Jumamosi, 5 Mei 2018

"Imani katika Mungu" (1) - Je, Utiifu kwa Wale Walio Madarakani Kweli ni Sawa na Utiifu kwa Mungu?

"Imani katika Mungu" (1) - Je, Utiifu kwa Wale Walio Madarakani Kweli ni Sawa na Utiifu kwa Mungu?


    Katika Biblia, Paulo alisema, "Acha kila nafsi itii mamlaka ya juu zaidi. Kwani hakuna mamlaka isipokuwa ya Mungu: mamlaka yaliyoko yameamriwa na Mungu. Yeyote yule anayepinga nguvu, anapinga amri ya Mungu: na yule anayepinga atapokea laana” (Warumi 13:1-2). Sisi waumini tunapaswa kuwatendea vipi wale walio madarakani? Je, utiifu kwa wale walio madarakani ni sawa na utiifu kwa Mungu kweli?

Ijumaa, 4 Mei 2018

Praise Gospel Music Swahili "Kila Kitu Kinaishi Chini ya Sheria na Masharti Yaliyowekwa na Mungu"

Praise Gospel Music Swahili "Kila Kitu Kinaishi Chini ya Sheria na Masharti Yaliyowekwa na Mungu"


Miaka elfu kadhaa imepita,
na mwanadamu angali anafurahia nuru na hewa aliyopewa na Mungu,
angali anapumua pumzi iliyotolewa na Mungu Mwenyewe,
angali anafurahia maua, ndege, samaki na wadudu walioumbwa na Mungu,
na kufurahia viumbe vyote vilivyotolewa na Mungu;

Alhamisi, 3 Mei 2018

Gospel Movie clip "Kusubiri" (2) - Bikira wenye Busara wanaweza kutofautisha Kristo wa kweli kati ya Kristo wa Uongo


Gospel Movie clip "Kusubiri" (2) - Bikira wenye Busara wanaweza kutofautisha Kristo wa kweli kati ya Kristo wa Uongo


    Ukikabiliwa na kurudi kwa pili kwa Bwana, je, utakuwa na hofu ya Makristo wa uongo kiasi kwamba utafunga mlango ili kujilinda na kusubiri ufunuo wa Bwana, au utatenda kama bikira mwerevu, na uitikie sauti ya Mungu na usalimu kurudi kwa Bwana? Video hii fupi itakuambia jinsi ya kukaribisha kuja kwa pili kwa Bwana.

Jumatano, 2 Mei 2018

Umeme wa Mashariki | Gospel Movie clip "Siri ya Utauwa" (1) - Siri ya Kuja kwa Mwana wa Adamu

Gospel Movie clip "Siri ya Utauwa" (1) - Siri ya Kuja kwa Mwana wa Adamu

    Akizungumza kuhusu kurudi kwa Bwana, Bwana Yesu alisema, “Kuweni tayari pia: kwani Mwana wa Adamu atakuja wakati ambapo hamfikiri” (Luka 12:40). "Kwani kama umeme, umulikao kutoka sehemu moja chini ya mbingu, huangaza hadi sehemu nyingine chini ya mbingu; vivyo hivyo ndivyo Mwana wa Adamu atakuwa katika siku yake.

Jumanne, 1 Mei 2018

Umeme wa Mashariki | 58. Wivu, Ugonjwa Sugu Wa Kiroho


58. Wivu, Ugonjwa Sugu Wa Kiroho

He Jiejing    Jiji la Hezhou, Mkoa wa Guangxi
Dada mmoja na mimi tuliunganishwa ili tusahihishe makala pamoja. Tulipokuwa tukikutana, nilitambua kuwa haikujalisha kama ilikuwa ni kuimba, kucheza ngoma, kupokea neno la Mungu, au kuwasiliana ukweli, huyu dada alikuwa bora kuniliko katika kila kipengele.

Latest Gospel Movie Swahili "Kusubiri" | Bwana Yesu Kristo Ameonekana Kufanya Kazi Yake

Latest Gospel Movie Swahili "Kusubiri" | Bwana Yesu Kristo Ameonekana Kufanya Kazi Yake

     Yang Hou'en ni mchungaji katika kanisa la nyumbani Uchina. Pamoja na babake Yang Shoudao, wamemngoja Bwana Yesu ashuke kutoka mawinguni na kuwachukua juu hadi katika ufalme wa mbinguni. Kwa ajili ya hili, walimfanyia Bwana kazi kwa bidii, walishikilia imara jina Lake, na kuamini kuwa yeyote ambaye sio Bwana Yesu ashukaye mawinguni ni Kristo wa uongo. Na hivyo, waliposikia habari kuhusu kuja mara ya pili kwa Bwana, hawakuisikiliza wala kuikubali.

Jumatatu, 30 Aprili 2018

New Gospel Movie Swahili "Siri ya Utauwa" | Bwana Yesu Kristo Atarudi Vipi?

New Gospel Movie Swahili "Siri ya Utauwa" | Bwana Yesu Kristo Atarudi Vipi?


    Lin Bo'en alikuwa mzee wa kanisa katika kanisa la nyumbani Uchina. Wakati wa miaka yake yote kama muumini, alihisi kwamba ameheshimiwa kuteseka kwa ajili ya Bwana, na alithamini kumfahamu na kumpata Bwana Yesu Kristo zaidi ya kitu kingine chochote duniani. Siku moja ya jaala, alienda nje kuhubiri na akasikia habari fulani za kushtua: Bwana Yesu amerudi katika mwili, na Yeye ni Kristo wa siku za mwisho—Mwenyezi Mungu! Lin Bo'en alikanganyikiwa.