Jumanne, 6 Novemba 2018

Tamko la Themanini na Mbili

Wote wanaogopa wanaposikia neno Langu. Wote wamejawa na hofu. Mnaogopa nini? Sitawaua! Ni kwa sababu mnahisi hatia na mnaogopa kugunduliwa. Yale unayoyafanya nyuma Yangu ni ya upuuzi na yasiyo na maana kabisa. Hili limenifanya Nikuchukie sana hivi kwamba Ninatamani sana Ningekuwa nimewatupa wale ambao Sikuwa nimewajaalia wala kuwachagua katika shimo lisilokuwa na mwisho wavunjwe vipande vipande. Hata hivyo, Nina mpango Wangu, Nina malengo Yangu.

Swahili Gospel Video Clip "Ahadi ya Mungu kwa Waisraeli"

Swahili Gospel Video Clip "Ahadi ya Mungu kwa Waisraeli"

Baada ya mamia ya miaka ya kuwekwa chini ya sheria, Waisraeli hatimaye walikabiliwa na hatari ya kuhukumiwa na kuuawa na sheria kwa sababu ya dhambi zao. Walimwita Mungu kwa haraka, ambaye aliwapa ahadi—ahadi ambayo ingezibadilisha kudura zao na kuweko. Hivyo ahadi hii ilikuwa nini hasa? Jibu limefichuliwa katika dondo hii ya filamu ya kustaajabisha ya Kikristo, Ahadi ya Mungu kwa Waisraeli.


Chanzo: Kanisa la Mwenyezi Mungu, Chanzo cha Mafanikio ya Umeme wa Mashariki

Jumatatu, 5 Novemba 2018

2. Kupata Mwili Ni Nini? Ni Nini Kiini cha Kupata Mwili? Aya za Biblia za Kurejelea:

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Kristo, Umeme wa Mashariki

I. Ni Lazima Mtu Ashuhudie Kipengele cha Ukweli Kuhusu Kupata Mwili kwa Mungu

2. Kupata Mwili Ni Nini? Ni Nini Kiini cha Kupata Mwili?

Aya za Biblia za Kurejelea:
"Na Neno alifanywa kuwa mwili, na akakaa kati yetu, (nasi tukautazama utukufu wake, utukufu kama ule wa Mwana wa pekee aliyezaliwa na Baba,) aliyejawa neema na ukweli" (YN. 1:14).

Swahili Gospel Video Clip "Mungu Akitoa Sheria"

Swahili Gospel Video Clip "Mungu Akitoa Sheria"

Baada ya Musa kuwaongoza Waisraeli kutoka Misri, Mungu alitangaza sheria na amri, ambazo ziliyaongoza maisha ya Waisraeli duniani na kuwafundisha watu jinsi ya kumwabudu Mungu. Sheria hizi hazikuwaongoza tu Waisraeli, lakini ziliarifu na kutoa matarajio kwa kuundwa kwa katiba kwa vizazi vijavyo, kuweka msingi kwa mifumo ya kisheria ya wanadamu wa baadaye.


Yaliyopendekezwa: Kuhusu Kanisa la Mwenyezi MunguFilamu za Injili

Jumapili, 4 Novemba 2018

2018 Gospel Music "Mungu Akiwaongoza Waisraeli Kutoka Misri" (Swahili Subtitles)

2018 Gospel Music "Mungu Akiwaongoza Waisraeli Kutoka Misri" (Swahili Subtitles)

Ili kuwaongoza Waisraeli kutoka Misri, Mungu alituma mapigo kumi Misri, akatumia mamlaka Yake kwa kutenganisha bahari, na kuwakomboa Waisraeli kutoka kwa maisha yao ya utumwa—yote ambayo yalidhihirisha uwezo Wake mkuu, na kueleza upendo Wake mkubwa na hangaiko Lake kwa wale wateule.

Yaliyopendekezwa: Asili ya Kanisa la Mwenyezi MunguKurudi kwa Yesu mara ya pili

1. Bwana Yesu Mwenyewe alitabiri ya kwamba Mungu angepata mwili katika siku za mwisho na kuonekana kama Mwana wa Adamu ili kufanya kazi.


Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki 
I. Ni Lazima Mtu Ashuhudie Kipengele cha Ukweli Kuhusu 
Kupata Mwili kwa Mungu

1. Bwana Yesu Mwenyewe alitabiri ya kwamba Mungu angepata mwili katika siku za mwisho na kuonekana kama Mwana wa Adamu ili kufanya kazi.

Aya za Biblia za Kurejelea:
"Na ninyi pia muwe tayari: maana katika saa kama hii msiyofikiria kuwa Mwana wa Adamu atakuja" (LK. 12:40).

Jumamosi, 3 Novemba 2018

Tamko la Themanini na Moja

Oh, enzi hii mbaya na yenye uzinzi! Nitakumeza! Mlima Sayuni! Simama unisifu Mimi! Kwa kukamilika kwa mpango Wangu wa usimamizi, kwa kukamilika kwa kazi Yangu kuu, ni nani athubutuye kutoinuka na kufurahi! Ni nani athubutuye kutoinuka na kuruka kwa furaha bila kukoma! Atakutana na kifo chake mkononi Mwangu. Mimi hutekeleza haki kwa kila mtu, bila huruma hata kidogo au upendo wa fadhila, na bila kupendelea. Watu wote! Simameni ili kutoa sifa, Nipeni utukufu! Utukufu wote usiokoma, kutoka milele hadi milele, upo kwa sababu Yangu na ulianzishwa na Mimi.