Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Umeme wa Mashariki. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Umeme wa Mashariki. Onyesha machapisho yote

Ijumaa, 13 Julai 2018

6. Moto Ulioshtua Taifa katika Wilaya ya Ji, Mji wa Tianjin

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mungu, Umeme wa Mashariki


6. Moto Ulioshtua Taifa katika Wilaya ya Ji, Mji wa Tianjin

Chen Yao, Tianjin
Jengo la Laide lilikuwa mojawapo ya vituo vikubwa zaidi vya ununuzi katika wilaya ya Ji. Juni 30, mwaka wa 2012 ilikuwa ni Jumamosi, na Laide lilikuwa na ukuzaji wa bidhaa, hivyo kulikuwa na idadi kubwa ya wateja. Wakati fulani baada ya saa tisa alasiri hiyo, jengo likashika moto ghafla. Mkuu wa jengo, akiogopa kuwa wateja katika machafuko haya wangechukua vitu au kutolipa, alifunga na kuweka vizuizi kwa lango kuu kwenye ghorofa ya kwanza, na kuwafukuza wateja hadi ghorofa ya pili na ya tatu.

Jumatano, 18 Oktoba 2017

Sura ya 29. Mtu Lazima Ajue Jinsi Ambayo Mungu Hufanya Kazi

Kazi ya Mungu, iwe ni kwa mwili au kwa Roho, yote inafanywa kulingana na mpango wa usimamizi. Kazi Yake haifanywi kulingana na kama ni ya umma au ya kibinafsi, au kulingana na mahitaji ya mwanadamu—inafanywa kikamilifu kulingana na mpango wa usimamizi.

Alhamisi, 21 Septemba 2017

Umeme wa Mashariki | 3. Asili na Maendeleo ya Kanisa la Mwenyezi Mungu

Asili na Maendeleo ya Kanisa la Mwenyezi Mungu


Katika Enzi ya Neema, Bwana Yesu aliwaahidi wafuasi wake, “Basi mimi nikienda na kuwaandalia mahali, nitakuja tena niwakaribishe kwangu; ili nilipo mimi, nanyi muwepo.” (Yohana 14:3) Kadhalika Alitabiri, “Kwa maana kama umeme utokavyo mashariki, na kumulika hata magharibi; hivyo ndivyo ujio wake Mwana wa Adamu utakavyokuwa.

Ijumaa, 8 Septemba 2017

Mwenyezi Mungu | Wewe U Mwaminifu kwa Nani?

Mwenyezi Mungu |  Wewe U Mwaminifu kwa Nani?


Kila siku unayoiishi sasa ni ya maana sana na muhimu sana kwa hatima yako na majaliwa yako, kwa hivyo unapaswa kufurahia kila ulicho nacho na kila dakika inayopita. Unapaswa kutumia muda wako vizuri ili uweze kujinufaisha, ili usije kuishi maisha haya bure. Pengine unajihisi kukanganyikiwa unaojiuliza ni kwa nini Ninazungumza maneno haya. Kwa kweli, Sijapendezwa na matendo ya yeyote kati yenu.

Ijumaa, 25 Agosti 2017

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Je, Wewe ni Muumini wa Kweli wa Mungu?

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Je, Wewe ni Muumini wa Kweli wa Mungu?


Huenda ikawa safari yako ya imani katika Mungu imekuwa ndefu zaidi ya mwaka mmoja au miwili, na labda kwa maisha yako umestahimili ugumu mwingi miaka hii yote; au labda haujapitia ugumu na badala yake umepokea neema nyingi. Kuna uwezekano pia kuwa hujapitia ugumu wala kupokea neema, na badala yake umeishi maisha ya kawaida tu. Hiyo haijalishi, kwani wewe bado u mfuasi wa Mungu, kwa hivyo tushirikiane kuhusu mada ya kumfuata Mungu. 

Jumapili, 20 Agosti 2017

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Ngurumo Saba Zatoa Sauti - Zikitabiri Kuwa Injili Ya Ufalme Itaenea Kote Ulimwenguni

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mungu, Umeme wa Mashariki

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Ngurumo Saba Zatoa Sauti - Zikitabiri Kuwa Injili Ya Ufalme Itaenea Kote Ulimwenguni


Mimi hueneza kazi Yangu katika mataifa. Katika ulimwengu mzima unang’aa utukufu Wangu; mapenzi Yangu yamo katika mtawanyiko wa wanadamu, wote wakiongozwa kwa mkono Wangu na kufanya kazi Ninayosambaza. Kuanzia sasa, Ninaingia enzi mpya na kuleta watu wote katika ulimwengu mwingine. Ninaporudi katika "nchi Yangu," Ninaanza sehemu nyingine ya kazi katika mpango Wangu wa awali ili mwanadamu aje kujua zaidi kunihusu.

Jumamosi, 19 Agosti 2017

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Mwanadamu Anaweza Kuokolewa Tu Katikati ya Usimamizi wa Mungu

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Mwanadamu Anaweza Kuokolewa tu Katikati ya Usimamizi wa Mungu


Kila mtu anahisi kuwa usimamizi wa Mungu ni wa ajabu, kwa sababu watu wanafikiri kuwa usimamizi wa Mungu hauna uhusiano wowote na mwanadamu. Wanafikiri kuwa usimamizi wa Mungu ni kazi ya Mungu pekee, shughuli za Mungu, na hivyo wanadamu hawajali kuhusu usimamizi wa Mungu. Kwa njia hii, kuokolewa kwa wanadamu kumekuwa kusiko yakini na kusiko dhahiri, na kumebaki tu maneno matupu.

Alhamisi, 17 Agosti 2017

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Mungu Anaongoza Majaliwa ya Wanadamu Wote

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Mungu Anaongoza Majaliwa ya Wanadamu Wote


Kama washiriki wa jamii ya binadamu na Wakristo wamchao Mungu, ni jukumu na wajibu wetu wote kutoa akili na mwili wetu kwa kutimiza agizo la Mungu, kwani uhai wetu wote ulitoka kwa Mungu, na upo kwa sababu ya ukuu wa Mungu. Kama akili zetu na miili yetu si kwa ajili ya agizo la Mungu na si kwa sababu ya haki ya mwanadamu, basi nafsi zetu hazina thamani kwa wale waliokufa kishahidi kwa ajili ya agizo kwa Mungu, na thamani ndogo zaidi kwa Mungu, aliyetupa kila kitu.