Jumanne, 9 Oktoba 2018

Video za Kikristo | "Kaa Mbali na Shughuli Zangu" | Christ Is My Lord and My God

Video za Kikristo | "Kaa Mbali na Shughuli Zangu" | Christ Is My Lord and My God

Li Qingxin ni mhubiri katika kanisa la nyumba nchini Uchina ambaye amekuwa mwaminifu kwa Bwana kwa miaka mingi. Siku zote kwa shauku kubwa anaifanya kazi ya Bwana ya kuieneza injili, akisubiri kwa uangalifu kuja kwa Bwana ili amlete hadi kwenye ufalme wa mbinguni. Katika miaka ya hivi majuzi, Li Qingxin amegundua kwamba vikundi na makanisa mbalimbali yamekuwa na ukiwa zaidi. Umeme wa Mashariki, hata hivyo, limekuwa la kusisimua zaidi, licha ya shutuma na mateso mengi yenye mhemko kutoka kwa serikali ya Kikomunisti ya Uchina na jamii ya dini. Kondoo wazuri zaidi na zaidi na kondoo viongozi wa madhehebu na vikundi mbalimbali wamekubali Umeme wa Mashariki. Hii inamsababisha Li Qingxin kujichunguza kiasi fulani. Hasa, ameona kwamba wachungaji na wazee wa kanisa wa jamii ya dini hawasiti kuzua uvumi na upuzi mbalimbali wa kushutumu na kulichafua jina la Kanisa la Mwenyezi Mungu.

Jumatatu, 8 Oktoba 2018

Neno la Mungu "Jinsi ya Kuujua Uhalisi"

Neno la Mungu "Jinsi ya Kuujua Uhalisi"

Mwenyezi Mungu alivyosema, "Mungu ni Mungu wa uhalisi: kazi Zake zote ni halisi, maneno yote Anayoyanena ni halisi, na ukweli wote Anaouonyesha ni halisi. Kila kisicho maneno Yake ni kitupu, kisichokuwepo, na kisicho timamu. Leo, Roho Mtakatifu yupo kwa ajili ya kuwaongoza watu katika maneno ya Mungu. Ikiwa watu wanatafuta kuingia katika uhalisi, basi ni lazima wauandame uhalisi, na waujue uhalisi, baadaye ni lazima wapitie uhalisi, na kuishi kwa kudhihirisha uhalisi. Kadiri watu wanavyoujua uhalisi zaidi, kadiri wanavyoweza kugundua ikiwa maneno ya wengine ni halisi;

Christian movie Video Swahili | Nyendo za Mateso ya Kidini "Kuficha Uhalifu" Trailer

Christian movie Video Swahili | Nyendo za Mateso ya Kidini "Kuficha Uhalifu" Trailer


Tangu kilipokuja mamlakani katika China Bara mnamo mwaka wa 1949, Chama Cha Kikomunisti cha China kimekuwa hakikomi katika mateso yake kwa imani ya kidini. Kwa wayowayo kimewashika na kuwaua Wakristo, kuwafukuza na kuwadhulumu wamishonari wanaofanya kazi nchini China, wakachukua ngawira na kuchoma nakala nyingi za Biblia, wakafunga kabisa na kubomoa majengo ya kanisa, na bila mafanikio wakajaribu kukomesha makanisa yote ya nyumbani. Filamu hii ya hali halisi inayoonyesha kifo cha ghafla na kisichotarajiwa cha Mkristo Mchina aliyeitwa Song Xiaolan–kifo ambacho kwacho polisi wa CCP walitoa maelezo yasiyopatana na yaliyogongana. Baada ya kuchunguza, familia ya Song iligundua kwamba polisi walikuwa wakidanganya wakati wote huo. Jamaa wa familia ya Song alipata habari kutoka kwa jamaa aliyemfahamu katika Ofisi ya Usalama wa Umma ya kwamba Song Xiaolan alikuwa akifuatiwa kwa siri na polisi wa CCP kutokana na imani yake kwa Mungu na utendaji wa majukumu yake. Polisi walipomkamata, walimpiga hadi kufa. Ili kuepuka lawama, polisi vwalifunika ukweli kwa kubuni eneo la kifo la Song Xiaolan....

Tufuate: Msifuni Mwenyezi Mungu (MV), Umeme wa Mashariki Hutoka wapi?

Jumapili, 7 Oktoba 2018

Wimbo wa Maneno ya Mungu "Upendo Safi Bila Dosari" | What Is It to Truly Love God?

Wimbo wa Maneno ya Mungu "Upendo Safi Bila Dosari" | What Is It to Truly Love God?

I
Upendo ni hisia safi, safi bila dosari.
Tumia moyo, tumia moyo, kupenda, kuhisi, kutunza.
Upendo hauna masharti, vizuizi au kujitenga.
Tumia moyo, Tumia moyo, kupenda, kuhisi, kutunza.
Ukipenda hudanganyi, hulalamiki, hugeuki,
hutazamii kupata kitu, cha malipo.
Ukipenda utajitolea, ukubali taabu, kuwa kimoja, Mungu katika mapatano.

Nyendo za Mateso ya Kidini "Kuficha Uhalifu" (Christian Videos) swahili

Nyendo za Mateso ya Kidini "Kuficha Uhalifu" (Christian Videos) swahili

Tangu kilipokuja mamlakani katika China Bara mnamo mwaka wa 1949, Chama Cha Kikomunisti cha China kimekuwa hakikomi katika mateso yake kwa imani ya kidini. Kwa wayowayo kimewashika na kuwaua Wakristo, kuwafukuza na kuwadhulumu wamishonari wanaofanya kazi nchini China, wakachukua ngawira na kuchoma nakala nyingi za Biblia, wakafunga kabisa na kubomoa majengo ya kanisa, na bila mafanikio wakajaribu kukomesha makanisa yote ya nyumbani. Filamu hii ya hali halisi inayoonyesha kifo cha ghafla na kisichotarajiwa cha Mkristo Mchina aliyeitwa Song Xiaolan–kifo ambacho kwacho polisi wa CCP walitoa maelezo yasiyopatana na yaliyogongana. Baada ya kuchunguza, familia ya Song iligundua kwamba polisi walikuwa wakidanganya wakati wote huo.

Jumamosi, 6 Oktoba 2018

Sura ya 114

Sura ya 114

Niliumba ulimwengu dunia; Nilitengeneza milima, mito, na vitu vyote; Niliunda miisho ya mifumo ya sayari; Niliwaongoza wana Wangu na watu Wangu; Niliamuru vitu na mambo yote. Sasa, Nitawaongoza wazaliwa Wangu wa kwanza warudi kwenye Mlima Wangu Sayuni, kurudi mahali ambapo Naishi, ambayo itakuwa hatua ya mwisho katika kazi Yangu. Yote ambayo Nimeyatenda (kila kitu kilichofanyika kutoka uumbaji mpaka sasa) yalikuwa kwa sababu ya hatua ya leo ya kazi Yangu, na zaidi ni kwa sababu ya utawala wa kesho, ufalme wa kesho,

Worship and Praise Dance | "Wale Wanaompenda Mungu kwa Dhati Wote ni Watu Waaminifu" | The Kingdom of Christ Is Paradise for the Honest (Swahili Subtitles)

Worship and Praise Dance | "Wale Wanaompenda Mungu kwa Dhati Wote ni Watu Waaminifu" | The Kingdom of Christ Is Paradise for the Honest (Swahili Subtitles)

Safi na mwaminifu kama mtoto, asiye na hatia na mchangamfu, aliyejawa na nguvu za ujana,
wao ni kama malaika wanaokuja ulimwenguni.
Hakuna uongo, udanganyifu au hadaa, na moyo ulio wazi na mwaminifu, wanaishi na heshima.
Wanaitoa mioyo yao kwa Mungu, Mungu anawaamini, na wao ni watu waaminifu ambao Mungu anapenda.
Wale wanaopenda ukweli wote wana mioyo ya uaminifu.
Watu waaminifu hufurahia kutenda ukweli, na kwa kumtii Mungu mioyo yao ina amani.
Wanamcha Mungu, wanaepuka maovu na wanaishi kulingana na maneno ya Mungu.
Wanaishi katika maneno ya Mungu na wamewekwa huru na kuachiliwa.
Wanakubali uchunguzi wa Mungu na kuishi mbele Yake. Kumpenda Mungu ni kuwa na furaha na mwenye shangwe.