Jumatano, 19 Desemba 2018

Swahili Christian "Mazungumzo" Video (2): Jinsi Wakristo Wanavyoukabili Utiaji Kasumba wa Ukanaji Munguwa CCP

Swahili Christian "Mazungumzo" Video (2): Jinsi Wakristo Wanavyoukabili Utiaji Kasumba wa Ukanaji Munguwa CCP

Ili kuwalazimisha Wakristo kumtelekeza Mungu na kuiacha imani yao, CCP haijawaashawishi Wakristo kwa umaarufu na hadhi tu, lakini imewatia kasumba ya ukanaji Mungu, uyakinifu, kuamini mageuko, na maarifa ya kisayansi. Kwa hiyo Wakristo wamepokeaje utiaji kasumba na ubadilishaji wa CCP? Kwa nini wanaendelea kufuatilia kwa ukaidi njia ya kumwamini Mungu na kumfuata Mungu? Video hii fupi ya ajabu umetayarishiwiwa ili kuyajibu maswali haya.

Yaliyopendekezwa: Kuhusu Kanisa la Mwenyezi MunguUmeme wa Mashariki Hutoka wapi?

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni