Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo kupata mwili. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo kupata mwili. Onyesha machapisho yote

Alhamisi, 11 Januari 2018

Tamko La Kumi Na Sita | Umeme wa Mashariki

Umeme wa Mashariki, Mwenyezi Mungu, Kanisa la Mwenyezi Mungu
Tamko La Kumi Na Sita | Umeme wa Mashariki

Tamko La Kumi Na SitaUmeme wa Mashariki


Mwenyezi Mungu alisema, Kuna mengi ambayo Natamani kumwambia mwanadamu, mambo mengi sana ambayo lazima Nimwambie. Lakini uwezo wa mwanadamu wa kukubali una upungufu mwingi: Hana uwezo wa kuyaelewa kabisa maneno Yangu kulingana na kile Ninachokitoa, na anaelewa kipengele kimoja tu lakini haelewi vingine. Lakini Simwangamizi mwanadamu kwa ajili ya ukosefu wake wa nguvu, wala Siudhiki na udhaifu wake.

Jumapili, 7 Januari 2018

Tofauti Kati ya Huduma ya Mungu katika Mwili na Wajibu wa Mwanadamu | Umeme wa Mashariki

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, kupata mwili
Tofauti Kati ya Huduma ya Mungu katika Mwili na Wajibu wa Mwanadamu | Umeme wa Mashariki


Tofauti Kati ya Huduma ya Mungu katika Mwili na Wajibu wa Mwanadamu




Mwenyezi Mungu alisema, Ni lazima myafahamu maono ya kazi ya Mungu na mpate mwelekeo wa kazi Yake. Huku ni kuingia kwa njia nzuri. Punde mnapong’amua ukweli wa maono kwa usahihi, kuingia wako utakuwa salama; bila kujali kazi Yake hubadilika kiasi gani, utaendelea kuwa imara moyoni mwako, utakuwa wazi kuhusu maono, na utakuwa na lengo la kuingia na kazi yako. Kwa njia hiyo, tajriba na ufahamu ulio ndani yako utakua kwa kina na kutakaswa zaidi. Punde unapong’amua ukweli wote, hutapoteza kitu maishani na hutapotea.

Jumanne, 2 Januari 2018

Kupata Mwili Mara Mbili Kunakamilisha Umuhimu wa Kupata Mwili | Umeme wa Mashariki

Mwenyezi Mungu, Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki
Kupata Mwili Mara Mbili Kunakamilisha Umuhimu wa Kupata Mwili | Umeme wa Mashariki

Kupata Mwili Mara Mbili Kunakamilisha Umuhimu wa Kupata Mwili|Umeme wa Mashariki




Mwenyezi Mungu alisema, Kila hatua ya kazi iliyofanywa na Mungu ina umuhimu wake mkubwa. Yesu alipokuja zamani, Alikuwa mwanaume, lakini Mungu anapokuja wakati huu Yeye ni mwanamke. Kutokana na hili, unaweza kuona kwamba Mungu aliwaumba mwanaume na mwanamke kwa ajili ya kazi Yake na Kwake hakuna tofauti ya jinsia. Roho Wake anapowasili, Anaweza kuchukua mwili wowote kwa matakwa Yake na mwili huo unaweza kumwakilisha Yeye.