Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Yehova. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Yehova. Onyesha machapisho yote

Ijumaa, 19 Januari 2018

Ukweli wa Ndani wa Kazi ya Kushinda (2) | Umeme wa Mashariki

Ukweli wa Ndani wa Kazi ya Kushinda (2) | Umeme wa Mashariki


Ukweli wa Ndani wa Kazi ya Kushinda (2)Umeme wa Mashariki


Mwenyezi Mungu alisema, Mlikuwa mnatafuta kutawala kama wafalme, na leo bado hamjaacha kabisa suala hili; bado mnatamani kutawala kama wafalme, kushikilia mbingu na kuhimili dunia. Sasa, fikiria kuhusu hilo: Je, unazo sifa kama hizo? Je, huoni unakuwa mtu mpumbavu? Je, mnachokitafuta na kujitolea umakini wenu kwacho ni cha uhalisi?

Ijumaa, 29 Desemba 2017

Mungu ni Mungu | "Zingatia Majaliwa ya Binadamu" | Swahili Christian Song

Mungu ni Mungu | "Zingatia Majaliwa ya Binadamu" | Swahili Christian Song


Zingatia Majaliwa ya Binadamu
Mungu awahimiza makabila yote, mataifa na nyanja zote:
Sikizeni sauti Yake, muione kazi Yake;
mzingatie hatima ya wanadamu;
mfanye Mungu Mtakatifu na Mheshimiwa, Mkuu na wa pekee wakuabudiwa,

Jumapili, 24 Desemba 2017

Kazi Katika Enzi ya Sheria | Umeme wa Mashariki

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki
Kazi Katika Enzi ya Sheria | Umeme wa Mashariki

Kazi Katika Enzi ya Sheria|Umeme wa Mashariki


Mwenyezi Mungu alisema, Kazi ambayo Yehova alifanya kwa Waisraeli ilianzisha mahali pa Mungu pa asili miongoni mwa binadamu, ambapo pia palikuwa pahali patakatifu ambapo Alikuwapo. Aliwekea kazi Yake mipaka kwa watu wa Israeli. Mwanzoni, Hakufanya kazi nje ya Israeli; badala yake, Aliwachagua watu Aliowaona kuwa wa kufaa ili kuzuia eneo la kazi Yake. Israeli ni mahali ambapo Mungu aliwaumba Adamu na Hawa, na kutoka katika mavumbi ya mahali hapo Yehova alimuumba mwanadamu;

Jumatano, 25 Oktoba 2017

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Unajua Nini Kuhusu Imani?

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Wakristo
Kanisa la Mwenyezi Mungu | Unajua Nini Kuhusu Imani?

Mwenyezi Mungu alisema: Ndani ya binadamu, kunalo neno lisilokuwa la uhakika, ilhali binadamu hajui imani inajumuisha nini, na vilevile hajui ni kwa nini anayo imani. Binadamu huelewa kidogo sana, na binadamumwenyewe amepungukiwa sana; yeye anakuwa tu na imani ndani Yangu bila kujali na bila kujua. Ingawa hajui imani ni nini wala ni kwa nini anayo imani ndani Yangu, anaendelea kufanya hivyo kwa shauku mno.

Jumatatu, 23 Oktoba 2017

Mafanikio au Kushindwa Kunategemea Njia Ambayo Mwanadamu Hutembea

Umeme wa Mashariki, Mwenyezi Mungu, Kanisa la Mwenyezi Mungu

Umeme wa Mashariki | Mafanikio au Kushindwa Kunategemea Njia Ambayo Mwanadamu Hutembea

Watu wengi wanamwamini Mungu kwa ajili ya hatima yao ya baadaye au kwa ajili ya starehe ya muda mfupi. Kwa wale ambao hawajapitia ushughulikiaji wowote, imani kwa Mungu ni kwa ajili ya kuingia mbinguni, ili kupata tuzo.Sio ili kufanywa wawe na ukamilifu, au kutekeleza wajibu wa kiumbe wa Mungu.

Alhamisi, 21 Septemba 2017

Umeme wa Mashariki | 3. Asili na Maendeleo ya Kanisa la Mwenyezi Mungu

Asili na Maendeleo ya Kanisa la Mwenyezi Mungu


Katika Enzi ya Neema, Bwana Yesu aliwaahidi wafuasi wake, “Basi mimi nikienda na kuwaandalia mahali, nitakuja tena niwakaribishe kwangu; ili nilipo mimi, nanyi muwepo.” (Yohana 14:3) Kadhalika Alitabiri, “Kwa maana kama umeme utokavyo mashariki, na kumulika hata magharibi; hivyo ndivyo ujio wake Mwana wa Adamu utakavyokuwa.