu alisema, Wakati Roho Wangu anatoa sauti, Anaonyesha hali nzima ya tabia Yangu. Je, wewe unalifahamu hili? Kutolifahamu hili katika hatua hii itakuwa sawa na kunipinga moja kwa moja. Je umeona umuhimu ulioko humu? Je, unajua juhudi kiasi gani, kiasi gani cha nguvu, Ninatumia juu yako? Je, unaweza thubutu kuweka wazi kila ulichofanya mbele Yangu? Na mna ujasiri wa kujiita watu Wangu usoni Mwangu—hamna hisia za aibu, pia, bila mantiki yoyote!