Ijumaa, 19 Januari 2018

Ukweli wa Ndani wa Kazi ya Kushinda (2) | Umeme wa Mashariki

Ukweli wa Ndani wa Kazi ya Kushinda (2) | Umeme wa Mashariki


Ukweli wa Ndani wa Kazi ya Kushinda (2)Umeme wa Mashariki


Mwenyezi Mungu alisema, Mlikuwa mnatafuta kutawala kama wafalme, na leo bado hamjaacha kabisa suala hili; bado mnatamani kutawala kama wafalme, kushikilia mbingu na kuhimili dunia. Sasa, fikiria kuhusu hilo: Je, unazo sifa kama hizo? Je, huoni unakuwa mtu mpumbavu? Je, mnachokitafuta na kujitolea umakini wenu kwacho ni cha uhalisi?

Alhamisi, 18 Januari 2018

Muujiza katika Msiba | Video ya Injili “Mungu Abariki”

Muujiza katika Msiba | Video ya InjiliMungu Abariki”

Watu mara nyingi husema kwamba "Dhoruba hukusanyika bila tahadhari na balaa huwafika watu kwa ghafula sana." Katika enzi yetu iliyopo ya kupanua kwa haraka kwa sayansi, uchukuzi wa kisasa na utajiri wa mali, maafa yanayotokea pande zote zinazotuzunguka huongeza kila siku.

Kuhusu Biblia (4)

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Biblia
Kuhusu Biblia (4)

Kuhusu Biblia (4)


Mwenyezi Mungu alisema, Watu wengi wanaamini kwamba kuelewa na kuwa na uwezo wa kufasiri Biblia ni sawa na kutafuta njia ya kweli—lakini, kimsingi, je, vitu ni rahisi sana? Hakuna anayejua uhalisia wa Biblia: kwamba si kitu chochote zaidi ya rekodi ya kihistoria ya kazi ya Mungu, na agano la hatua mbili zilizopita za kazi ya Mungu, na haikupatii ufahamu wa malengo ya kazi ya Mungu.

Jumatano, 17 Januari 2018

Kuhusu Biblia (3)

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Biblia
Kuhusu Biblia (3)

Kuhusu Biblia (3)


Mwenyezi Mungu alisema, Sio kila kitu katika Biblia ni rekodi ya maneno aliyoyasema Mungu. Kimsingi Biblia inaandika hatua mbili za awali za kazi ya Mungu, ambapo sehemu moja ni rekodi ya utabiri wa kale wa manabii, na sehemu nyingine ni uzoefu na maarifa yaliyoandikwa na watu waliotumiwa na Mungu katika enzi zote.

Kuhusu Biblia (2)

Kanisa la Mwenyezi Mungu , Umeme wa Mashariki, Biblia
Kuhusu Biblia (2) 

Kuhusu Biblia (2) 


Mwenyezi Mungu alisema, Biblia pia huitwa Agano la Kale na Agano Jipya. Je, mnajua “agano” linarejelea nini? “Agano” katika Agano la Kale linatokana na makubaliano ya Yehova na watu wa Israeli Alipowaua Wamisri na kuwaokoa Waisraeli kutoka kwa Farao.

Jumanne, 16 Januari 2018

Tamko La Kumi Na Nane |Umeme wa Mashariki

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu
Tamko La Kumi Na Nane |Umeme wa Mashariki

Tamko La Kumi Na NaneUmeme wa Mashariki



Mwenyezi Mungu alisema, Katika mwako wa umeme, kila mnyama hufichuliwa katika hali yake halisi. Hivyo pia, kama wameangaziwa na mwanga Wangu, wanadamu wamepata tena utakatifu waliokuwa nao wakati mmoja. Oh, ya kwamba dunia potovu ya zamani mwishowe imeanguka na kutumbukia ndani ya maji ya taka na, kuzama chini ya maji, na kuyeyuka na kuwa tope! Ah, ya kwamba binadamu wote Niliouumba hatimaye umerudiwa na uhai tena katika mwanga, kupata msingi wa kuwepo, na kuacha kupambana katika tope!

Jumatatu, 15 Januari 2018

Kuelezea Wazi Uhusiano Kati ya Biblia na Mungu | “Biblia na Mungu” ( Video za Kikristo ) Swahili

Kuelezea Wazi Uhusiano Kati ya Biblia na Mungu | “Biblia na Mungu” ( Video za Kikristo ) Swahili

Liu Zhizhong ni mzee katika kanisa moja la mtaani la nyumba nchini China. Amekuwa muumini kwa zaidi ya miaka 30, na amesisitiza bila kukoma kwamba “Biblia ni ufunuo wa Mungu,” “Biblia inamwakilisha Mungu, kuamini katika Mungu ni kuamini katika Biblia, kuamini katika Biblia ni kuamini katika Mungu.” Moyoni mwake, Biblia ni kuu. Kwa sababu ya upendo na imani yake pofu katika Biblia,