Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Tendo-la-Mungu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Tendo-la-Mungu. Onyesha machapisho yote

Jumamosi, 18 Novemba 2017

Umeme wa Mashariki | Tamko La Kumi



Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki
    Mwenyezi Mungu alisema, Enzi ya Ufalme ni, baada ya yote, tofauti na nyakati za kale. Haihusu kile anachofanya mwanadamu. Badala yake, Mimi binafsi hutekeleza kazi Yangu baada ya kushuka duniani—kazi ambayo wanadamu hawawezi kuelewa wala kukamilisha.

Alhamisi, 16 Novemba 2017

Umeme wa Mashariki | Tamko La Nane


Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki

   Mwenyezi Mungu alisema: Ufunuo Wangu unapofika kilele chake, na wakati hukumu Yangu inapomalizika, utakuwa wakati ambao watu Wangu wote wanafichuliwa na kufanywa wakamilifu. Nyayo zangu hukanyaga kila pembe ya ulimwengu katika hali ya kutafuta kwa kudumu wale wenye kupendeza nafsi Yangu na wanafaa kwa matumizi Yangu.

Jumanne, 26 Septemba 2017

Sifa Kamili | Dansi ya Kilatini ''Tukuzeni Ufanikishaji wa Kazi ya Mungu"



Kazi kubwa ya Mungu hubadilika haraka sana, vigumu kuipima, kuridhisha kwa mtu.
Angalia kandokando yako, si kama awali, kila kitu ni kizuri na kipya.
Kila kitu kimehuishwa, vyote vimetengenezwa upya, vyote vimetakaswa.
Tunamsifu Mungu, tukijawa furaha, nyimbo za sifa zinapepea mbinguni Kwake.
Mtukuzeni Yeye! Imbeni utukufu kwa jina Lake! Watu wote msifuni Mungu kwa vigelegele.