Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo siku za mwisho. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo siku za mwisho. Onyesha machapisho yote

Ijumaa, 13 Julai 2018

6. Moto Ulioshtua Taifa katika Wilaya ya Ji, Mji wa Tianjin

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mungu, Umeme wa Mashariki

6. Moto Ulioshtua Taifa katika Wilaya ya Ji, Mji wa Tianjin

Chen Yao, Tianjin
Jengo la Laide lilikuwa mojawapo ya vituo vikubwa zaidi vya ununuzi katika wilaya ya Ji. Juni 30, mwaka wa 2012 ilikuwa ni Jumamosi, na Laide lilikuwa na ukuzaji wa bidhaa, hivyo kulikuwa na idadi kubwa ya wateja. Wakati fulani baada ya saa tisa alasiri hiyo, jengo likashika moto ghafla. Mkuu wa jengo, akiogopa kuwa wateja katika machafuko haya wangechukua vitu au kutolipa, alifunga na kuweka vizuizi kwa lango kuu kwenye ghorofa ya kwanza, na kuwafukuza wateja hadi ghorofa ya pili na ya tatu.