Sura ya 62. Ili Kuwa Mwaminifu, Unapaswa Kujiweka Wazi kwa | Umeme wa Mashariki |
Sura ya 62. Ili Kuwa Mwaminifu, Unapaswa Kujiweka Wazi kwa | Umeme wa Mashariki
Mwenyezi Mungu alisema, Wengine Je, mna uzoefu wowote wa kuwa waaminifu? (Ni vigumu kuwa mwaminifu). Na mbona ni vigumu? (Ninapotafakari juu yangu kila siku, nagundua kuwa najua vyema kujifanya, na kwamba nimesema mengi ambayo si sahihi. Wakati mwingine, maneneo yangu yatakuwa na hisia na motisha, wakati mwingine, nitaunda ujanja fulani ili kutimiza malengo yangu, nikisema ukweli nusu ambao haulingani na mambo ya hakika;