Maneno ya Roho Mtakatifu kwa makanisa | "Ufalme wa Milenia Umewasili"
Mwenyezi Mungu anasema, "kuwasili kwa Ufalme wa Milenia duniani ni kuwasili kwa neno la Mungu duniani. Kushuka kwa Yerusalemu mpya kutoka mbinguni ni kuwasili kwa maneno ya Mungu kuishi miongoni mwa mwanadamu, kuenenda na kila tendo la mwanadamu, na mawazo yake yote ya ndani. Huu pia ni ukwelikwamba Mungu atatimiza, na mandhari mazuri kabisa ya Ufalme wa Milenia.
Huu ndio mpango uliowekwa na Mungu: Maneno Yake yataonekana duniani kwa miaka elfu moja, na yatashuhudia matendo yake yote, na kukamilisha kazi Yake yote duniani, ambapo baada ya hatua hii mwanadamu atakuwa amefikia kikomo."
Yaliyopendekezwa: Kuhusu Kanisa la Mwenyezi Mungu
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni