Jumamosi, 20 Oktoba 2018

Filamu za Injili | "Kupita Katika Mtego" | Kufunua Ukweli wa Maelezo ya Viongozi wa Kidini ya Biblia

Filamu za Injili | "Kupita Katika Mtego" | Kufunua Ukweli wa Maelezo ya Viongozi wa Kidini ya Biblia

Wachungaji na wazee wa ulimwengu wa dini mara nyingi huelezea Biblia kwa watu na kuwafanya washikilie Biblia. Kwa kufanya hivi, je, kwa kweli wanamwinua Bwana na kutoa ushahidi kwa ajili Yake? Watu wengi hawawezi kufahanu hili. Wachungaji na wazee huinua maneno ya mwanadamu ndani ya Biblia, kutumia maneno ya mwanadamu ndani ya Biblia kuchukua nafasi ya Bwana na kupinga maneno ya Bwana, na kuwaongoza watu katika ushirikina na kuabudu Biblia, ili Mungu atakapofanya kazi Yake mpya watu wengi wanajua tu Biblia na hawamjui Mungu,

Ijumaa, 19 Oktoba 2018

Tamko la Hamsini na Sita

Tamko la Hamsini na Sita

Nimeanza kuchukua hatua kuadhibu wale ambao hufanya uovu, wale ambao hushika madaraka, na wale ambao hutesa wana wa Mungu. Kuanzia sasa kuendelea, yeyote anayenipinga katika moyo wake, mkono wa amri Zangu za utawala utakuwa daima juu yake. Fahamu hili! Huu ndio mwanzo wa hukumu Yangu na hakutakuwa na huruma itakayoonyeshwa kwa yeyote na hakuna atakayesamehewa kwani Mimi ni Mungu asiye na hisia ambaye hutenda haki; ingekuwa vyema kwenu kutambua hili.

Filamu za Injili | "Kupita Katika Mtego" | Je, Kuamini katika Biblia Kunaweza Kuwakilisha Kumwamini Mungu?

Filamu za Injili | "Kupita Katika Mtego" | Je, Kuamini katika Biblia Kunaweza Kuwakilisha Kumwamini Mungu?

Wachungaji na wazee wa ulimwengu wa dini hushikilia maneno ya Paulo katika Biblia yanayosema "Maandiko yote yametolewa kwa msukumo wa Mungu," wakiamini kwamba Biblia ni maneno ya Mungu kabisa na kufanya yote wanayoweza kuiinua Biblia na kuishuhudia, na kuifanya Biblia na Mungu kuwa visawe. Wanaamini kwamba Biblia inamwakilisha Bwana na kwamba imani katika Bwana ni imani katika Biblia. Je, Biblia nzima kweli imetolewa kwa msukumo wa Mungu? Je, Bwana, Mungu, yuko ndani ya Biblia?

Alhamisi, 18 Oktoba 2018

Filamu za Injili | "Kupita Katika Mtego" | Mtu Anaweza Kuokolewa kwa Kumwamini Bwana Katika Dini?

Filamu za Injili | "Kupita Katika Mtego" | Mtu Anaweza Kuokolewa kwa Kumwamini Bwana Katika Dini?

Ndani ya dini, kuna watu wengi ambao wanaamini kwamba, ingawa wachungaji na wazee wanashikilia mamlaka katika ulimwengu wa dini na kutembea njia ya Mafarisayo wafiki, ingawa wanakubali na kuwafuata wachungaji na wazee, wanaamini katika Bwana Yesu, si katika wachungaji na wazee, hivyo basi inawezaje kusemwa kuwa njia wanayoyotembea pia ni ile ya Mafarisayo? Je, mtu kweli hawezi kuokolewa kwa kumwamini Mungu ndani ya dini?

Sikiliza zaidi: Filamu za ushuhuda za injili, Chanzo cha Mafanikio ya Umeme wa Mashariki

Tamko la Hamsini na Tisa

Tamko la Hamsini na Tisa

Tafuta mapenzi Yangu zaidi katika mazingira unayoyakabili na kwa hakika utapata kibali Changu. Ilmradi uwe tayari kwenda katika utafutaji na kuhifadhi moyo ambao unanicha, Mimi Nitakupea yote unayokosa. Kanisa sasa linaingia utendaji rasmi na mambo yote yanaingia kwenye alama sahihi. Mambo hayako yalivyokuwa wakati mlipokuwa na limbuko la mambo yajayo. Lazima msiwe wa kuchanganyikiwa au kuwa bila utambuzi. Ni kwa nini Mimi nahitaji kwamba muingie ndani ya uhalisi katika kila kitu?

Jumatano, 17 Oktoba 2018

Tamko la Sitini na Tatu

Tamko la Sitini na Tatu

Zielewe hali zako mwenyewe, na zaidi ya hayo, kuwa wazi kuhusu njia unayohitaji kutembea; usubiri tena Mimi niyainue masikio yako na kukuonyesha mambo. Mimi ni Mungu ninayekagua moyo wa ndani kabisa wa mwanadamu nami najua kila fikra na wazo lako, hata zaidi Naelewa matendo na tabia yako. Lakini matendo yako na tabia yana ahadi Yangu? Je, yana mapenzi Yangu? Umetafuta haya kwa kweli? Je, kweli umetumia wakati wowote kuhusu suala hili? Je, kweli umefanya jitihada yoyote? Mimi sikukosoi.

Filamu za Injili | "Kupita Katika Mtego" | Pitia Hukumu Katika Siku za Mwisho na Upite Katika Mtego wa Shetani

Filamu za Injili | "Kupita Katika Mtego" | Pitia Hukumu Katika Siku za Mwisho na Upite Katika Mtego wa Shetani


Biblia inasema, "Kwa maana muda umekuja ambao lazima hukumu ianze katika nyumba ya Mungu..." (1 Petro 4:17). Katika siku za mwisho, Mwenyezi Mungu anaonyesha ukweli wote unaomtakasa na kumwokoa mwanadamu na Anatuonyesha tabia Yake yenye haki, uadhama na isiyokosewa. Kazi ya Mungu ya hukumu katika siku za mwisho imefanywa kumwokoa mwanadamu ili aweze kujinasua kutoka kwa ushawishi wa Shetani na kurudi kwa Mungu.