Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Kumcha-Mungu-na-Kuepuka-Maovu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Kumcha-Mungu-na-Kuepuka-Maovu. Onyesha machapisho yote

Jumanne, 21 Novemba 2017

Ishini Katika Upendo wa Mungu | "Wimbo wa Mapenzi Matamu" | Best Swahili Christian Worship Song

Ishini Katika Upendo wa Mungu | "Wimbo wa Mapenzi Matamu" | Best Swahili Christian Worship Song

Kinani mwa moyo wangu, ni mapenzi Yako. Ni matamu sana, nakaa karibu yako.
Kukutunza hukoleza moyo wangu; kukutumikia na mawazo yangu yote.
Kuongoza moyo wangu, ni mapenzi Yako; mimi hufuata nyayo zako za mapenzi.

Jumapili, 5 Novemba 2017

Kumjua Mungu Ndiyo Njia ya Kumcha Mungu na Kuepuka Maovu

Kumjua Mungu, Kumcha Mungu, Umeme wa Mashariki

Umeme wa Mashariki | Kumjua Mungu Ndiyo Njia ya Kumcha Mungu na Kuepuka Maovu

Mwenyezi Mungu alisema: Kila mmoja anapaswa kuchunguza maisha yake upya ya kumwamini Mungu ili kuona iwapo, katika kumtafuta Mungu, ameelewa kwa dhati, amefahamukwa dhati, na kuja kumjua Mungukwa dhati, iwapo anajua kweli ni mawazo gani Mungu Anayo kwa aina tofauti za binadamu, na iwapo kweli anaelewa kile ambacho Mungu Anafanya juu yake na jinsi Mungu Anaeleza kila tendo lake.