Jumamosi, 5 Januari 2019

Sura ya 10


Mwenyezi Mungu alisema, Katika wakati wa ujenzi wa kanisa, Mungu alitaja ujenzi wa kanisa kwa nadra. Hata Alipotaja, Alifanya hivyo katika lugha ya wakati wa ujenzi wa kanisa. Mara tu Enzi ya Ufalme ilipokuja, Mungu alifuta mbinu na wasiwasi nyingine za wakati wa ujenzi wa kanisa mara mmoja na Hakuwahi tena kusema hata neno moja kuuhusu. Hii hasa ni maana ya msingi ya "Mungu Mwenyewe" ambaye daima ni mpya na kamwe si mzee.

Ijumaa, 4 Januari 2019

Maneno ya Roho Mtakatifu kwa makanisa | "Kristo Hufanya Kazi ya Hukumu kwa Ukweli"

Maneno ya Roho Mtakatifu kwa makanisa | "Kristo Hufanya Kazi ya Hukumu kwa Ukweli"

Mwenyezi Mungu anasema, "Katika siku za mwisho, Kristo anatumia ukweli tofauti kumfunza mwanadamu, kufichua kiini cha mwanadamu, na kuchangua maneno na matendo yake. Maneno haya yanajumuisha ukweli mbalimbali, kama vile wajibu wa mwanadamu, jinsi mwanadamu anavyofaa kumtii Mungu, jinsi mwanadamu anavyopaswa kuwa mwaminifu kwa Mungu, jinsi mwanadamu anavyostahili kuishi kwa kudhihirisha ubinadamu wa kawaida, na pia hekima na tabia ya Mungu, na kadhalika.

Alhamisi, 3 Januari 2019

Maneno ya Roho Mtakatifu kwa makanisa | "Ufalme wa Milenia Umewasili"

Maneno ya Roho Mtakatifu kwa makanisa | "Ufalme wa Milenia Umewasili"

Mwenyezi Mungu anasema, "kuwasili kwa Ufalme wa Milenia duniani ni kuwasili kwa neno la Mungu duniani. Kushuka kwa Yerusalemu mpya kutoka mbinguni ni kuwasili kwa maneno ya Mungu kuishi miongoni mwa mwanadamu, kuenenda na kila tendo la mwanadamu, na mawazo yake yote ya ndani. Huu pia ni ukwelikwamba Mungu atatimiza, na mandhari mazuri kabisa ya Ufalme wa Milenia.

Jumatano, 2 Januari 2019

Sura ya 42


Mwenyezi Mungu alisema, Sijui kama watu wameona mabadiliko yoyote katika tamko la leo. Huenda watu wengine wameona kidogo, lakini hawathubutu kusema kwa kweli. Labda wengine hawajatambua chochote. Mbona kuna tofauti kubwa sana hivyo kati ya siku ya kumi na mbili na ya kumi na tano ya mwezi? Umetafakari hili? Maoni yako ni gani? Umeelewa chochote kutokana na matamko yote ya Mungu? Ni kazi gani kuu iliyofanywa kati ya tarehe mbili Aprili na tarehe kumi na tano Mei?

Jumanne, 1 Januari 2019

Wimbo Mpya wa Dini | "Jinsi ya Kutafuta Nyayo za Mungu" | God's Sheep Hear the Voice of God (Official Video)

Wimbo Mpya wa Dini | "Jinsi ya Kutafuta Nyayo za Mungu" | God's Sheep Hear the Voice of God (Official Video)


Kwa kuwa tunatafuta nyayo za Mungu,
lazima tutafute mapenzi ya Mungu,
tutafute maneno ya Mungu na matamshi ya Mungu,
tutafute maneno ya Mungu na matamshi Yake.
Kwani palipo na maneno mapya ya Mungu,
pana sauti ya Mungu, sauti Yake;

Jumatatu, 31 Desemba 2018

Wimbo Mpya wa Dini | "Mungu Anapata Mwili ili tu Kumshinda Shetani na Kuwaokoa Binadamu"

Wimbo Mpya wa Dini | "Mungu Anapata Mwili ili tu Kumshinda Shetani na Kuwaokoa Binadamu"



Wakati wa kupata mwili kwa Mungu duniani, Anafanya kazi Yake miongoni mwa wanadamu.
Kazi hii yote ina kusudi moja—kumshinda ibilisi Shetani.
Atamshinda Shetani kumshinda mwanadamu, pia kupitia kukufanya mkamilifu.

Unapokuwa na ushuhuda mkubwa sana,
hii pia itakuwa ishara ya kushindwa kwa Shetani.
Mungu anapata mwili kumshinda Shetani na kuwaokoa wanadamu wote.

Jumapili, 30 Desemba 2018

Muziki wa Injili "Maneno Ya Mungu Ni Ukweli Usiobadilika Milele" | The Word of God Is a Light to Our Path

Muziki wa Injili "Maneno Ya Mungu Ni Ukweli Usiobadilika Milele" | The Word of God Is a Light to Our Path

Maneno ya Mungu ni ukweli, usiobadilika milele.
Mungu ndiye mpaji wa uzima, na kiongozi pekee wa mwanadamu.
Thamani na maana ya maneno Yake yanaamuliwa na kiini chao,
sio kama mwanadamu anayakubali au kuyatambua.
Hata kama hakuna mwanadamu ulimwenguni anayapokea maneno Yake,
thamani yao na usaidizi kwa mwanadamu hayapimiki.
Maneno ya Mungu ni ukweli, usiobadilika milele.