Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Kurudi-kwa-Yesu-mara-ya-pili. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Kurudi-kwa-Yesu-mara-ya-pili. Onyesha machapisho yote

Jumatatu, 9 Septemba 2019

Swali la 4: Wachungaji wa kidini na wazee wa kanisa mara nyingi huwahubiria waumini kwamba mahubiri yoyote yanayosema kwamba Bwana amekuja katika mwili ni uongo. Wao hutegemeza hili aya za Biblia: “Basi iwapo mtu yeyote atawaambia, Tazameni, Kristo yuko huku, au yuko pale; msiamini hili. Kwa kuwa wataibuka Makristo wasio wa kweli, na manabii wasio wa kweli, nao wataonyesha ishara kubwa na vioja; ili kwamba, ikiwezekana, watawadanganya walio wateule zaidi” (Mathayo 24: 23-24). Sasa hatuna habari tunavyofaa kumtambua Kristo wa kweli kutoka kwa wale wa uongo, hivyo tafadhali jibu swali hili.

Jibu:

    Bwana Yesu kweli alitabiri kwamba kungekuwa na Kristo wa uongo na manabii wa uongo katika siku za mwisho. Huu ni ukweli. Lakini Bwana Yesu pia alitabiri wazi mara nyingi kwamba Atarudi. Hakika tunaamini hivyo? Wakati wa kuchunguza unabii wa Bwana Yesu kurudi, watu wengi huupa kipaumbele wasiwasi wao wa Kristo wa uongo na manabii wa uongo. na kutotilia maanani jinsi ya kukaribisha kuwasili kwa bwana harusi, na jinsi ya kusikia sauti ya bwana harusi. Suala ni lipi hapa? Je, si hili ni jambo la kula kwa hofu ya kusongwa, ya kuwa mwenye busara katika umaskini na kuwa mjinga utajirini? Kwa kweli, bila kujali jinsi watu tunavyojihadhari dhidi ya Makristo wa uongo na manabii wa uongo, kama tusipokaribisha kurudi kwa Bwana, na hatuwezi kuelekwa mbele ya kiti cha enzi cha Mungu, sisi ni mabikira wapumbavu ambao wanaondolewa na kuachwa na Mungu, na imani yetu katika Bwana ni ya kushindwa kabisa! Cha msingi kuhusu kama au la tunaweza kukaribisha kurudi kwa Bwana ni kama au la tuna uwezo wa kusikia sauti ya Mungu.

Ijumaa, 6 Septemba 2019

Swali la 3: Unasema kwamba Bwana Yesu amerudi, kwa nini hatujamwona? Kuona ni kuamini. Kama hatujamwona, basi hilo lazima limaanishe kuwa Yeye hajarudi bado; nitaamini hilo nitakapomwona. Unasema kwamba Bwana Yesu amerudi, kwa hiyo Yuko wapi sasa? Anafanya kazi gani? Bwana Amesema maneno gani? Nitaliamini ukishuhudia kwa dhahiri mambo haya.

Jibu:

    Kuonekana kwa Mungu na kazi katika siku za mwisho ni kama tu Bwana Yesu alivyotabiri. Kuna sehemu mbili—kuwasili Kwake kwa siri na kuwasili Kwake hadharani. Kuwasili kwa siri kunamaanisha Mungu kupata mwili miongoni mwa wanadamu kama Mwana wa Adamu ili kutamka maneno Yake, na kufanya kazi Yake ya siku za mwisho. Huku ni kuwasili Kwake kwa siri. Kuwasili hadharani ni Bwana kuja kwa wazi na mawingu, yaani, Bwana kuwasili na watakatifu wengi sana, akionekana kwa mataifa yote na watu wote. Tunaposhuhudia kazi ya Mungu ya siku za mwisho kwa sasa, watu wengi wana mashaka: “Mnasema kwamba Mungu ameonekana na anafanya kazi.

Jumanne, 3 Septemba 2019

Swali la 1: Tunaamini kwamba kurudi kwa Bwana kutamaanisha kwamba waumini wanainuliwa moja kwa moja hadi katika ufalme wa mbinguni, kwa maana imeandikwa katika Biblia: “Baada ya hayo sisi ambao tuko hai na kusalia tutachukuliwa pamoja na wao mawinguni, kwa ajili ya kukutana na Bwana katika hewa: na hivyo tutakuwa naye Bwana daima” (1Wathesalonike 4:17). Unashuhudia kuwa Bwana Yesu amerejea, hivyo ni kwa nini sisi sasa tuko duniani na bado hatujanyakuliwa?

Swali la 1: Tunaamini kwamba kurudi kwa Bwana kutamaanisha kwamba waumini wanainuliwa moja kwa moja hadi katika ufalme wa mbinguni, kwa maana imeandikwa katika Biblia: “Baada ya hayo sisi ambao tuko hai na kusalia tutachukuliwa pamoja na wao mawinguni, kwa ajili ya kukutana na Bwana katika hewa: na hivyo tutakuwa naye Bwana daima” (1Wathesalonike 4:17). Unashuhudia kuwa Bwana Yesu amerejea, hivyo ni kwa nini sisi sasa tuko duniani na bado hatujanyakuliwa?

Jibu:

    Tunapaswa kutarajia kurudi kwa Bwana kulingana na unabii ambao Yeye Mwenyewe aliuzungumza. Hiyo ndiyo njia ya kawaida kabisa ya kusubiri kurudi kwa Bwana. Unamnukuu nani, kwa hakika? Je, unanukuu maneno ya Bwana au maneno ya wanadamu? “Kisha sisi tulio hai na tuliosalia tutanyakuliwa pamoja nao katika mawingu, ili tumlaki Bwana hewani,” ni nani aliyasema hayo? Je, hayo ni maneno ya Bwana Yesu? Bwana Yesu hajawahi kamwe kusema kitu chochote kama hicho. Roho Mtakatifu hakuwahi kamwe kusema hilo, pia. Maneno unayoamini na unayonukuu ni maneno ya Paulo. Je, maneno ya Paulo yanawakilisha maneno ya Bwana Yesu?

Ijumaa, 2 Agosti 2019

3. Biblia ilikusanywa na mwanadamu, sio na Mungu; Biblia haiwezi kumwakilisha Mungu

XI. Ni Lazima Mtu Ashiriki kwa Dhahiri Kipengele cha Ukweli Kuhusu Uhusiano kati ya Mungu na Biblia

3. Biblia ilikusanywa na mwanadamu, sio na Mungu; Biblia haiwezi kumwakilisha Mungu

Aya za Biblia za Kurejelea:

    “Tafuteni katika maandiko; kwa kuwa ndani yake mnafikiri kuwa mnao uhai wa milele: na nashuhudiwa na hayo. Nanyi hamkuji kwangu, ili mpate uhai” (Yohana 5:39-40).

    “Mimi ndiye njia, ukweli na uhai: hakuna mwanadamu ayaje kwa Baba, bali kwa njia yangu” (Yohana 14:6).

Jumapili, 4 Novemba 2018

1. Bwana Yesu Mwenyewe alitabiri ya kwamba Mungu angepata mwili katika siku za mwisho na kuonekana kama Mwana wa Adamu ili kufanya kazi.


Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki 
I. Ni Lazima Mtu Ashuhudie Kipengele cha Ukweli Kuhusu 
Kupata Mwili kwa Mungu

1. Bwana Yesu Mwenyewe alitabiri ya kwamba Mungu angepata mwili katika siku za mwisho na kuonekana kama Mwana wa Adamu ili kufanya kazi.

Aya za Biblia za Kurejelea:
"Na ninyi pia muwe tayari: maana katika saa kama hii msiyofikiria kuwa Mwana wa Adamu atakuja" (LK. 12:40).

Jumamosi, 9 Septemba 2017

Jumapili, 27 Agosti 2017

Ukaribisheni Urejeaji wa Bwana Yesu | Sifa na Ibada "Mungu Ameleta Utukufu Wake Mashariki"


Mungu Ameleta Utukufu Wake Mashariki

Mungu aliipa Israeli utukufu Wake kisha Akauhamisha mbali na pale,
na kuwaleta Waisraeli na kuwaleta watu wote Mashariki.
Mungu amewaelekeza wote kwenye mwanga
ili waweze kuungana tena na kuwa pamoja na mwanga,
wasilazimike kuutafuta tena, kuutafuta mwanga.

Jumatano, 23 Agosti 2017

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Wengi Wameitwa, Lakini Wachache Wamechaguliwa

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Wengi Wameitwa, Lakini Wachache Wamechaguliwa


Nimewatafuta wengi duniani wawe wafuasi Wangu. Kati yao ni wale wanaohudumu kama makuhani, wanaoongoza, wanaojumuisha wana, wanaojumuisha watu, na wale wanaotoa huduma. Ninaweka migawo hii kulingana na uaminifu alionao mwanadamu Kwangu. Wanadamu wote wakitofautishwa kulingana na aina, yaani, asili ya kila aina ya mwanadamu inapowekwa wazi,

Jumanne, 22 Agosti 2017

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Wale Wasiopatana Na Kristo Hakika Ni Wapinzani Wa Mungu

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Wale Wasiopatana Na Kristo Hakika Ni Wapinzani Wa Mungu


Watu wote wana tamaa ya kuona uso wa kweli wa Yesu na kutaka kuwa pamoja Naye. Naamini kuwa hakuna mmoja wa ndugu au dada anayeweza kusema kwamba yeye hana nia ya kumwona au kuwa pamoja na Yesu. Kabla ya nyinyi kumwona Yesu, yaani, kabla ya nyinyi kumwona Mungu Aliye kwenye mwili, mtakuwa na mawazo mengi, kwa mfano, kuhusu sura ya Yesu,