Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Kumbukumbu za Maongezi ya Kristo. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Kumbukumbu za Maongezi ya Kristo. Onyesha machapisho yote

Jumanne, 23 Januari 2018

Sura ya 51. Je Unajua Ukweli Hakika Ni Nini?

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu, ukweli
Sura ya 51. Je Unajua Ukweli Hakika Ni Nini?

Sura ya 51. Je Unajua Ukweli Hakika Ni Nini?

Mwenyezi Mungu alisema, Ninyi nyote mara nyingi mmepata uzoefu wa hali ya kuwa katika mkutano, na kuhisi kana kwamba huna chochote cha kuhubiri kuhusu—hatimaye unajilazimisha na unasema kitu cha juu juu. Unajua vizuri kuwa maneno haya ya juu juu ni kanuni, lakini unahubiri kuyahusu hata hivyo, na mwishowe unahisi kuwa huna shauku, na watu chini yako wanasikiliza na wanahisi kuwa yanachosha sana—je hilo halijafanyika?