Jumatano, 20 Septemba 2017

Umeme wa Mashariki | NYENDO ZA MATESO YA KIDINI NCHINI CHINA: MHALIFU NI NANI?(Ukuzaji)



Since it came to power in mainland China in 1949, the Chinese Communist Party has been unceasing in its persecution of religious faith. It has frantically arrested and murdered Christians, expelled and abused missionaries operating in China,

Jumatatu, 18 Septemba 2017

Je, Biblia ndiye Bwana, au ni Mungu? | “Bwana Wangu Ni Nani” ( Filamu za Injili )



Liu Zhizhong ni mzee katika kanisa moja la mtaani la nyumba nchini China. Amekuwa muumini kwa zaidi ya miaka 30, na amesisitiza bila kukoma kwamba “Biblia ni ufunuo wa Mungu,” “Biblia inamwakilisha Mungu, kuamini katika Mungu ni kuamini katika Biblia, kuamini katika Biblia ni kuamini katika Mungu.”

Ijumaa, 15 Septemba 2017

Upendo wa Mungu Huushinda Moyo wa Mwanadamu | “Wimbo wa Kifuasi cha Dhati” (Video Rasmi ya Muziki)



Upendo wa Mungu Huushinda Moyo wa Mwanadamu | "Wimbo wa Kifuasi cha Dhati" Video Rasmi ya Muzik


Kuna Mmoja hapa, Yeye ni Mungu katika mwili.
Anayoyasema, Anayoyafanya, yote ni ukweli.
Kukutana Naye, kumpata Yeye, nimebarikiwa sana.
Hekima Yake, Uadilifu Wake, nayapenda yote.
Anayoyasema, Anayoyafanya, yote ni ukweli.
Kuna Mmoja hapa, Yeye ni Mungu katika mwili.
Hekima Yake, uadilifu Wake, nayapenda yote.

Alhamisi, 14 Septemba 2017

Maisha Mapya Katika Ufalme - "Papa hapa, Hivi Sasa, Tuungane Pamoja" (Video Rasmi ya Muziki)


Kwa kupendana, sisi ni familia. Ah … ah … Papa hapa, hivi sasa, tunaungana; kusanyiko la watu wampendao Mungu. Bila upendeleo, tukishikizwa kwa karibu, furaha na utamu vikijaza nyoyo zetu. Jana tuliacha majuto na hatia; leo tunaelewana, tunaishi katika upendo wa Mungu. Pamoja, tuna furaha zaidi, huru kutoka kwa mwili. Ndugu zangu, pendaneni; sisi ni familia moja.

Jumamosi, 9 Septemba 2017

Ijumaa, 8 Septemba 2017

Mwenyezi Mungu | Wewe U Mwaminifu kwa Nani?

Mwenyezi Mungu |  Wewe U Mwaminifu kwa Nani?


Kila siku unayoiishi sasa ni ya maana sana na muhimu sana kwa hatima yako na majaliwa yako, kwa hivyo unapaswa kufurahia kila ulicho nacho na kila dakika inayopita. Unapaswa kutumia muda wako vizuri ili uweze kujinufaisha, ili usije kuishi maisha haya bure. Pengine unajihisi kukanganyikiwa unaojiuliza ni kwa nini Ninazungumza maneno haya. Kwa kweli, Sijapendezwa na matendo ya yeyote kati yenu.