Jumanne, 16 Oktoba 2018

Filamu za Injili | "Kupita Katika Mtego" | Kwa nini Chama cha Kikomunisti cha China Kinalitesa Kanisa la Mwenyezi Mungu

Filamu za Injili | "Kupita Katika Mtego" | Kwa nini Chama cha Kikomunisti cha China Kinalitesa Kanisa la Mwenyezi Mungu

Chama cha Kikomunisti cha China ni serikali ya kishetani ambayo huchukia ukweli na Mungu. Kinajua kwamba Mwenyezi Mungu peke Yake katika ulimwengu ndiye Anayeweza kuonyesha ukweli. Mwenyezi Mungu yuko katika mchakato wa kufanya kazi ya wokovu wa siku za mwisho. Neno la Mwenyezi Mungu likienezwa kati ya watu, wale wote wanaopenda ukweli watarejea kwa Mwenyezi Mungu. Uso wa kishetani wa Chama cha Kikomunisti cha China, uso wake wa kweli, ambao huchukia ukweli na kumpinga Mungu utafunuliwa.

Jumatatu, 15 Oktoba 2018

Tamko la Sitini na Sita

Tamko la Sitini na Sita

Kazi Yangu imeendelea hadi hatua ya sasa na yote imefuata mipango ya busara ya mkono Wangu, na pia kuwa fanikio Langu kuu. Nani kati ya wanadamu anaweza kufanya kitu kama hiki? Na je, si wanaona ni afadhali waingilie kati usimamizi Wangu? Lakini lazima ujue kuwa hakuna namna yeyote anaweza kufanya kazi Yangu badala Yangu, sembuse kuizuia, kwani hakuna yeyote anayeweza kusema au kufanya vitu Nifanyavyo na kusema.

Filamu za Injili | "Kupita Katika Mtego" | Kwa nini Wachungaji na Wazee Wanalihukumu Umeme wa Mashariki

Filamu za Injili | "Kupita Katika Mtego" | Kwa nini Wachungaji na Wazee Wanalihukumu Umeme wa Mashariki


Kwa nini wachungaji na wazee wa ulimwengu wa dini wanakataa na kumhukumu Mwenyezi Mungu? Ni kwa sababu wanachukia, ni wenye uhasama na hawawezi kukubali ukweli ambao Mwenyezi Mungu mwenye mwili huonyesha. Hii ndio maana wanamkataa, wanamhukumu na kumpinga Kristo. Hii inafunua kiini cha shetani walicho nacho ambacho kinachukia ukweli. Ukweli ambao Kristo anaonyesha ni wa nguvu kubwa na wenye mamlaka.

Jumapili, 14 Oktoba 2018

Tamko la Sitini na Tisa

Tamko la Sitini na Tisa

Mapenzi Yangu yatokapo, yeyote anayethubutu kupinga na yeyote anayethubutu kuhukumu au kuwa na shaka, mara moja Nitamfukuza. Leo, yeyote ambaye hatendi kulingana na mapenzi Yangu, au yeyote anayeyafikiria mapenzi Yangu visivyo, ni lazima atupwe nje na kuondolewa kutoka kwa ufalme Wangu. Katika ufalme Wangu hakuna mtu mwingine—wote ni wana Wangu wa kiume, wale ambao Nawapenda na hunifikiria Mimi.

Filamu za Kikristo | "Toka Nje ya Biblia" | Is Believing in the Bible Believing in God?

Filamu za Kikristo | "Toka Nje ya Biblia" | Is Believing in the Bible Believing in God?

Wang Yue alikuwa ni mhubiri katika kanisa la nyumbani nchini China. Kwa moyo wake wote alihubiri na kuchunga kanisa la Bwana. Lakina wakti kanisa lake lilipoendelea kuwa tupu zaidi, alpatwa na wasiwasi lakini hangeweza kufanya chochote kulihusu. Alkiwa amepotea katika mateso na kushangazwa, yeye kwa bahati nzuri alikuja kukubali injili ya ufalme wa Mwenyezi Mungu. Alipofurahia utele wa neno la Mungu, yeye alielewa kwa kina upana wa wokovu wa Mungu.

Jumamosi, 13 Oktoba 2018

Tamko la Sabini na Moja

Tamko la Sabini na Moja

Mimi wote Nimejiweka dhahiri kwenu, lakini kwa nini mnashindwa kutafakari maneno Yangu kwa mioyo na nafsi zenu zote? Kwa nini mnachukua maneno Yangu kama takataka? Je,yote Ninayosema ni makosefu? Je, maneno Yangu yamekupiga katika sehemu ya uzima? Daima kuchelewesha, daima kusita, kwa nini mnafanya mambo hivi? Je, Mimi sijaongea wazi? Nimesema mara nyingi sana kwamba maneno Yangu lazima yatafakariwe kwa makini, na lazima yazingatiwe kwa makini.

Filamu za Kikristo "Toka Nje ya Biblia" (1) - Je, Ni Uzushi Kuondoka Kutoka Kwa Biblia?

Filamu za Kikristo "Toka Nje ya Biblia" (1) - Je, Ni Uzushi Kuondoka Kutoka Kwa Biblia?

Wakati Bwana Yesu alkuwa akifanya kazi Yake katika Enzi ya Neema, akihubiri kwamba ufalme wa mbinguni umekaribia na kuwaleta watu katika njia ya toba, Mafarisayo Wayahudi walimhukumu Yeye, wakisema kwamba maneno na kazi Yake zilikuwa kinyume na sheria za Agano la Kale, eti kuwa zilienda zaidi ya Agano la Kale, na kuwa yalikuwa ni uzushi.