Jumanne, 23 Oktoba 2018

Wimbo wa Injili "Kiini cha Kristo Ni Mungu" | Differences Between the True Christ and False Christs

Wimbo wa Injili "Kiini cha Kristo Ni Mungu" | Differences Between the True Christ and False Christs


Mungu anayekuwa mwili anaitwa Kristo,
na hivyo Kristo anayeweza kuwapa watu ukweli anaitwa Mungu.
Si kupita kiasi kusema hivyo,
kwani Ana kiini cha Mungu, Ana tabia ya Mungu na hekima katika kazi Yake,
ambayo haifikiwi na mwanadamu.
Wale wanaojiita Kristo wenyewe ilhali hawawezi kufanya kazi ya Mungu ni wadanganyifu.

Jumatatu, 22 Oktoba 2018

Swahili Praise Song "Upendo wa Mungu Unauzingira Moyo Wangu" Thank and Praise the Lord for His Grace

Swahili Praise Song "Upendo wa Mungu Unauzingira Moyo Wangu" Thank and Praise the Lord for His Grace


Jua la haki linainuka Mashariki.
Ee Mungu! Utukufu Wako unajaza mbingu na dunia.
Mpendwa wangu, upendo Wako unauzunguka moyo wangu.
Wale wanaotafuta ukweli—wanampenda Mungu, kila mmoja.
Asubuhi na mapema, ingawa naamka peke yangu,
furaha iko moyoni mwangu ninavyoyatafakari maneno ya Mungu.

Tamko La Thelathini Na Tano

Tamko La Thelathini Na Tano

Ngurumo saba zinatoka kwenye kiti cha enzi, zinautikisa ulimwengu, zinageuza mbingu na ardhi, na zinavuma angani! Sauti hiyo inapenya sana kiasi kwamba watu hawawezi kuepuka wala kujificha. Nuru ya ghafla ya umeme na sauti ya radi zinatumwa mbele, zikiiangusha chini mbingu na ardhi papo hapo, na watu wamekaribia kufa. Kisha, dhoruba ya mvua kali inafagia ulimwengu wote kwa kasi ya umeme, ikianguka kutoka angani!

Jumapili, 21 Oktoba 2018

Tamko la Thelathini na Sita


Tamko la Thelathini na Sita

Mwenyezi Mungu wa kweli, Mfalme katika kiti cha enzi, hutawala ulimwengu mzima, Anakabiliana na mataifa yote na watu wote, kila kitu chini ya mbingu hung’aa kwa utukufu wa Mungu. Viumbe vyote hai katika miisho ya ulimwengu vitaona. Milima, mito, maziwa, ardhi, bahari na viumbe vyote viishivyo, katika nuru ya uso wa Mungu wa kweli wamefungua mapazia yao, kuhuishwa, kama kuamka kutoka kwa ndoto, kuchipuka kwa kuvunja uchafu!

Filamu za Injili | "Kupita Katika Mtego" | Jinsi ya Kutambua Kiini cha Mafarisayo wa Kidini

Filamu za Injili | "Kupita Katika Mtego" | Jinsi ya Kutambua Kiini cha Mafarisayo wa Kidini

Wachungaji na wazee wa ulimwengu wa dini wote ni watu wanaomtumikia Mungu katika makanisa. Wao mara nyingi wanaisoma Biblia na kutoa mahubiri kwa waumini, wawawaombea na kuwaonyesha huruma, lakini kwa nini tunasema wao ni Mafarisayo wa uongo? Hasa kuhusiana na kuchukilia kwao kurudi kwa Bwana, wao huwatafuti au kuchunguza kitu chochote, lakini kinyume chake wanakataa na kuhukumu kazi ya Mwenyezi Mungu. Kwa nini hasa ni hivi?

Yaliyopendekezwa: Asili ya Kanisa la Mwenyezi Mungu

Jumamosi, 20 Oktoba 2018

Tamko La Hamsini na Mbili

Tamko La Hamsini na Mbili

Ninatokea kama Jua la haki, na nyinyi pamoja na Mimi tunashiriki utukufu na baraka, milele na milele! Huu ni ukweli thabiti, na tayari umeanza kutimizwa kwenu. Kwa yote ambayo Nimewaahidi, Nitawatimizia; yote Nisemayo ni ya kweli, na hayatarudi tupu. Baraka hizi za ajabu ziko juu yenu, hakuna yeyote mwingine anayeweza kuzidai; ni matunda ya utumishi wenu kwa kukubaliana na Mimi kwa maafikiano. Zitupilie mbali dhana zenu za kidini; yaamini maneno Yangu kuwa ya kweli na msiwe mwenye shaka!

Filamu za Injili | "Kupita Katika Mtego" | Kufunua Ukweli wa Maelezo ya Viongozi wa Kidini ya Biblia

Filamu za Injili | "Kupita Katika Mtego" | Kufunua Ukweli wa Maelezo ya Viongozi wa Kidini ya Biblia

Wachungaji na wazee wa ulimwengu wa dini mara nyingi huelezea Biblia kwa watu na kuwafanya washikilie Biblia. Kwa kufanya hivi, je, kwa kweli wanamwinua Bwana na kutoa ushahidi kwa ajili Yake? Watu wengi hawawezi kufahanu hili. Wachungaji na wazee huinua maneno ya mwanadamu ndani ya Biblia, kutumia maneno ya mwanadamu ndani ya Biblia kuchukua nafasi ya Bwana na kupinga maneno ya Bwana, na kuwaongoza watu katika ushirikina na kuabudu Biblia, ili Mungu atakapofanya kazi Yake mpya watu wengi wanajua tu Biblia na hawamjui Mungu,