Jumatano, 19 Septemba 2018

Kujijua kwa Hakika kwa Kuuelewa Ukweli Tu

Kanisa la Mwenyezi Mungu, ukweli, Umeme wa Mashariki

Kujijua kwa Hakika kwa Kuuelewa Ukweli Tu




Wenwen Mji wa Changchun, Mkoa wa Jilin
Kwa maoni yangu, daima nililidhani kwamba mradi matendo ya nje yalionekana ya kufaa ambapo watu hawangeweza kuona upotovu wowote, basi lilichukuliwa kuwa mabadiliko. Kwa hiyo, nilizingatia kwa namna ya kipekee matendo ya nje katika kila kitu nilichokifanya. Nilijali tu kuhusu kama matendo yangu yalikuwa sahihi au la, na mradi tabia zangu za nje na matendo yalikuwa ya maana, nilikuwa sawa. Nilipokabiliwa na upogolewaji, nilijali tu kama kulikuwa na kitu kibaya na matendo yangu. Ningeridhishwa tu kama ningekanushwa katika matendo yangu.

Have You Been Rapturned? | "Kutamani Sana" | Swahili Christian Movie

Have You Been Rapturned? | "Kutamani Sana" | Swahili Christian Movie

Miaka elfu mbili iliyopita, Bwana Yesu aliwaahidi wafuasi Wake: "Naenda kuwatayarishia mahali. Na nikienda kuwatayarishia mahali, nitarudi tena na kuwapokea kwangu; ili mahali nipo, muweze kuwa pia" (Yohana 14:2-3). Kwa sababu ya hili, vizazi vya waumini vimeendelea kujawa na tumaini na kushikilia maombi kwa ajili ya kutimizwa kwa ahadi ya Bwana, na kutumaini na kuomba kwamba wanyakuliwe hadi kwenye mbingu ili kukutana na Bwana na kuingia katika ufalme wa mbinguni wakati Bwana atakapokuja.

Jumanne, 18 Septemba 2018

Wimbo wa Maneno ya Mungu "Mamlaka na Nguvu Anayoonyesha Mungu Anapopata Mwili"

Wimbo wa Maneno ya Mungu "Mamlaka na Nguvu Anayoonyesha Mungu Anapopata Mwili"

I
Mungu alikuja duniani hasa kutimiza ukweli wa "Neno kuwa mwili."
(tofauti na Agano la Kale, katika siku za Musa,
Mungu alizingumza moja kwa moja kutoka mbinguni).
Kisha, yote yatatimizwa katika enzi ya Ufalme wa Milenia
kuwa ukweli ambao watu wanaweza kuona,
ili watu waweze kuona utimizaji hasa kwa macho yao wenyewe.
Hii ni maana ya kina ya Mungu kuwa mwili.

Jumatatu, 17 Septemba 2018

Mabadiliko ya Kweli Humaanisha Nini?

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Kanisa, Umeme wa Mashariki



48. Mabadiliko ya Kweli Humaanisha Nini?

Jinru    Mji wa Nanyang, Mkoa wa Henan
Wakati ndugu wa kiume au wa kike alipoonyesha dosari zangu au hakusikiza kauli yangu ama sikuhisi kushawishika au nilibishana nao. Nilijutia vitendo vyangu baadaye, lakini nilipokabiliwa na mambo haya, sikuweza kujizuia mwenyewe kuifichua tabia yangu potovu. Nilisumbuliwa na hili kwa kina, na nikafikiri: Kwa nini maneno ya wengine yanaweza kuniaibisha hadi kukasirika? Na kwa nini sijabadilika hata kidogo licha ya miaka minane ya kumfuata Mungu? Nilikuwa na wasiwasi na tena na tena nilimtafuta Mungu kwa jibu.

Swahili Christian Variety Show | "Mwelekeo Mbaya" (Kusemezana) | Nearly Miss the Return of the Lord



Swahili Christian Variety Show | "Mwelekeo Mbaya" (Kusemezana) | Nearly Miss the Return of the Lord

Wakati Zhao Xun anasikia maneno yaliyonenwa na Bwana aliyerudi, anahisi kwamba maneno haya yote ni ukweli. Hata hivyo, anahofia kwamba kimo chake ni kidogo sana na hana uwezo wa kutambua, hivyo anataka kumtafuta mchungaji wake awe kama mlinda lango. Bila kutarajia, akiwa njiani kuelekea kwake, anakutana na Dada Zheng Lu. Kupitia ushirika wa Dada Zheng kuhusu ukweli, Zhao anaishia kuwa na utambuzi na kufahamu kwamba kukaribisha kurudi kwa Bwana, anapaswa kuzingatia kuisikia sauti ya Mungu, hiyo ndiyo njia pekee ya kufuata nyayo Zake. Kufuata na kuwaabudu wachungaji na wazee bila kufikiria hakika ni kuchukua mwelekeo mbaya.


Sikiliza zaidi:Nyimbo ya Msifuni Mwenyezi Mungu

Jumapili, 16 Septemba 2018

Best Swahili Christian Music Video 2018 "Upendo kwa Mungu" | The Love of God Never Leaves Us

Best Swahili Christian Music Video 2018 "Upendo kwa Mungu" | The Love of God Never Leaves Us

I
Ee Bwana,
Nimefurahia nyingi ya neema Yako.
Kwa nini mimi daima huhisi tupu ndani?
Je, sijapata ukweli na uzima?

Swahili Christian Music Video "Hadithi ya Xiaozhen" (3): Wakiacha Wema na Kufuata Uovu

Swahili Christian Music Video "Hadithi ya Xiaozhen" (3): Wakiacha Wema na Kufuata Uovu

    Katika ulimwengu huu wa mioyo mibaya ambapo pesa ni mfalme, ni machaguo yapi ambayo Xiaozhen aliye safi na mzuri aliyafanya, ya maisha na ya kuendelea kuishi …