Jumanne, 23 Januari 2018

Sura ya 51. Je Unajua Ukweli Hakika Ni Nini?

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu, ukweli
Sura ya 51. Je Unajua Ukweli Hakika Ni Nini?

Sura ya 51. Je Unajua Ukweli Hakika Ni Nini?


Mwenyezi Mungu alisema, Ninyi nyote mara nyingi mmepata uzoefu wa hali ya kuwa katika mkutano, na kuhisi kana kwamba huna chochote cha kuhubiri kuhusu—hatimaye unajilazimisha na unasema kitu cha juu juu. Unajua vizuri kuwa maneno haya ya juu juu ni kanuni, lakini unahubiri kuyahusu hata hivyo, na mwishowe unahisi kuwa huna shauku, na watu chini yako wanasikiliza na wanahisi kuwa yanachosha sana—je hilo halijafanyika?

Jumatatu, 22 Januari 2018

Ukweli wa Ndani wa Kazi ya Kushinda (4) | Umeme wa Mashariki

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu
Ukweli wa Ndani wa Kazi ya Kushinda (4) | Umeme wa Mashariki

Ukweli wa Ndani wa Kazi ya Kushinda (4)Umeme wa Mashariki


Mwenyezi Mungu alisema, Kukamilishwa kuna maana gani? kushindwa kuna maana gani? Ni vigezo vipi mtu anapaswa kuwa navyo ili apate kushindwa? Na ni vigezo vipi mtu anapaswa kuwa navyo ili afanywe mkamilifu? Kushinda na kukamilisha yote yanakusudiwa kumfanyia kazi mwanadamu ili aweze kurudi katika asili yake na awe huru na tabia zake potovu za shetani na ushawishi wa Shetani.

Christian Music Video Swahili “Hadithi ya Xiaozhen” | Mungu ni upendo

 Christian Music Video Swahili “Hadithi ya Xiaozhen” | Mungu ni upendo


Xiaozhen alikuwa Mkristo mwenye moyo safi, ulio na huruma, ambaye kila wakati alikuwa akiwashughulikia wenzake kwa uaminifu. Hata hivyo, ilipokuwa ni kwa manufaa yao, marafiki wake wa awali waligeuka na kuwa maadui wake.

Jumapili, 21 Januari 2018

Christian Testimony Video Swahili “Katikati ya Majira ya Baridi”

   
Christian Testimony Video Swahili “Katikati ya Majira ya Baridi”

Her name is Xiao Li. She has believed in God for more than a decade. In the winter of 2012, she was arrested by the Chinese Communist police at a congregation. During interrogation, the police repeatedly coaxed, threatened, battered and tortured her in their attempts to seduce her to betray God by disclosing the whereabouts of the leaders and money of the church.

Ukweli wa Ndani wa Kazi ya Kushinda (3) | Umeme wa Mashariki

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Mwenyezi Mungu
Ukweli wa Ndani wa Kazi ya Kushinda (3) | Umeme wa Mashariki

Ukweli wa Ndani wa Kazi ya Kushinda (3)Umeme wa Mashariki


Mwenyezi Mungu alisema, Matokeo ya kutimizwa kutoka kwa kazi ya kushinda kimsingi ni kwa ajili ya mwili wa mwanadamu kuacha kuasi, yaani, ili fikira za mwanadamu zipate ufahamu mpya wa Mungu, moyo wake umtii Mungu kabisa, na aamue kuwa wa Mungu. Jinsi ambavyo mwenendo wa mtu ama mwili wake unavyobadilika haiamui ikiwa ameshindwa.

Jumamosi, 20 Januari 2018

NYENDO ZA MATESO YA KIDINI NCHINI CHINA (Christian Videos) swahili

NYENDO ZA MATESO YA KIDINI NCHINI CHINA (Christian Videos) swahili

Tangu kilipokuja mamlakani katika China Bara mnamo mwaka wa 1949, Chama Cha Kikomunisti cha China kimekuwa hakikomi katika mateso yake kwa imani ya kidini. Kwa wayowayo kimewashika na kuwaua Wakristo, kuwafukuza na kuwadhulumu wamishonari wanaofanya kazi nchini China, wakachukua ngawira na kuchoma nakala nyingi za Biblia, wakafunga kabisa na kubomoa majengo ya kanisa, na bila mafanikio wakajaribu kukomesha makanisa yote ya nyumbani.

Ukweli wa Ndani wa Kazi ya Kushinda (1) | Umeme wa Mashariki

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Mwenyezi Mungu
Ukweli wa Ndani wa Kazi ya Kushinda (1) | Umeme wa Mashariki 

Ukweli wa Ndani wa Kazi ya Kushinda (1)Umeme wa Mashariki


Mwenyezi Mungu alisema, Wanadamu kwa kupotoshwa sana na Shetani, hawajui kuwa kuna Mungu na wameacha kumwabudu Mungu. Adamu na Hawa walipoumbwa mwanzoni, utukufu wa Yehova na Ushuhuda wa Yehova daima vilikuwepo. Lakini baada ya kupotoshwa, mwanadamu alipoteza utukufu na ushuhuda kwa sababu kila mtu alimwasi Mungu na kuacha kumtukuza kabisa.