Jumatano, 10 Oktoba 2018

Swahili Christian Movie Segment - Mungu Anashikilia Ukuu Juu Ya Majaliwa ya Kila Nchi na Watu Wote (Gospel Music)

Swahili Christian Movie Segment - Mungu Anashikilia Ukuu Juu Ya Majaliwa ya Kila Nchi na Watu Wote (Gospel Music)

Milki ya kale ya Kirumi na Milki ya zamani ya Uingereza zilikuwa na mafanikio na nguvu kwa haraka sana na kisha kufifia kuelekea kudhoofika na uharibifu. Sasa, Marekani limekuwa taifa kubwa lisilobishaniwa la ulimwengu na pia lina jukumu lisilofidika la kudumisha na kuimarisha hali ya ulimwengu. Ni mafumbo ya aina gani hasa yaliyofichika kuhusiana na kuinuka na kuanguka kwa mataifa? Ni nani aliye na mamlaka juu ya majaliwa ya kila nchi na watu wote? Sehemu hii ya ajabu kutoka kwa filamu ya Kikristo, "Yule Anayeshikilia Ukuu Juu ya Kila Kitu", itakufichulia majibu haya.

Tazama Video: Nyimbo ya Msifuni Mwenyezi Mungu

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni