Jumamosi, 22 Desemba 2018

Swahili Christian Video "Mazungumzo" (4): Kuitii Serikali Inayotawala Sio Sawa na Kumtii Mungu

Swahili Christian Video "Mazungumzo" (4): Kuitii Serikali Inayotawala Sio Sawa na Kumtii Mungu

Ili kumdanganya na kumjaribu Mkristo mmoja kumtelekeza Mungu, CCP kilimwita mchungaji mmoja wa Kanisa la Utatu kumtia kasumba, na Mkristo huyu na mchungaji wakazua mjadala mzuri juu ya maneno ya Paulo: "Acha kila nafsi itii mamlaka ya juu zaidi. Kwani hakuna mamlaka isipokuwa ya Mungu: mamlaka yaliyoko yameamriwa na Mungu" (Warumi 13:1). Fasiri zao tofauti ni zipi za maneno haya? Mchungaji wa Utatu yuko chini ya CCP na huchukua njia ya Kanisa la Utatu—kwa kweli ni kusudi gani la siri liko hapo?

Ijumaa, 21 Desemba 2018

Tamko la Sitini na Moja

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki

Sura ya 61

Mwenyezi Mungu alisema, Ukiwa na ufahamu wa hali yako mwenyewe basi utafanikisha mapenzi Yangu. Kwa kweli, mapenzi Yangu si magumu kushika, ni kwamba tu katika siku zilizopita hukuweza kutafuta kulingana na lengo Langu. Ninachotaka si dhana wala fikira za binadamu, sembuse pesa zako wala mali yako. Ninachotaka ni moyo wako, unaelewa? Haya ni mapenzi Yangu, na hata zaidi ni kitu ambacho Nataka kupata. Watu daima hutumia dhana zilizo akilini mwao kunifanyia maamuzi, na kuhakiki kimo Changu wakitumia Vipimo vyao.

Alhamisi, 20 Desemba 2018

Swahili Christian Video "Mazungumzo"(3): Upingaji wa Wakristo wa Kushangaza kwa Uvumi na Kashfa za CCP

Swahili Christian Video "Mazungumzo"(3): Upingaji wa Wakristo wa Kushangaza kwa Uvumi na Kashfa za CCP

Ili kuwadanganya Wakristo kumsaliti Mungu na kuiacha imani yao, CCP kimemsaliti Kristo wa siku za mwisho na Bwana Yesu hadharani, kikisema kuwa wote wawili ni watu wa kawaida na sio Mungu mwenye mwili. CCP kimewakashifu Wakristo kama wanaomwamini mtu tu na sio Mungu. Pia kimeeneza uvumi kwamba Kanisa la Mwenyezi Mungu liliundwa na mtu kwa kuwa tu mtu ambaye hutumiwa na Mungu ndiye anayeyaendesha mambo yote ya utawala ya kanisa. Kupata mwili kwa kweli ni nini?

Jumatano, 19 Desemba 2018

Swahili Christian "Mazungumzo" Video (2): Jinsi Wakristo Wanavyoukabili Utiaji Kasumba wa Ukanaji Munguwa CCP

Swahili Christian "Mazungumzo" Video (2): Jinsi Wakristo Wanavyoukabili Utiaji Kasumba wa Ukanaji Munguwa CCP

Ili kuwalazimisha Wakristo kumtelekeza Mungu na kuiacha imani yao, CCP haijawaashawishi Wakristo kwa umaarufu na hadhi tu, lakini imewatia kasumba ya ukanaji Mungu, uyakinifu, kuamini mageuko, na maarifa ya kisayansi. Kwa hiyo Wakristo wamepokeaje utiaji kasumba na ubadilishaji wa CCP? Kwa nini wanaendelea kufuatilia kwa ukaidi njia ya kumwamini Mungu na kumfuata Mungu? Video hii fupi ya ajabu umetayarishiwiwa ili kuyajibu maswali haya.

Jumanne, 18 Desemba 2018

Swahili Christian Video "Mazungumzo" (1): Kwa nini CCP Huwafuatia na Kuwakandamiza Wakristo Sana?

Swahili Christian Video "Mazungumzo" (1): Kwa nini CCP Huwafuatia na Kuwakandamiza Wakristo Sana?

Katiba ya China hutamka kwa dhahiri uhuru wa dini, lakini kisirisiri, serikali hutumia rasilimali nyingi mno za binadamu na za kifedha kwa kuikandamiza imani ya dini na kuwatesa Wakristo kikatili. Hata hawajaacha kununua vifaa vya hali ya juu zaidi kuwafuatia, kuwafuma, na kuwakamata Wakristo. Serikali ya China imewanyang'anya raia wake haki ya uhuru wa imani na imewanyima kwa utundu haki ya kuishi. Kwa hiyo kwa kweli ni nini sababu na lengo la CCP kufanya yote haya?

Jumatatu, 17 Desemba 2018

2018 Gospel Music "Mungu Kuutawala Ulimwengu" (Swahili Subtitles)

2018 Gospel Music "Mungu Kuutawala Ulimwengu" (Swahili Subtitles)

Ulimwengu ni mkubwa sana na usio na kikomo, na una nyota nyingi mno zisizohesabika katika mzunguko sahihi…. Unatamani kujua aliyeziumba sayari za juu za ulimwengu, na yule ambaye huamuru tao la mtupo angani? Dondoo ya kustaajabisha ya filamu ya Kikristo ya Mungu Kuutawala Ulimwengu itakuonyesha nguvu yenye uwezo ya Muumba.

Yaliyopendekezwa: Kuhusu Kanisa la Mwenyezi MunguChanzo cha Mafanikio ya Umeme wa Mashariki

Jumapili, 16 Desemba 2018

2018 Gospel Music "Mungu Kuutawala Mwanzo na Mustakabali wa Wanadamu" (Swahili Subtitles)

2018 Gospel Music "Mungu Kuutawala Mwanzo na Mustakabali wa Wanadamu" (Swahili Subtitles)

Kutoka wakati tunapoingia ulimwenguni tukilia kwa huzuni, sisi huanza kutekeleza majukumu tofauti katika maisha. Sisi husogea kutoka kuzaliwa hadi ugonjwa hadi uzee hadi kifo; sisi huenda kati ya furaha na huzuni…. Wnadamu hasa hutoka wapi, na kwa kweli tutaenda wapi? Ni nani aliyeudhibiti mwanzo wa mwanadamu, na ni nani huamuru mustakabali wake? Leo, yote yatafichuliwa …

Yaliyopendekezwa: Kuhusu Kanisa la Mwenyezi Mungunyimbo za dini