Jibu:
Kuonekana kwa Mungu na kazi katika siku za mwisho ni kama tu Bwana Yesu alivyotabiri. Kuna sehemu mbili—kuwasili Kwake kwa siri na kuwasili Kwake hadharani. Kuwasili kwa siri kunamaanisha Mungu kupata mwili miongoni mwa wanadamu kama Mwana wa Adamu ili kutamka maneno Yake, na kufanya kazi Yake ya siku za mwisho. Huku ni kuwasili Kwake kwa siri. Kuwasili hadharani ni Bwana kuja kwa wazi na mawingu, yaani, Bwana kuwasili na watakatifu wengi sana, akionekana kwa mataifa yote na watu wote. Tunaposhuhudia kazi ya Mungu ya siku za mwisho kwa sasa, watu wengi wana mashaka: “Mnasema kwamba Mungu ameonekana na anafanya kazi.