Jumanne, 7 Agosti 2018

"Fichua Siri Kuhusu Biblia" (2) - Imefichuliwa: Uhusiano Kati ya Mungu na Biblia


"Fichua Siri Kuhusu Biblia" (2) - Imefichuliwa: Uhusiano Kati ya Mungu na Biblia


    Wachungaji na wazee wa kanisa wa ulimwengu wa dini wanaamini kuwa maneno na kazi zote za Mungu yamo ndani ya Biblia, kwamba wokovu wa Mungu katika Biblia ni mkamilifu na mradi watu waweke msingi wa imani yao katika Bwana katika Bibilia na washikilie Bibilia, basi wanaweza kunyakuliwa na wanaweza kuingia katika ufalme wa mbinguni. Je, kweli ukweli uko namna hii? Je, ni Mungu ambaye anaweza kufanya kazi kutuokoa, au Biblia? Je, ni Mungu ambaye anaweza kuonyesha ukweli, au Biblia? Ili kujifunza zaidi, tafadhali angalia video hii!



    Tazama zaidi:Asili ya Kanisa la Mwenyezi MunguUmeme wa Mashariki Hutoka wapi?

Jumatatu, 6 Agosti 2018

Sinema za Injili "Kutoka kwa Enzi Hububujika Maji ya Uzima" | Roho wa Ukweli Amekuja!

Sinema za Injili "Kutoka kwa Enzi Hububujika Maji ya Uzima" | Roho wa Ukweli Amekuja!

Tao Wei alikuwa mhubiri kutoka kanisa la nyumba. Kanisa lake lilipokuwa na ukiwa zaidi na zaidi siku baada ya siku, wafuasi wake wote wakawa walegevu na wenye roho dhaifu, na roho yake mwenyewe ilikuwa na giza. Yeye hakuweza tena kuhisi uwepo wa Bwana, na Tao Wei alichanganyikiwa, bila kujua la kufanya.

Jumapili, 5 Agosti 2018

Tamko la Arubaini na Saba

Tamko la Arubaini na Saba

Mwenyezi Mungu alisema, Ili kuwafanya wanadamu wawe wakomavu katika maisha na kuwafanya wanadamu na Mimi tuweze kutimiza matokeo katika udhanifu wetu wa pamoja, Nimewaendeka wanadamu kila mara, Nikiwakubalia kupata chakula na riziki kutoka kwa neno Langu na kupokea utele Wangu kutoka kwake. Sijawahi kuwapa wanadamu sababu ya kuaibika, lakini mwanadamu hafikirii hisia Zangu kamwe.

Jumamosi, 4 Agosti 2018

Nyimbo za Injili 2018 | "Matendo Ya Mungu Yanajaza Ulimwengu Mzima Tupu" Sifa kwa matendo ya Mungu ya ajabu

Nyimbo za Injili 2018 | "Matendo Ya Mungu Yanajaza Ulimwengu Mzima Tupu" Sifa kwa matendo ya Mungu ya ajabu

I
Mungu anatazama chini juu ya vitu vyote kutoka juu,
na Anatawala vitu vyote kutoka juu.
Wakati huo huo, Mungu ametuma wokovu Wake juu ya dunia.
Mungu anaangalia kutoka mahali Pake pa siri kila wakati,
kila hatua ya mwanadamu, kila kitu anachosema na kufanya.

Ijumaa, 3 Agosti 2018

Ufafanuzi wa Tamko la Kumi na Tisa

Ufafanuzi wa Tamko la Kumi na Tisa

Inaonekana kwamba katika mawazo ya watu, Mungu ni wa fahari sana naye Haeleweki. Ni kana kwamba Mungu haishi miongoni mwa wanadamu, kana kwamba anawadharau watu kwa sababu Yeye ni wa fahari sana. Mungu, hata hivyo, Huziseta fikira za wanadamu na kuzifuta zote, Akizika fikira zao zote ndani ya "makaburi" ambamo zinageuka kuwa majivu.

Alhamisi, 2 Agosti 2018

Mabadiliko ya Mtu Aliyeanguka

Kanisa la Mwenyezi Mungu, hukumu, Umeme wa Mashariki

Mabadiliko ya Mtu Aliyeanguka

Tong Xin    Mkoa wa Fujian
Nilizaliwa vijijini. Nilitoka kwa nasaba ya wakulima wanyenyekevu na zaidi ya hayo familia yetu ilikuwa na watu wachache, kwa hiyo mara nyingi tulikuwa tunadhulumiwa. Nilipokuwa na umri wa miaka 13, kulikuwa na mtoto aliyepigwa na mtu fulani kutoka nje ya kijiji chetu. Wanakijiji walimlaumu kwa uongo baba yangu kwa kuchochea hilo na wakasema walitaka kupekua nyumba yetu na kuchukua ngawira mali yetu, kuchukua nguruwe wetu na hata kumpiga baba yangu.

Jumatano, 1 Agosti 2018

Watu Wasio na Hila Sio Lazima Wawe Waaminifu

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mungu, Umeme wa Mashariki

Watu Wasio na Hila Sio Lazima Wawe Waaminifu

Cheng Mingjie    Jiji la Xi'an, Mkoa wa Shaanxi
Mimi hujiona kuwa mtu wa aina ya kuwa wazi na mchangamfu. Mimi huzungumza na watu kwa njia ya waziwazi; chochote ninachotaka kusema, mimi husema—mimi sio aina ya mtu wa kuzungukazunguka. Katika kuingiliana kwangu na watu mimi huwa ni mwaminifu na wazi kiasi. Mara kwa mara, mimi hudanganywa na kudhihakiwa kwa sababu ya kuwaamini wengine kwa urahisi.