Jumamosi, 25 Novemba 2017

Mwenyezi Mungu Amekuwa Ameketi Kwenye Kiti Kitukufu cha Enzi

Mwenyezi Mungu Amekuwa Ameketi Kwenye Kiti Kitukufu cha Enzi

Mfalme mwenye ushindi amekuwa ameketi kwenye kiti kitukufu cha enzi.

Amekamilisha ukombozi, akiongoza watu Wake wote kuonekana katika utukufu.
Vitu vyote vimo mkononi Mwake. Kwa busara takatifu na nguvu,
Amejenga na kuimarisha Sayuni, kujenga na kuimarisha Sayuni.

Ijumaa, 24 Novemba 2017

Jaweni na Upendo kwa Ajili ya Mungu | Muziki wa Akapela "Yasifu Maisha Mapya"

   

Jaweni na Upendo kwa Ajili ya Mungu | Muziki wa Akapela "Yasifu Maisha Mapya"


Haleluya! Twakushukuru na kukusifu Wewe!
Haleluya! Twakushukuru na kukusifu Wewe, Mwenyezi Mungu!

Kristo wa siku za mwisho ameonekana, akifanya kazi na kuzungumza miongini mwa wanadamu.
Neno lake hutuhukumu, kutuadibu na kututakasa, likituongoza kwenye njia sahihi ya maisha ya binadamu.

Alhamisi, 23 Novemba 2017

Mbingu Mpya na Nchi imeonekana|”Ulimwengu na Eneo Kubwa Zamsifu Mungu”


Ulimwengu na Eneo Kubwa Zamsifu Mungu


Ha … nyimbo ni nyingi na ngoma ni za madaha;
ulimwengu na miisho ya dunia zinakuwa bahari inayosisimka.
Ha … mbingu ni mpya na dunia ni mpya.
Eneo kubwa la ulimwengu limejaa kusifu; tunapiga ukelele na kuruka kwa shangwe.

Jumanne, 21 Novemba 2017

Ishini Katika Upendo wa Mungu | "Wimbo wa Mapenzi Matamu" | Best Swahili Christian Worship Song


Ishini Katika Upendo wa Mungu | "Wimbo wa Mapenzi Matamu" | Best Swahili Christian Worship Song


Kinani mwa moyo wangu, ni mapenzi Yako. Ni matamu sana, nakaa karibu yako.
Kukutunza hukoleza moyo wangu; kukutumikia na mawazo yangu yote.
Kuongoza moyo wangu, ni mapenzi Yako; mimi hufuata nyayo zako za mapenzi.

Jumatatu, 20 Novemba 2017

Nampenda Mungu kwa Moyo Wangu Wote | "Nitampenda Mungu Milele" Video Rasmi ya Muziki



Nitampenda Mungu Milele


Ee Mungu! Maneno Yako yameniongoza kurudi Kwako.
Nakubali mafunzo katika ufalme Wako mchana na usiku.
Majaribio mengi na maumivu, mateso mengi sana.
Mara nyingi nilimwaga machozi na kuhisi huzuni,
na mara nyingi nimeanguka katika mtego wa Shetani.

Jumapili, 19 Novemba 2017

Kanisa la Mwenyezi Mungu | “Biblia na Mungu” ( Video za Kikristo ) Swahili



Liu Zhizhong ni mzee katika kanisa moja la mtaani la nyumba nchini China. Amekuwa muumini kwa zaidi ya miaka 30, na amesisitiza bila kukoma kwamba “Biblia ni ufunuo wa Mungu,” “Biblia inamwakilisha Mungu, kuamini katika Mungu ni kuamini katika Biblia, kuamini katika Biblia ni kuamini katika Mungu.” Moyoni mwake, Biblia ni kuu.

Jumamosi, 18 Novemba 2017

Umeme wa Mashariki | Tamko La Kumi



Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki
    Mwenyezi Mungu alisema, Enzi ya Ufalme ni, baada ya yote, tofauti na nyakati za kale. Haihusu kile anachofanya mwanadamu. Badala yake, Mimi binafsi hutekeleza kazi Yangu baada ya kushuka duniani—kazi ambayo wanadamu hawawezi kuelewa wala kukamilisha.