Alhamisi, 31 Agosti 2017

Kristo Hufanya Kazi ya Hukumu Kwa Ukweli

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, ukweli

 Umeme wa Mashariki | Kristo Hufanya Kazi ya Hukumu kwa Ukweli

Mwenyezi Mungu alisema, Kazi ya siku za mwisho ni kutenganisha vitu vyote kulingana na jinsi yavyo, kuhitimisha mpango wa usimamizi wa Mungu, kwa maana muda u karibu na siku ya Mungu imewadia. Mungu huwaleta wote ambao wameingia katika ufalme Wake, yaani, wale wote ambao wamekuwa waaminifu Kwake mpaka mwisho, katika enzi ya Mungu Mwenyewe.

Jumatano, 30 Agosti 2017

Ni Kristo Wa Siku za Mwisho Pekee Ndiye Anayeweza Kumpa Mwanadamu Njia ya Uzima wa Milele

Umeme wa Mashariki | Ni Kristo wa Siku za Mwisho Pekee Ndiye Anayeweza Kumpa Mwanadamu Njia ya Uzima wa Milele


Mwenyezi Mungu alisema, Njia ya maisha si kitu ambacho kinaweza kumilikiwa na mtu yeyote tu, wala hakipatikani kwa urahisi na wote. Hiyo ni kwa sababu maisha yanaweza kuja tu kutoka kwa Mungu, ambayo ni kusema, Mungu Mwenyewe tu ndiye Anamiliki mali ya maisha, hakuna njia ya maisha bila Mungu Mwenyewe, na hivyo Mungu tu ndiye chanzo cha uzima, na kijito cha maji ya uzima kinachotiririka nyakati zote.

Jumatatu, 28 Agosti 2017

Tafuteni Maana ya Maisha - "Kwa Ajili ya Nani Mtu Aishi" (Video Rasmi ya Muziki)


Kwa Ajili ya Nani Mtu Aishi


Haikuwa wazi ni kwa ajili ya nani mtu anapaswa kuishi. Sasa nina jibu kwa hilo.
Nilikuwa naishi tu kwa ajili yangu mwenyewe, kutafuta hadhi tu na umaarufu.
Maombi kwa Mungu yaliyojaa maneno mema, lakini nikishikilia njia zangu mwenyewe katika maisha halisi.

Jumapili, 27 Agosti 2017

Ukaribisheni Urejeaji wa Bwana Yesu | Sifa na Ibada "Mungu Ameleta Utukufu Wake Mashariki"


Mungu Ameleta Utukufu Wake Mashariki

Mungu aliipa Israeli utukufu Wake kisha Akauhamisha mbali na pale,
na kuwaleta Waisraeli na kuwaleta watu wote Mashariki.
Mungu amewaelekeza wote kwenye mwanga
ili waweze kuungana tena na kuwa pamoja na mwanga,
wasilazimike kuutafuta tena, kuutafuta mwanga.

Jumamosi, 26 Agosti 2017

Furaha katika Nchi Nzuri ya Kanaani

  • 🎼🎵Sikiliza nyimbo:https://sw.godfootsteps.org/the-happiness-in-the-good-land-of-canaan.html
  • I
  • Nimerudi kwa familia ya Mungu,
  • mchangamfu na mwenye furaha.
  • Mikono yangu imemshika mpendwa wangu,
  • moyo wangu ni miliki Yake.
  • Japo nimepitia Bonde la Machozi,
  • nimeyaona mapenzi ya Mungu.
  • Mapenzi yangu kwa Mungu hukua siku baada ya siku,
  • Mungu ndiye chanzo cha furaha yangu.
  • Nikiduwazwa na uzuri wa Mungu,
  • moyo wangu umeshikizwa kwa Mungu.
  • Siwezi kumpenda Mungu vya kutosha,
  • nyimbo za sifa huchemka moyoni mwangu.
  • Nikiduwazwa na uzuri wa Mungu,
  • nyimbo za sifa huchemka moyoni mwangu.
  • Siwezi kumpenda Mungu vya kutosha,
  • nyimbo za sifa huchemka moyoni mwangu.
  • II
  • Katika nchi hii iliyobarikiwa ya Kanaani,
  • yote ni mabichi, yote ni mapya,
  • yakifurika na nafsi ya uhai ya maisha.
  • Maji ya uzima hutiririka kutoka kwa Mungu wa vitendo,
  • hunifanya niruzukike na maisha.
  • Naweza kufurahia baraka kutoka mbinguni,
  • hakuna tena kutafuta, kuchakura, kuwa na uchu.
  • Nimewasili katika nchi iliyobarikiwa ya Kanaani,
  • furaha yangu haina kifani!
  • Upendo wangu kwa Mungu huniletea nguvu isiyoisha.
  • Sauti za kusifu hupaa juu mbinguni,
  • zikimwambia upendo wangu wa ndani.
  • Ni haiba ilioje mpendwa wangu aliyo nayo!
  • Uzuri Wake huiteka roho yangu.
  • Manukato ya mpendwa wangu
  • hunifanya nione ugumu wa kumwacha.
  • III
  • Nyota mbinguni zatabasamu kwangu,
  • jua lanikubali kutoka juu.
  • Pamoja na mwanga wa jua, na mvua na umande,
  • tunda la uzima hukua kwa uthabiti na ubivu.
  • Maneno ya Mungu, mengi na ya fahari,
  • hutuletea sikukuu tamu.
  • Riziki nzima na ya kutosha ya Mungu hutufanya tutosheke.
  • Nchi ya Kanaani, ulimwengu wa maneno ya Mungu;
  • upendo Wake hutuletea furaha isiyokoma.
  • Nchi ya Kanaani, ulimwengu wa maneno ya Mungu;
  • upendo Wake hutuletea furaha isiyokoma.
  • Harufu nzuri ya matunda hujaa hewani.
  • Ukikaa hapa kwa siku chache,
  • utapapenda kuliko chochote kingine.
  • Hakuna wakati utataka kuondoka.
  • IV
  • Mwezi wa fedha hunurisha mwanga wake.
  • Mzuri na mchangamfu, ni maisha yangu.
  • Uliye mpendwa moyoni mwangu,
  • uzuri Wako umepita maneno yote.
  • Moyo wangu u katika mapenzi matamu Nawe,
  • siwezi kujizuia kuruka kwa furaha.
  • Daima Uko moyoni mwangu,
  • nitakuwa nawe maisha yangu yote.
  • Moyo wangu hukutamani Wewe daima;
  • kukupenda Wewe hufurahisha moyo wangu kila siku.
  • Ee mpenzi moyoni mwangu!
  • Nimekupa mapenzi yangu yote.
  • Moyo wangu hukutamani Wewe daima;
  • kukupenda Wewe hufurahisha moyo wangu kila siku.
  • Ee mpenzi moyoni mwangu!
  • Nimekupa mapenzi yangu yote.
  •  
  • kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Ijumaa, 25 Agosti 2017

Kutazama Kuonekana kwa Mungu katika Hukumu na Kuadibu Kwake

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Kutazama Kuonekana kwa Mungu katika Hukumu na Kuadibu Kwake



Kama mamia ya mamilioni ya wafuasi wengine wa Bwana Yesu Kristo, tunafuata sheria na amri za Biblia, kufurahia neema tele ya Bwana Yesu Kristo, na kukusanyika pamoja, kuomba, kusifu, na kuhudumu kwa jina la Bwana Yesu Kristo—na haya yote sisi hufanya chini ya utunzaji na ulinzi wa Bwana. Mara nyingi, sisi huwa dhaifu, na mara nyingi sisi huwa wenye nguvu. Tunaamini kwamba matendo yetu yote yanaambatana na mafundisho ya Bwana.

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Je, Wewe ni Muumini wa Kweli wa Mungu?

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Je, Wewe ni Muumini wa Kweli wa Mungu?


Huenda ikawa safari yako ya imani katika Mungu imekuwa ndefu zaidi ya mwaka mmoja au miwili, na labda kwa maisha yako umestahimili ugumu mwingi miaka hii yote; au labda haujapitia ugumu na badala yake umepokea neema nyingi. Kuna uwezekano pia kuwa hujapitia ugumu wala kupokea neema, na badala yake umeishi maisha ya kawaida tu. Hiyo haijalishi, kwani wewe bado u mfuasi wa Mungu, kwa hivyo tushirikiane kuhusu mada ya kumfuata Mungu. 

Alhamisi, 24 Agosti 2017

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Unapaswa Kutafuta Njia ya Uwiano na Kristo

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Unapaswa Kutafuta Njia ya Uwiano na Kristo

Mwenyezi Mungu alisema, Nimefanya kazi kubwa miongoni mwa binadamu, na maneno ambayo Nimeeleza wakati huu yamekuwa mengi. Maneno haya ni kwa ajili ya wokovu wa mwanadamu, na yalikuwa yanaeleza ili binadamu aweze kulingana na Mimi. Ilhali Nimewapokea watu wachache tu duniani ambao wanalingana na Mimi, na hivyo Nimesema kwamba binadamu hathamini maneno Yangu, kwa kuwa binadamu halingani na Mimi. Kwa njia hii, kazi ambayo Naifanya sio tu kwa ajili ya mwanadamu aweze kuniabudu;

Jumatano, 23 Agosti 2017

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Wengi Wameitwa, Lakini Wachache Wamechaguliwa

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Wengi Wameitwa, Lakini Wachache Wamechaguliwa


Nimewatafuta wengi duniani wawe wafuasi Wangu. Kati yao ni wale wanaohudumu kama makuhani, wanaoongoza, wanaojumuisha wana, wanaojumuisha watu, na wale wanaotoa huduma. Ninaweka migawo hii kulingana na uaminifu alionao mwanadamu Kwangu. Wanadamu wote wakitofautishwa kulingana na aina, yaani, asili ya kila aina ya mwanadamu inapowekwa wazi,

Jumanne, 22 Agosti 2017

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Wale Wasiopatana Na Kristo Hakika Ni Wapinzani Wa Mungu

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Wale Wasiopatana Na Kristo Hakika Ni Wapinzani Wa Mungu


Watu wote wana tamaa ya kuona uso wa kweli wa Yesu na kutaka kuwa pamoja Naye. Naamini kuwa hakuna mmoja wa ndugu au dada anayeweza kusema kwamba yeye hana nia ya kumwona au kuwa pamoja na Yesu. Kabla ya nyinyi kumwona Yesu, yaani, kabla ya nyinyi kumwona Mungu Aliye kwenye mwili, mtakuwa na mawazo mengi, kwa mfano, kuhusu sura ya Yesu,

Jumatatu, 21 Agosti 2017

Tafuteni Maana ya Maisha - "Kwa Ajili ya Nani Mtu Aishi" (Video Rasmi ya...


 
Kwa Ajili ya Nani Mtu Aishi
I
Haikuwa wazi ni kwa ajili ya nani mtu anapaswa kuishi. Sasa nina jibu kwa hilo.
Nilikuwa naishi tu kwa ajili yangu mwenyewe, kutafuta hadhi tu na umaarufu.
Maombi kwa Mungu yaliyojaa maneno mema, lakini nikishikilia njia zangu mwenyewe katika maisha halisi.
Imani juu ya msingi wa kesho na majaliwa, sina ukweli au uhalisi. Mila na sheria, zikifungia imani yangu; sikubaki na kitu ila utupu.

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Wale Wasiopatana Na Kristo Hakika Ni Wapinzani Wa Mungu

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Wale Wasiopatana Na Kristo Hakika Ni Wapinzani Wa Mungu


Watu wote wana tamaa ya kuona uso wa kweli wa Yesu na kutaka kuwa pamoja Naye. Naamini kuwa hakuna mmoja wa ndugu au dada anayeweza kusema kwamba yeye hana nia ya kumwona au kuwa pamoja na Yesu. Kabla ya nyinyi kumwona Yesu, yaani, kabla ya nyinyi kumwona Mungu Aliye kwenye mwili, mtakuwa na mawazo mengi, kwa mfano, kuhusu sura ya Yesu, njia Yake ya kuzungumza, njia Yake ya maisha, na kadhalika. Hata hivyo, wakati mnamwona hasa, mawazo yenu yatabadilika haraka. Ni kwa nini? Je, mnataka kujua? Hata ingawa fikira za mwanadamu hakika haziwezi kupuuzwa, haikubaliki kamwe mwanadamu kubadilisha kiini cha Kristo.

Jumapili, 20 Agosti 2017

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Ngurumo Saba Zatoa Sauti - Zikitabiri Kuwa Injili Ya Ufalme Itaenea Kote Ulimwenguni

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mungu, Umeme wa Mashariki

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Ngurumo Saba Zatoa Sauti - Zikitabiri Kuwa Injili Ya Ufalme Itaenea Kote Ulimwenguni


Mimi hueneza kazi Yangu katika mataifa. Katika ulimwengu mzima unang’aa utukufu Wangu; mapenzi Yangu yamo katika mtawanyiko wa wanadamu, wote wakiongozwa kwa mkono Wangu na kufanya kazi Ninayosambaza. Kuanzia sasa, Ninaingia enzi mpya na kuleta watu wote katika ulimwengu mwingine. Ninaporudi katika "nchi Yangu," Ninaanza sehemu nyingine ya kazi katika mpango Wangu wa awali ili mwanadamu aje kujua zaidi kunihusu.

Jumamosi, 19 Agosti 2017

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Mwanadamu Anaweza Kuokolewa Tu Katikati ya Usimamizi wa Mungu

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Mwanadamu Anaweza Kuokolewa tu Katikati ya Usimamizi wa Mungu


Kila mtu anahisi kuwa usimamizi wa Mungu ni wa ajabu, kwa sababu watu wanafikiri kuwa usimamizi wa Mungu hauna uhusiano wowote na mwanadamu. Wanafikiri kuwa usimamizi wa Mungu ni kazi ya Mungu pekee, shughuli za Mungu, na hivyo wanadamu hawajali kuhusu usimamizi wa Mungu. Kwa njia hii, kuokolewa kwa wanadamu kumekuwa kusiko yakini na kusiko dhahiri, na kumebaki tu maneno matupu.

Ijumaa, 18 Agosti 2017

Umeme wa Mashariki: Unapaswa Kuzingatia Matendo Yako

Umeme wa Mashariki: Unapaswa Kuzingatia Matendo Yako: Kulingana na vitendo na matendo katika maisha yenu, nyote mnahitaji kurasa za maneno ya kuwajaza na kuwajenga kila siku, kwan...

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Kutazama Kuonekana kwa Mungu katika Hukumu na Kuadibu Kwake

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Kutazama Kuonekana kwa Mungu katika Hukumu na Kuadibu Kwake


Kama mamia ya mamilioni ya wafuasi wengine wa Bwana Yesu Kristo, tunafuata sheria na amri za Biblia, kufurahia neema tele ya Bwana Yesu Kristo, na kukusanyika pamoja, kuomba, kusifu, na kuhudumu kwa jina la Bwana Yesu Kristo—na haya yote sisi hufanya chini ya utunzaji na ulinzi wa Bwana. Mara nyingi, sisi huwa dhaifu, na mara nyingi sisi huwa wenye nguvu. Tunaamini kwamba matendo yetu yote yanaambatana na mafundisho ya Bwana.

Alhamisi, 17 Agosti 2017

Kanisa la Mwenyezi Mungu | NYENDO ZA MATESO YA KIDINI NCHINI CHINA



Tangu kilipokuja mamlakani katika China Bara mnamo mwaka wa 1949, Chama Cha Kikomunisti cha China kimekuwa hakikomi katika mateso yake kwa imani ya kidini. Kwa wayowayo kimewashika na kuwaua Wakristo, kuwafukuza na kuwadhulumu wamishonari wanaofanya kazi nchini China, wakachukua ngawira na kuchoma nakala nyingi za Biblia, wakafunga kabisa na kubomoa majengo ya kanisa, na bila mafanikio wakajaribu kukomesha makanisa yote ya nyumbani.

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Mungu Anaongoza Majaliwa ya Wanadamu Wote

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Mungu Anaongoza Majaliwa ya Wanadamu Wote


Kama washiriki wa jamii ya binadamu na Wakristo wamchao Mungu, ni jukumu na wajibu wetu wote kutoa akili na mwili wetu kwa kutimiza agizo la Mungu, kwani uhai wetu wote ulitoka kwa Mungu, na upo kwa sababu ya ukuu wa Mungu. Kama akili zetu na miili yetu si kwa ajili ya agizo la Mungu na si kwa sababu ya haki ya mwanadamu, basi nafsi zetu hazina thamani kwa wale waliokufa kishahidi kwa ajili ya agizo kwa Mungu, na thamani ndogo zaidi kwa Mungu, aliyetupa kila kitu.

Jumatano, 16 Agosti 2017

Jua Umeme wa Mashariki: Kanisa la Mwenyezi Mungu | Kuonekana kwa Mungu Kum...

Jua Umeme wa Mashariki: Kanisa la Mwenyezi Mungu | Kuonekana kwa Mungu Kum...: Mpango wa Mungu wa miaka elfu sita ya usimamizi unaelekea kikomo, na lango la ufalme limefunguliwa kwa wale ambao wanatafuta kuonekana k...

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Kuonekana kwa Mungu Kumeleta Enzi Mpya

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Kuonekana kwa Mungu Kumeleta Enzi Mpya


Mpango wa Mungu wa miaka elfu sita ya usimamizi unaelekea kikomo, na lango la ufalme limefunguliwa kwa wale ambao wanatafuta kuonekana kwa Mungu. Ndugu wapendwa, mnasubiri nini? Mnatafuta nini? Mnausubiri kuonekana kwa Mungu? Mnazitafuta nyayo za Mungu? Kuonekana kwa Mungu kunatamaniwa sana!

Jumanne, 15 Agosti 2017

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Dibaji

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Dibaji


Ingawa watu wengi wanaamini katika Mungu, ni wachache wanaoelewa ni nini maana ya imani katika Mungu, na ni nini wanachopaswa kufanya ili waupendeze moyo wa Mungu. Hii ni kwa sababu, hata ingawa watu wengi wanalifahamu neno “Mungu” na mafungu ya maneno kama “kazi ya Mungu”, hawamjui Mungu, na kwa kiwango cha chini zaidi hawaijui kazi ya Mungu. Si ajabu, basi, wale wote wasiomjua Mungu wamejawa na imani iliyovurugika.

Umeme wa Mashariki: Wale Wasiopatana Na Kristo Hakika Ni Wapinzani Wa ...

Umeme wa Mashariki: Wale Wasiopatana Na Kristo Hakika Ni Wapinzani Wa ...: Watu wote wana tamaa ya kuona uso wa kweli wa Yesu na kutaka kuwa pamoja Naye. Naamini kuwa hakuna mmoja wa ndugu au dada anayeweza ku...

Jumatatu, 14 Agosti 2017

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Mbingu Mpya na Nchi Mpya | Tamthilia ya Jukwaa "Tamasha la Kwaya ya Kichina 13"


Wakati huu wa shangwe, wakati huu wa nderemo (du ba du ba), haki ya Mungu na utakatifu wa Mungu vimeenda ugenini kote ulimwenguni (ba ba ba …), na binadamu wote wanavisifu bila kikomo. (Du … ba … ba la ba ba) Miji ya mbingu inacheka kwa furaha (du ba du ba), na falme za nchi zinacheza kwa shangwe (Ba ba ba …) Ni nani wakati huu ambaye haonyeshi furaha? Na ni nani wakati huu ambaye halii? (Du … ba … ba la ba ba) Nchi ni miliki ya mbingu, na mbingu imeungana na nchi. Mwanadamu ni ugwe unaounganisha mbingu na nchi, na kwa sababu ya utakatifu wake, kwa sababu ya mwanadamu kufanywa upya, mbingu haijafichwa tena kwa nchi, na nchi haiko kimya tena kwa mbingu. (Da la … da la da … oh …)

Jumamosi, 12 Agosti 2017

Mwenyezi Mungu | Ole Wao Wale Wamsulubishae Mungu Mara Nyingine Tena


Katika siku za mwisho, Mungu amepata mwili katika nchi ya China kufanya kazi, na Ameonyesha mamilioni ya maneno, Akishinda na kuokoa kundi la watu kwa neno Lake na kuikaribisha enzi mpya ya hukumu ikianza na nyumba ya Mungu. Leo, kuenea kwa kazi ya Mungu katika siku za mwisho kumefikia kilele chake katika China Bara.

Jumanne, 1 Agosti 2017

Umeme wa Mashariki | Kuonekana kwa Mungu Kumeleta Enzi Mpya


Umeme wa Mashariki ,Mwenyezi Mungu,Kanisa la Mwenyezi Mungu


Umeme wa Mashariki | Kuonekana kwa Mungu Kumeleta Enzi Mpya


   Mpango wa Mungu wa miaka elfu sita ya usimamizi unaelekea kikomo, na lango la ufalme limefunguliwa kwa wale ambao wanatafuta kuonekana kwa Mungu. Ndugu wapendwa, mnasubiri nini? Mnatafuta nini? Mnausubiri kuonekana kwa Mungu? Mnazitafuta nyayo za Mungu? Kuonekana kwa Mungu kunatamaniwa sana! Ni vigumu, kiasi gani kupata nyayo za Mungu! Katika enzi kama hii, katika dunia kama hii, lazima tufanye nini ili tushuhudie kuonekana kwa Mungu? Sharti tufanye nini ili tufuate nyayo za Mungu?