Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Israeli. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Israeli. Onyesha machapisho yote

Jumapili, 24 Desemba 2017

Kazi Katika Enzi ya Sheria | Umeme wa Mashariki

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki
Kazi Katika Enzi ya Sheria | Umeme wa Mashariki

Kazi Katika Enzi ya Sheria|Umeme wa Mashariki


Mwenyezi Mungu alisema, Kazi ambayo Yehova alifanya kwa Waisraeli ilianzisha mahali pa Mungu pa asili miongoni mwa binadamu, ambapo pia palikuwa pahali patakatifu ambapo Alikuwapo. Aliwekea kazi Yake mipaka kwa watu wa Israeli. Mwanzoni, Hakufanya kazi nje ya Israeli; badala yake, Aliwachagua watu Aliowaona kuwa wa kufaa ili kuzuia eneo la kazi Yake. Israeli ni mahali ambapo Mungu aliwaumba Adamu na Hawa, na kutoka katika mavumbi ya mahali hapo Yehova alimuumba mwanadamu;