Alhamisi, 18 Januari 2018

Kuhusu Biblia (4)

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Biblia
Kuhusu Biblia (4)

Kuhusu Biblia (4)


Mwenyezi Mungu alisema, Watu wengi wanaamini kwamba kuelewa na kuwa na uwezo wa kufasiri Biblia ni sawa na kutafuta njia ya kweli—lakini, kimsingi, je, vitu ni rahisi sana? Hakuna anayejua uhalisia wa Biblia: kwamba si kitu chochote zaidi ya rekodi ya kihistoria ya kazi ya Mungu, na agano la hatua mbili zilizopita za kazi ya Mungu, na haikupatii ufahamu wa malengo ya kazi ya Mungu.

Jumatano, 17 Januari 2018

Kuhusu Biblia (3)

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Biblia
Kuhusu Biblia (3)

Kuhusu Biblia (3)


Mwenyezi Mungu alisema, Sio kila kitu katika Biblia ni rekodi ya maneno aliyoyasema Mungu. Kimsingi Biblia inaandika hatua mbili za awali za kazi ya Mungu, ambapo sehemu moja ni rekodi ya utabiri wa kale wa manabii, na sehemu nyingine ni uzoefu na maarifa yaliyoandikwa na watu waliotumiwa na Mungu katika enzi zote.

Kuhusu Biblia (2)

Kanisa la Mwenyezi Mungu , Umeme wa Mashariki, Biblia
Kuhusu Biblia (2) 

Kuhusu Biblia (2) 


Mwenyezi Mungu alisema, Biblia pia huitwa Agano la Kale na Agano Jipya. Je, mnajua “agano” linarejelea nini? “Agano” katika Agano la Kale linatokana na makubaliano ya Yehova na watu wa Israeli Alipowaua Wamisri na kuwaokoa Waisraeli kutoka kwa Farao.

Jumanne, 16 Januari 2018

Tamko La Kumi Na Nane |Umeme wa Mashariki

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu
Tamko La Kumi Na Nane |Umeme wa Mashariki

Tamko La Kumi Na NaneUmeme wa Mashariki



Mwenyezi Mungu alisema, Katika mwako wa umeme, kila mnyama hufichuliwa katika hali yake halisi. Hivyo pia, kama wameangaziwa na mwanga Wangu, wanadamu wamepata tena utakatifu waliokuwa nao wakati mmoja. Oh, ya kwamba dunia potovu ya zamani mwishowe imeanguka na kutumbukia ndani ya maji ya taka na, kuzama chini ya maji, na kuyeyuka na kuwa tope! Ah, ya kwamba binadamu wote Niliouumba hatimaye umerudiwa na uhai tena katika mwanga, kupata msingi wa kuwepo, na kuacha kupambana katika tope!

Jumatatu, 15 Januari 2018

Kuelezea Wazi Uhusiano Kati ya Biblia na Mungu | “Biblia na Mungu” ( Video za Kikristo ) Swahili

Kuelezea Wazi Uhusiano Kati ya Biblia na Mungu | “Biblia na Mungu” ( Video za Kikristo ) Swahili

Liu Zhizhong ni mzee katika kanisa moja la mtaani la nyumba nchini China. Amekuwa muumini kwa zaidi ya miaka 30, na amesisitiza bila kukoma kwamba “Biblia ni ufunuo wa Mungu,” “Biblia inamwakilisha Mungu, kuamini katika Mungu ni kuamini katika Biblia, kuamini katika Biblia ni kuamini katika Mungu.” Moyoni mwake, Biblia ni kuu. Kwa sababu ya upendo na imani yake pofu katika Biblia,

Jumapili, 14 Januari 2018

Amri za Enzi Mpya | Umeme wa Mashariki

Umeme wa Mashariki, Mwenyezi Mungu, Kanisa la Mwenyezi Mungu
Amri za Enzi Mpya | Umeme wa Mashariki

Amri za Enzi MpyaUmeme wa Mashariki


Mwenyezi Mungu alisema, Mmeambiwa kuwa mjiandae kwa maneno ya Mungu, ya kuwa pasipo kujali kilichoandaliwa juu yenu, yote yamepangwa kwa mkono wa Mungu, na kwamba hakuna haja ya kuomba kwa bidii au kusali kwenu—haina maana. Ilhali kulingana na hali ya sasa, shida za kiutendaji mnazokumbana nazo hazitafakariki kwenu. Kama mnasubiri mipango ya Mungu tu, basi hatua zenu zitakaa zaidi, na kwa wale wasiojua kupitia kutakuwa na kulaza damu kwingi.

Jumamosi, 13 Januari 2018

Safina ya Siku za Mwisho | “Siku za Nuhu Zimekuja” Swahili Gospel Video


Safina ya Siku za Mwisho | “Siku za Nuhu Zimekuja” Swahili Gospel VideoUmeme wa Mashariki

Hebu tumwangalie mwanadamu wakati wa enzi ya Nuhu. Mtu alishiriki katika kila aina ya utendaji wa maovu akikosa kufikiria toba. Hakuna aliyesikiliza neno la Mungu. Ugumu na uovu wao uliamsha hasira ya Mungu na mwishoni, walimezwa na maafa ya mafuriko makuu. Nuhu na familia yake ya watu nane pekee ndio walisikiliza neno la Mungu na walikuwa na uwezo wa kuishi. Sasa, siku za mwisho zimeshafika. Upotovu wa mwanadamu unakuwa mwingi zaidi na zaidi. Kila mtu huyatukuza mabaya. Dunia nzima ya dini hufuata wimbi la ulimwengu.