Jumanne, 21 Novemba 2017

Ishini Katika Upendo wa Mungu | "Wimbo wa Mapenzi Matamu" | Best Swahili Christian Worship Song


Ishini Katika Upendo wa Mungu | "Wimbo wa Mapenzi Matamu" | Best Swahili Christian Worship Song


Kinani mwa moyo wangu, ni mapenzi Yako. Ni matamu sana, nakaa karibu yako.
Kukutunza hukoleza moyo wangu; kukutumikia na mawazo yangu yote.
Kuongoza moyo wangu, ni mapenzi Yako; mimi hufuata nyayo zako za mapenzi.
Mimi hujisogeza kulingana na macho Yako; mapenzi yanaonyesha furaha ya moyo wangu.
Mapenzi yanaonyesha furaha ya moyo wangu.
Sasa mimi huishi katika ulimwengu mwingine, hakuna yeyote isipokuwa wewe uko nami.
Unanipenda, ninakupenda; hakuna huzuni wala sikitiko hutusumbua.
Hakuna huzuni wala sikitiko hutusumbua. Kumbukumbu chungu hutokomea.
Kumbukumbu chungu hutokomea.


Kanisa la Mwenyezi Mungu, Nyimbo, Umeme wa Mashariki

       Kukufuata katika mapenzi, niko karibu Yako; furaha hutujaa Wewe na mimi.
Kuelewa mapenzi Yako, mimi hukutii tu, bila kutaka kutokukutii Wewe.
Nitaishi mbele Yako kuliko wakati wowote, siwezi kuwa mbali na Wewe tena.
Nikiyawaza na kuyaonja maneno Yako, napenda Ulicho nacho, kile Ulicho.
Napenda Ulicho nacho, kile Ulicho.
Nataka Uwe maisha yangu. Nitakuruhusu Uchukue moyo wangu.
Ah! Nakupenda, nakupenda. Mapenzi Yako yamenishinda,
kwa hivyo nina bahati kukamilishwa ili niutosheleze moyo Wako.
Haleluya! Haleluya! Haleluya! Mungu asifiwe!
Haleluya! Haleluya! Haleluya! Mungu asifiwe!
Haleluya! Haleluya! Haleluya! Mungu asifiwe!
Haleluya! Haleluya! Haleluya! Mungu asifiwe!

kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni