Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Filamu-za-Injili. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Filamu-za-Injili. Onyesha machapisho yote

Jumatatu, 21 Januari 2019

Filamu za Injili | "Nimewahi Treni ya Mwisho" | Entering the Ark of the Last Days

Filamu za Injili | "Nimewahi Treni ya Mwisho" | Entering the Ark of the Last Days

Chen Peng alikuwa mchungaji katika kanisa la nyumba fulani. Alikuwa akimtumikia Bwana kwa bidii, na mara nyingi alifanya kazi kama mhubiri, akiwasaidia wafuasi wake, na kulibebea kanisa mizigo mizito. Lakini katika miaka ya hivi karibuni, kanisa lilizidi kuwa tupu zaidi na zaidi. Waumini walikuwa na roho dhaifu na wavivu, wakikosa mkutano baada ya mkutano. Na hivyo Mchungaji Chen aliona giza likiangukia nafsi yake, kana kwamba kisima cha roho yake kilikuwa kikavu, na hakuweza kuhisi uwepo wa Bwana.

Ijumaa, 18 Januari 2019

Best Swahili Full Christian Movie | "Wimbo wa Ushindi" | Preaching the Gospel of the Last Days

Best Swahili Full Christian Movie | "Wimbo wa Ushindi" | Preaching the Gospel of the Last Days

Kazi ya hukumu ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho imevuma katika kila farakano na kikundi. Kufuatia kuenea kwa injili ya ufalme, maneno ya Mwenyezi Mungu yanakubaliwa na kuenezwa na watu zaidi na zaidi, waumini wa kweli katika Mungu ambao wana kiu ya Yeye kuonekana wamekuwa wakirudi mmoja kwa mmoja mbele ya kiti cha enzi cha Mungu. Kwa sasa, serikali ya China na wachungaji na wazee wa kanisa wa kidini wamelizuia na kulitesa Kanisa la Mwenyezi Mungu bila kukoma tangu mwanzo hadi mwisho. 

Jumatatu, 5 Novemba 2018

Swahili Gospel Video Clip "Mungu Akitoa Sheria"

Swahili Gospel Video Clip "Mungu Akitoa Sheria"

Baada ya Musa kuwaongoza Waisraeli kutoka Misri, Mungu alitangaza sheria na amri, ambazo ziliyaongoza maisha ya Waisraeli duniani na kuwafundisha watu jinsi ya kumwabudu Mungu. Sheria hizi hazikuwaongoza tu Waisraeli, lakini ziliarifu na kutoa matarajio kwa kuundwa kwa katiba kwa vizazi vijavyo, kuweka msingi kwa mifumo ya kisheria ya wanadamu wa baadaye.


Yaliyopendekezwa: Kuhusu Kanisa la Mwenyezi MunguFilamu za Injili

Jumapili, 21 Oktoba 2018

Filamu za Injili | "Kupita Katika Mtego" | Jinsi ya Kutambua Kiini cha Mafarisayo wa Kidini

Filamu za Injili | "Kupita Katika Mtego" | Jinsi ya Kutambua Kiini cha Mafarisayo wa Kidini

Wachungaji na wazee wa ulimwengu wa dini wote ni watu wanaomtumikia Mungu katika makanisa. Wao mara nyingi wanaisoma Biblia na kutoa mahubiri kwa waumini, wawawaombea na kuwaonyesha huruma, lakini kwa nini tunasema wao ni Mafarisayo wa uongo? Hasa kuhusiana na kuchukilia kwao kurudi kwa Bwana, wao huwatafuti au kuchunguza kitu chochote, lakini kinyume chake wanakataa na kuhukumu kazi ya Mwenyezi Mungu. Kwa nini hasa ni hivi?

Yaliyopendekezwa: Asili ya Kanisa la Mwenyezi Mungu

Alhamisi, 18 Oktoba 2018

Filamu za Injili | "Kupita Katika Mtego" | Mtu Anaweza Kuokolewa kwa Kumwamini Bwana Katika Dini?

Filamu za Injili | "Kupita Katika Mtego" | Mtu Anaweza Kuokolewa kwa Kumwamini Bwana Katika Dini?

Ndani ya dini, kuna watu wengi ambao wanaamini kwamba, ingawa wachungaji na wazee wanashikilia mamlaka katika ulimwengu wa dini na kutembea njia ya Mafarisayo wafiki, ingawa wanakubali na kuwafuata wachungaji na wazee, wanaamini katika Bwana Yesu, si katika wachungaji na wazee, hivyo basi inawezaje kusemwa kuwa njia wanayoyotembea pia ni ile ya Mafarisayo? Je, mtu kweli hawezi kuokolewa kwa kumwamini Mungu ndani ya dini?

Sikiliza zaidi: Filamu za ushuhuda za injili, Chanzo cha Mafanikio ya Umeme wa Mashariki

Alhamisi, 11 Oktoba 2018

Swahili Christian Movie Segment - Rekodi ya Kazi ya Mungu ya Kuumba Ulimwengu na Kuwaongoza na Kuwakomboa Wanadamu (Gospel Music)

Swahili Christian Movie Segment - Rekodi ya Kazi ya Mungu ya Kuumba Ulimwengu na Kuwaongoza na Kuwakomboa Wanadamu (Gospel Music)

Je, unataka kujua jinsi Mungu alivyouumba ulimwengu? Je, unataka kujua jinsi Mungu amewaongoza wanadamu hatua kwa hatua hadi leo? Sehemu hii ya ajabu kutoka kwa filamu ya Kikristo, "Yule Anayeshikilia Ukuu Juu Ya Kila Kitu", imerekodi kazi ya Mungu ya kuumba ulimwengu na kuwaongoza na kuwakomboa wanadamu. Itakufichulia majibu haya.

Jumanne, 9 Oktoba 2018

Video za Kikristo | "Kaa Mbali na Shughuli Zangu" | Christ Is My Lord and My God

Video za Kikristo | "Kaa Mbali na Shughuli Zangu" | Christ Is My Lord and My God

Li Qingxin ni mhubiri katika kanisa la nyumba nchini Uchina ambaye amekuwa mwaminifu kwa Bwana kwa miaka mingi. Siku zote kwa shauku kubwa anaifanya kazi ya Bwana ya kuieneza injili, akisubiri kwa uangalifu kuja kwa Bwana ili amlete hadi kwenye ufalme wa mbinguni. Katika miaka ya hivi majuzi, Li Qingxin amegundua kwamba vikundi na makanisa mbalimbali yamekuwa na ukiwa zaidi. Umeme wa Mashariki, hata hivyo, limekuwa la kusisimua zaidi, licha ya shutuma na mateso mengi yenye mhemko kutoka kwa serikali ya Kikomunisti ya Uchina na jamii ya dini. Kondoo wazuri zaidi na zaidi na kondoo viongozi wa madhehebu na vikundi mbalimbali wamekubali Umeme wa Mashariki. Hii inamsababisha Li Qingxin kujichunguza kiasi fulani. Hasa, ameona kwamba wachungaji na wazee wa kanisa wa jamii ya dini hawasiti kuzua uvumi na upuzi mbalimbali wa kushutumu na kulichafua jina la Kanisa la Mwenyezi Mungu.

Alhamisi, 27 Septemba 2018

Dondoo za Filamu za Injili "Sauti Nzuri Ajabu" (1) - Je, Ni Vipi Unabii wa Kurudi kwa Bwana Yesu Unatimia?

Dondoo za Filamu za Injili "Sauti Nzuri Ajabu" (1) - Je, Ni Vipi Unabii wa Kurudi kwa Bwana Yesu Unatimia?

Filamu za Injili | Watu wengi katika ulimwengu wa kidini hufuata unabii unaosema kwamba Bwana atashuka akiwa juu ya wingu na wanamsubiria Yeye kuja kwa njia hiyo kisha kuwanyakua hadi kwenye ufalme wa mbinguni, lakini wanapuuza unabii mbalimbali wa Bwana kuhusu kuja kwa siri: "Tazama, mimi nakuja kama mwizi" (Ufunuo 16:15). "Na kukawa na kelele saa sita ya usiku, Tazama, anakuja bwana arusi; ondokeni nje ili kumkaribisha" (Mathayo 25:6). Hivyo unabii huu mbalimbali wa kurudi kwa Bwana unatimizwa vipi? Na tunafaa kuwa vipi wanawali wenye hekima ambao wanakaribisha kurudi kwa Bwana?




Jumatano, 26 Septemba 2018

Dondoo za Filamu za Injili "Sauti Nzuri Ajabu" (2) - Tunawezaje Kuwa na Uhakika kuwa Bwana Yesu Tayari Amerudi?

Dondoo za Filamu za Injili "Sauti Nzuri Ajabu" (2) - Tunawezaje Kuwa na Uhakika kuwa Bwana Yesu Tayari Amerudi?

Tangu makanisa yalipoanza kukumbwa na ukiwa, ndugu wengi katika Bwana wamehisi kwa uwazi ukosefu wa kazi ya Roho Mtakatifu na uwepo wa Bwana, na wote wanatamani kurudi kwa Bwana. Lakini wakati tunaposikia habari ya kwamba Bwana Yesu tayari amerudi, tunawezaje kuwa na uhakika wa hili?

Jumapili, 23 Septemba 2018

Swahili Christian Movie "Kutamani Sana" (4) - Je, Ufalme wa Mbinguni uko Mbinguni au Ulimwenguni?

Swahili Christian Movie "Kutamani Sana" (4) - Je, Ufalme wa Mbinguni uko Mbinguni au Ulimwenguni?

Watu wengi walio na imani kwa Bwana wanasadiki kwamba ufalme wa mbinguni uko mbinguni. Je, hivyo ndivyo ilivyo kwa kweli? Sala ya Bwana inasema: "Baba yetu uliye mbinguni, Jina lako litukuzwe. Ufalme wako uje, Mapenzi yako yatimizwe, hapa duniani kama huko mbinguni" (Mathayo 6:9-10). Kitabu cha Ufunuo kinasema, "Falme za dunia zimekuwa falme za Bwana wetu, na za Kristo wake" (Ufunuo 11:15). "Mji mtakatifu, Yerusalemu mpya, ukishuka kutoka kwa Mungu mbinguni, … maskani ya Mungu yako pamoja na wanadamu" (Ufunuo 21:2-3). Hivyo, ufalme wa mbinguni uko mbinguni au ulimwenguni?

Yaliyopendekezwa: Kuhusu Kanisa la Mwenyezi MunguFilamu za Injili

Jumatano, 19 Septemba 2018

Have You Been Rapturned? | "Kutamani Sana" | Swahili Christian Movie

Have You Been Rapturned? | "Kutamani Sana" | Swahili Christian Movie

Miaka elfu mbili iliyopita, Bwana Yesu aliwaahidi wafuasi Wake: "Naenda kuwatayarishia mahali. Na nikienda kuwatayarishia mahali, nitarudi tena na kuwapokea kwangu; ili mahali nipo, muweze kuwa pia" (Yohana 14:2-3). Kwa sababu ya hili, vizazi vya waumini vimeendelea kujawa na tumaini na kushikilia maombi kwa ajili ya kutimizwa kwa ahadi ya Bwana, na kutumaini na kuomba kwamba wanyakuliwe hadi kwenye mbingu ili kukutana na Bwana na kuingia katika ufalme wa mbinguni wakati Bwana atakapokuja.

Jumamosi, 15 Septemba 2018

Swahili Christian Movie "Ujinga Angamizi" | Why Can’t Foolish Virgins Enter the Kingdom of Heaven?

Swahili Christian Movie "Ujinga Angamizi" | Why Can’t Foolish Virgins Enter the Kingdom of Heaven?

    Zheng Mu'en ni mfanyakazi mwenza katika kanisa la Kikristo nchini Marekani, amemwamini Bwana kwa miaka mingi, na anafanya kazi kwa bidii na humtumia Bwana. Siku moja, shangazi yake anashuhudia kwake kwamba Bwana Yesu amerudi kuonyesha ukweli na kufanya kazi ya kumhukumu na kumtakasa mtu katika siku za mwisho, habari ambazo zinampendeza sana.

Jumanne, 11 Septemba 2018

Sinema Fupi ya Injili "Kuamka Kutoka kwa Ndoto" (2) - Bila Utakatifu Hakuna Mwanadamu Atakayeingia katika Ufalme wa Mbinguni



Sinema Fupi ya Injili "Kuamka Kutoka kwa Ndoto" (2) - Bila Utakatifu Hakuna Mwanadamu Atakayeingia katika Ufalme wa Mbinguni

    Wakati dhambi zetu sisi wanaomwamini Bwana zinasamehewa, je, tunapokea utakaso? Ikiwa hatutajitahidi kupata utakaso, na kujali tu kutumika kwa ajili ya Bwana na kufanya kazi ya Bwana kwa uaminifu, je, tutanyakuliwa kuingia katika ufalme wa mbinguni? Filamu hii ya Kuamka Kutoka kwa Ndoto, itakupa majibu yote!


    Sikiliza zaidi:Kuhusu Kanisa la Mwenyezi MunguFilamu za Injili

Jumamosi, 1 Septemba 2018

Filamu za Kikristo "Ni Nani Anayemsulubisha Mungu Tena"



Filamu za Kikristo "Ni Nani Anayemsulubisha Mungu Tena"

Go Shoucheng ni mchungaji katika kanisa la nyumbani huko China. Amemwamini Bwana kwa miaka mingi, na amekuwa akishughulikia kwa mahubiri yake kwa uthabiti, na amekuwa kila mahali akihuburu injili. Amekamatwa na kutiwa jelani kwa sababu ya kuhubiri injilina kukaa miaka kumi na miwili gerezani. Baada ya kuondoka gerezani, Gu Shoucheng aliendelea kufanya kazi kanisani. Hata hivyo, wakati ambapo injili ya Mwenyezi Mungu ya ufalme ililijia kanisa alimo kuwa Gu Shoucheng,

Jumatano, 29 Agosti 2018

The Words the Holy Spirit Says to the Churches | "Sauti Nzuri Ajabu" | Filamu za Injili

The Words the Holy Spirit Says to the Churches | "Sauti Nzuri Ajabu" | Filamu za Injili

Dong Jingxin ni mhubiri katika kanisa la nyumba nchini Uchina. Amemsadiki Bwana kwa miaka thelathini, na anapenda ukweli, mara kwa mara yeye husoma maneno ya Bwana na yanamsisimua. Anajitumia kwa ajili ya Bwana kwa shauku kubwa. Kwa sababu ya kazi yake ya kuhubiri, alikamatwa na polisi wa serikali ya Kikomunisti ya Kichina na akafungwa gerezani ambako alivumilia ukatili na mateso. Maneno ya Bwana ndiyo yaliyomwongoza kwa kustahamili miaka saba ya maisha ya gerezani yasiyokuwa ya kibinadamu.

Jumatatu, 6 Agosti 2018

Sinema za Injili "Kutoka kwa Enzi Hububujika Maji ya Uzima" | Roho wa Ukweli Amekuja!

Sinema za Injili "Kutoka kwa Enzi Hububujika Maji ya Uzima" | Roho wa Ukweli Amekuja!

Tao Wei alikuwa mhubiri kutoka kanisa la nyumba. Kanisa lake lilipokuwa na ukiwa zaidi na zaidi siku baada ya siku, wafuasi wake wote wakawa walegevu na wenye roho dhaifu, na roho yake mwenyewe ilikuwa na giza. Yeye hakuweza tena kuhisi uwepo wa Bwana, na Tao Wei alichanganyikiwa, bila kujua la kufanya.

Jumapili, 8 Julai 2018

Swahili Gospel Full Movie "Fichua Siri Kuhusu Biblia" | Kufichua Hadithi ya Kweli ya Biblia


Swahili Gospel Full Movie "Fichua Siri Kuhusu Biblia" | Kufichua Hadithi ya Kweli ya Biblia


Feng Jiahui na wazazi wake waliamini katika Bwana tangu alipokuwa mdogo. Alipokuwa na umri wa miaka 18 aliingia katika shule ya seminari, na katika miaka yake ya 30 akawa mhubiri katika kanisa la nyumba huko Shanxi, Uchina. Kwa miaka mingi, Feng Jiahui alidumisha imani madhubuti ya kuwa Biblia ilitiwa msukumo na Mungu, na kwamba lazima tuamini katika Mungu kwa mujibu wa Biblia.

Jumatano, 27 Juni 2018

Gospel Film Swahili "Njia ya Kwenda katika Ufalme wa Mbinguni ni Yenye Hatari" | Follow God by the Way of the Cross

Gospel Film Swahili "Njia ya Kwenda katika Ufalme wa Mbinguni ni Yenye Hatari" | Follow God by the Way of the Cross


Zhong Xin ni mhubiri kutoka katika kanisa moja la nyumbani katika bara China. Amekuwa muumini katika Mungu kwa miaka mingi na kila mara amepitia kukamatwa na mateso ya CCP. Chuki yake ya CCP ni ya kina sana, na ameona wazi kwa muda mrefu sasa kwamba CCP ni utawala wa kishetani ambao unajiweka katika upinzani na Mungu.

Jumamosi, 19 Mei 2018

New Gospel Movie Swahili "Jina la Mungu Limebadilika?!" | Kufichua Siri ya Jina la Mungu

New Gospel Movie Swahili "Jina la Mungu Limebadilika?!" | Kufichua Siri ya Jina la Mungu


    Jina lake ni Wang Hua, na ni mhubiri wa kanisa la nyumbani Kusini mwa Uchina. Baada ya kuanza kumwamini Bwana, alipata kwenye Biblia kuwa Mungu aliitwa Yehova katika Agano la Kale, na aliitwa Yesukatika Agano Jipya. Ni kwa nini Mungu ana majina tofauti? Wang Hua alishangazwa sana na hili.

Jumatano, 16 Mei 2018

Umeme wa Mashariki | Latest Gospel Movie Swahili "Siri ya Utauwa: Mfuatano" | Ufunuo Mpya Zaidi wa Roho Mtakatifu

Latest Gospel Movie Swahili "Siri ya Utauwa: Mfuatano" | Ufunuo Mpya Zaidi wa Roho Mtakatifu


    Lin Bo'en ni mhubiri mzee ambaye amemwani Bwana kwa miongo mingi. Tangu alipomkubali Mwenyezi Mungu, Kristo wa siku za mwisho, alihukumiwa, akatengwa, na akafukuzwa kutoka kwa jumuiya ya kidini na wachungaji na wazee wa kanisa, nguvu zinazompinga Kristo.