Alhamisi, 11 Oktoba 2018

Swahili Christian Movie Segment - Rekodi ya Kazi ya Mungu ya Kuumba Ulimwengu na Kuwaongoza na Kuwakomboa Wanadamu (Gospel Music)

Swahili Christian Movie Segment - Rekodi ya Kazi ya Mungu ya Kuumba Ulimwengu na Kuwaongoza na Kuwakomboa Wanadamu (Gospel Music)

Je, unataka kujua jinsi Mungu alivyouumba ulimwengu? Je, unataka kujua jinsi Mungu amewaongoza wanadamu hatua kwa hatua hadi leo? Sehemu hii ya ajabu kutoka kwa filamu ya Kikristo, "Yule Anayeshikilia Ukuu Juu Ya Kila Kitu", imerekodi kazi ya Mungu ya kuumba ulimwengu na kuwaongoza na kuwakomboa wanadamu. Itakufichulia majibu haya.

Tamko la Mia Moja na Kumi na Saba

Tamko la Mia Moja na Kumi na Saba

Wewe Ndiwe ambaye hufungua kitabu, Wewe Ndiwe ambaye hufungua mihuri saba, kwa sababu siri zote hutoka Kwako na baraka zote hufichuliwa na Wewe. Mimi sina budi kukupenda Wewe milele, na Mimi sina budi kuwafanya watu wote wakuabudu Wewe, kwa sababu Wewe ni nafsi Yangu, Wewe ni sehemu ya onyesho Langu kamili lenye ukarimu, sehemu ya msingi ya mwili wangu. Kwa hiyo, ni lazima Mimi Nitoe ushahidi maalum. Ni nani mwingine kando na yaliyo ndani ya nafsi Yangu anayefuata Moyo Wangu?

Jumatano, 10 Oktoba 2018

Tamko la Mia Moja na Kumi na Tisa

Tamko la Mia Moja na Kumi na Tisa

Ni lazima nyote muelewe nia Zangu, nyote mnapaswa kuelewa hali Yangu ya moyo. Sasa ni wakati wa kujiandaa kurudi Sayuni, sina mawazo ya lolote isipokuwa hili. Mimi Ninatumaini tu kwamba Ninaweza kukutana nanyi siku moja hivi karibuni, na kutumia kila dakika na kila sekunde pamoja nanyi katika Sayuni. Mimi Naichukia kabisa dunia, Nauchukia kabisa mwili, na Mimi Namchukia kabisa hata zaidi kila binadamu duniani; Sina nia ya kuwaona, kwa sababu wote ni kama mapepo, bila hata chembe ya asili ya binadamu;

Swahili Christian Movie Segment - Mungu Anashikilia Ukuu Juu Ya Majaliwa ya Kila Nchi na Watu Wote (Gospel Music)

Swahili Christian Movie Segment - Mungu Anashikilia Ukuu Juu Ya Majaliwa ya Kila Nchi na Watu Wote (Gospel Music)

Milki ya kale ya Kirumi na Milki ya zamani ya Uingereza zilikuwa na mafanikio na nguvu kwa haraka sana na kisha kufifia kuelekea kudhoofika na uharibifu. Sasa, Marekani limekuwa taifa kubwa lisilobishaniwa la ulimwengu na pia lina jukumu lisilofidika la kudumisha na kuimarisha hali ya ulimwengu. Ni mafumbo ya aina gani hasa yaliyofichika kuhusiana na kuinuka na kuanguka kwa mataifa? Ni nani aliye na mamlaka juu ya majaliwa ya kila nchi na watu wote? Sehemu hii ya ajabu kutoka kwa filamu ya Kikristo, "Yule Anayeshikilia Ukuu Juu ya Kila Kitu", itakufichulia majibu haya.

Tazama Video: Nyimbo ya Msifuni Mwenyezi Mungu

Jumanne, 9 Oktoba 2018

Tamko la Sabini na Nane

Tamko la Sabini na Nane

Nimesema kabla ya kuwa kazi inafanywa na Mimi, sio na mwanadamu yeyote. Kwangu, kila kitu kimetulia na kufurahi, lakini na ninyi mambo ni tofauti sana na chochote mnachofanya ni kigumu sana. Kitu chochote Ninachokubali hakika kitatimizwa na Mimi, wakati mtu yeyote Ninayemkubali atakamilishwa na Mimi. Wanadamu—msiingilie katika kazi Yangu!

Video za Kikristo | "Kaa Mbali na Shughuli Zangu" | Christ Is My Lord and My God

Video za Kikristo | "Kaa Mbali na Shughuli Zangu" | Christ Is My Lord and My God

Li Qingxin ni mhubiri katika kanisa la nyumba nchini Uchina ambaye amekuwa mwaminifu kwa Bwana kwa miaka mingi. Siku zote kwa shauku kubwa anaifanya kazi ya Bwana ya kuieneza injili, akisubiri kwa uangalifu kuja kwa Bwana ili amlete hadi kwenye ufalme wa mbinguni. Katika miaka ya hivi majuzi, Li Qingxin amegundua kwamba vikundi na makanisa mbalimbali yamekuwa na ukiwa zaidi. Umeme wa Mashariki, hata hivyo, limekuwa la kusisimua zaidi, licha ya shutuma na mateso mengi yenye mhemko kutoka kwa serikali ya Kikomunisti ya Uchina na jamii ya dini. Kondoo wazuri zaidi na zaidi na kondoo viongozi wa madhehebu na vikundi mbalimbali wamekubali Umeme wa Mashariki. Hii inamsababisha Li Qingxin kujichunguza kiasi fulani. Hasa, ameona kwamba wachungaji na wazee wa kanisa wa jamii ya dini hawasiti kuzua uvumi na upuzi mbalimbali wa kushutumu na kulichafua jina la Kanisa la Mwenyezi Mungu.

Jumatatu, 8 Oktoba 2018

Neno la Mungu "Jinsi ya Kuujua Uhalisi"

Neno la Mungu "Jinsi ya Kuujua Uhalisi"

Mwenyezi Mungu alivyosema, "Mungu ni Mungu wa uhalisi: kazi Zake zote ni halisi, maneno yote Anayoyanena ni halisi, na ukweli wote Anaouonyesha ni halisi. Kila kisicho maneno Yake ni kitupu, kisichokuwepo, na kisicho timamu. Leo, Roho Mtakatifu yupo kwa ajili ya kuwaongoza watu katika maneno ya Mungu. Ikiwa watu wanatafuta kuingia katika uhalisi, basi ni lazima wauandame uhalisi, na waujue uhalisi, baadaye ni lazima wapitie uhalisi, na kuishi kwa kudhihirisha uhalisi. Kadiri watu wanavyoujua uhalisi zaidi, kadiri wanavyoweza kugundua ikiwa maneno ya wengine ni halisi;