Ijumaa, 5 Januari 2018

Wale Waliofanywa Kuwa Watimilifu Ndio Tu Wanaoweza Kuishi Maisha Yenye Maana | Umeme wa Mashariki

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, hukumu

Wale Waliofanywa Kuwa Watimilifu Ndio Tu Wanaoweza Kuishi Maisha Yenye Maana|Umeme wa Mashariki



Mwenyezi Mungu alisema, Kwa kweli, kazi inayofanywa sasa ni kuwafanya watu kumtoroka Shetani, kutoroka babu zao wa kale. Hukumu zote kwa neno zinalenga kufichua tabia potovu ya binadamu na kuwawezesha watu kuelewa kiini cha maisha. Hukumu hizi zote zilizorudiwa zinapenyeza mioyo ya watu. Kila hukumu inaathiri kwa njia ya moja kwa moja hatima yao na inalenga kujeruhi mioyo yao ili waweze kuachilia yale mambo yote husika na hivyo basi kuja kujua maisha, kuujua ulimwengu huu mchafu, na pia kujua hekima ya Mungu na uweza Wake na kujua mwanadamu huyu aliyepotoshwa na Shetani.

Alhamisi, 4 Januari 2018

Kuhusu Majina na Utambulisho | Umeme wa Mashariki

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, ukweli
Kuhusu Majina na Utambulisho | Umeme wa Mashariki


Kuhusu Majina na Utambulisho
Umeme wa Mashariki



Mwenyezi Mungu alisema, Iwapo unataka kufaa kwa ajili ya matumizi na Mungu, lazima uijue kazi ya Mungu; lazima uijue kazi Aliyofanya awali (katika Agano Jipya na la Kale), na, zaidi ya hayo, lazima uijue kazi Yake ya leo. Ndiyo kusema, ni lazima uzitambue hatua tatu za kazi ya Mungu ya zaidi ya miaka 6,000. Ukiulizwa ueneze injili, basi hutaweza kufanya hivyo bila kuijua kazi ya Mungu. Watu watakuuliza yote kuhusu Biblia, na Agano la Kale, na nini Yesu alisema na kufanya wakati huo. Watasema, “Mungu wenu hajawaeleza haya yote?

Jumatano, 3 Januari 2018

Unapaswa Kushughulikiaje Wito Wako wa Mustakabali? |Umeme wa Mashariki

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu, Injili
Unapaswa Kushughulikiaje Wito Wako wa Mustakabali? |Umeme wa Mashariki

Unapaswa Kushughulikiaje Wito Wako wa Mustakabali? |Umeme wa Mashariki




Mwenyezi Mungu alisema, Je, unaweza kuonyesha tabia ya Mungu ya nyakati kwa lugha inayofaa iliyo na umuhimu wa nyakati? Kupitia uzoefu wako wa kazi ya Mungu, unaweza kueleza kwa undani tabia ya Mungu? Utaielezaje vizuri, kikamilifu? Ili kupitia haya, watu wengine wapate kufahamu uzoefu wako. Utawezaje kupitisha uliyoyaona na kupitia kwa maskini hawa wa kuhurumiwa, na waumini wa kidini wa kumcha Mungu waliojitolea na waliojawa na njaa na kiu cha haki na wanaongoja uwe mchungaji wao?

Jumanne, 2 Januari 2018

Kupata Mwili Mara Mbili Kunakamilisha Umuhimu wa Kupata Mwili | Umeme wa Mashariki

Mwenyezi Mungu, Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki
Kupata Mwili Mara Mbili Kunakamilisha Umuhimu wa Kupata Mwili | Umeme wa Mashariki

Kupata Mwili Mara Mbili Kunakamilisha Umuhimu wa Kupata Mwili|Umeme wa Mashariki




Mwenyezi Mungu alisema, Kila hatua ya kazi iliyofanywa na Mungu ina umuhimu wake mkubwa. Yesu alipokuja zamani, Alikuwa mwanaume, lakini Mungu anapokuja wakati huu Yeye ni mwanamke. Kutokana na hili, unaweza kuona kwamba Mungu aliwaumba mwanaume na mwanamke kwa ajili ya kazi Yake na Kwake hakuna tofauti ya jinsia. Roho Wake anapowasili, Anaweza kuchukua mwili wowote kwa matakwa Yake na mwili huo unaweza kumwakilisha Yeye.

Jumatatu, 1 Januari 2018

Mazungumzo Mafupi Kuhusu “Ufalme wa Milenia Umefika” | Umeme wa Mashariki

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Mwenyezi Mungu

Mazungumzo Mafupi Kuhusu “Ufalme wa Milenia Umefika” | Umeme wa Mashariki


Mwenyezi Mungu alisema, Mnayaonaje maono ya Ufalme wa Milenia? Baadhi ya watu hutafakari sana kuuhusu na kusema kuwa Ufalme wa Milenia utadumu duniani kwa miaka elfu moja, hivyo basi ikiwa waumini wazee katika kanisa hawajaoa, je, wanapaswa kuoa? Familia yangu haina pesa, je napaswa nianze kutafuta pesa? … Ufalme wa Milenia ni nini? Je, mnajua? Watu ni nusu vipofu na wanapitia mateso mengi.

Jumapili, 31 Desemba 2017

Kumpenda Mungu Tu Ndiko Kumwamini Mungu Kweli | Umeme wa Mashariki

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mungu
Kumpenda Mungu Tu Ndiko Kumwamini Mungu Kweli | Umeme wa Mashariki 

Kumpenda Mungu Tu Ndiko Kumwamini Mungu Kweli|Umeme wa Mashariki


Mwenyezi Mungu alisema, Mnapotaka kumpenda na kumjua Mungu leo, kwa upande mmoja ni lazima mstahimili mateso, usafishaji, na kwa ule upande mwingine, ni lazima mgharamike. Hakuna funzo lililo kubwa kuliko lile la kumpenda Mungu, na inaweza kusemwa kuwa funzo ambalo watu hujifunza katika maisha yao yote ya imani ni jinsi ya kumpenda Mungu. Hii ni kusema, kama unamwamini Mungu ni lazima umpende Mungu.

Jumamosi, 30 Desemba 2017

Enzi ya Ufalme Ndiyo Enzi ya Neno | Umeme wa Mashariki

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Mwenyezi Mungu
Watiifu wa Kweli Hakika Watakubaliwa na Mungu | Umeme wa Mashariki

Enzi ya Ufalme Ndiyo Enzi ya Neno|Umeme wa Mashariki

Mwenyezi Mungu alisema, Katika Enzi ya Ufalme, Mungu anatumia neno ili kukaribisha enzi mpya, ili kubadilisha mbinu za kazi Yake, na kuweza kufanya kazi katika enzi nzima. Hii ndiyo kanuni ambayo Mungu hufanyia kazi katika Enzi ya Neno. Alikuwa mwili ili kuweza kuzungumza kutoka mitazamo tofauti, kumwezesha binadamu kumwona Mungu kwa kweli, ambaye ni Neno linaloonekana katika mwili, na hekima Yake na maajabu.