Jumatatu, 17 Septemba 2018

Mabadiliko ya Kweli Humaanisha Nini?

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Kanisa, Umeme wa Mashariki



48. Mabadiliko ya Kweli Humaanisha Nini?

Jinru    Mji wa Nanyang, Mkoa wa Henan
Wakati ndugu wa kiume au wa kike alipoonyesha dosari zangu au hakusikiza kauli yangu ama sikuhisi kushawishika au nilibishana nao. Nilijutia vitendo vyangu baadaye, lakini nilipokabiliwa na mambo haya, sikuweza kujizuia mwenyewe kuifichua tabia yangu potovu. Nilisumbuliwa na hili kwa kina, na nikafikiri: Kwa nini maneno ya wengine yanaweza kuniaibisha hadi kukasirika? Na kwa nini sijabadilika hata kidogo licha ya miaka minane ya kumfuata Mungu? Nilikuwa na wasiwasi na tena na tena nilimtafuta Mungu kwa jibu.

Swahili Christian Variety Show | "Mwelekeo Mbaya" (Kusemezana) | Nearly Miss the Return of the Lord



Swahili Christian Variety Show | "Mwelekeo Mbaya" (Kusemezana) | Nearly Miss the Return of the Lord

Wakati Zhao Xun anasikia maneno yaliyonenwa na Bwana aliyerudi, anahisi kwamba maneno haya yote ni ukweli. Hata hivyo, anahofia kwamba kimo chake ni kidogo sana na hana uwezo wa kutambua, hivyo anataka kumtafuta mchungaji wake awe kama mlinda lango. Bila kutarajia, akiwa njiani kuelekea kwake, anakutana na Dada Zheng Lu. Kupitia ushirika wa Dada Zheng kuhusu ukweli, Zhao anaishia kuwa na utambuzi na kufahamu kwamba kukaribisha kurudi kwa Bwana, anapaswa kuzingatia kuisikia sauti ya Mungu, hiyo ndiyo njia pekee ya kufuata nyayo Zake. Kufuata na kuwaabudu wachungaji na wazee bila kufikiria hakika ni kuchukua mwelekeo mbaya.


Sikiliza zaidi:Nyimbo ya Msifuni Mwenyezi Mungu

Jumapili, 16 Septemba 2018

Best Swahili Christian Music Video 2018 "Upendo kwa Mungu" | The Love of God Never Leaves Us

Best Swahili Christian Music Video 2018 "Upendo kwa Mungu" | The Love of God Never Leaves Us

I
Ee Bwana,
Nimefurahia nyingi ya neema Yako.
Kwa nini mimi daima huhisi tupu ndani?
Je, sijapata ukweli na uzima?

Swahili Christian Music Video "Hadithi ya Xiaozhen" (3): Wakiacha Wema na Kufuata Uovu

Swahili Christian Music Video "Hadithi ya Xiaozhen" (3): Wakiacha Wema na Kufuata Uovu

    Katika ulimwengu huu wa mioyo mibaya ambapo pesa ni mfalme, ni machaguo yapi ambayo Xiaozhen aliye safi na mzuri aliyafanya, ya maisha na ya kuendelea kuishi …

Jumamosi, 15 Septemba 2018

Swahili Christian Movie "Ujinga Angamizi" | Why Can’t Foolish Virgins Enter the Kingdom of Heaven?

Swahili Christian Movie "Ujinga Angamizi" | Why Can’t Foolish Virgins Enter the Kingdom of Heaven?

    Zheng Mu'en ni mfanyakazi mwenza katika kanisa la Kikristo nchini Marekani, amemwamini Bwana kwa miaka mingi, na anafanya kazi kwa bidii na humtumia Bwana. Siku moja, shangazi yake anashuhudia kwake kwamba Bwana Yesu amerudi kuonyesha ukweli na kufanya kazi ya kumhukumu na kumtakasa mtu katika siku za mwisho, habari ambazo zinampendeza sana.

Swahili Christian Musical Trailer "Hadithi ya Xiaozhen" | Praise God for His Great Love

Swahili Christian Musical Trailer "Hadithi ya Xiaozhen" | Praise God for His Great Love

    Xiaozhen alikuwa Mkristo mwenye moyo safi, ulio na huruma, ambaye kila wakati alikuwa akiwashughulikia wenzake kwa uaminifu. Hata hivyo, ilipokuwa ni kwa manufaa yao, marafiki wake wa awali waligeuka na kuwa maadui wake. Baada ya kuteseka kutokana na msiba huu, Xiaozhen alilazimika kuuacha moyo wake wa kweli na kanuni zake za awali.

Ijumaa, 14 Septemba 2018

Swahili Christian Music Video "Hadithi ya Xiaozhen" (1): Jiwe, Karatasi, Makasi

Swahili Christian Music Video "Hadithi ya Xiaozhen" (1): Jiwe, Karatasi, Makasi

    Kikundi cha watoto wachangamfu, wanaopendeza kilikuwa kikicheza mchezo wakati, bila kufikiri, waliuliza swali lenye cha kali: "Wanadamu hutoka wapi?" Je, unalijua jibu la swali hili?


    Sikiliza zaidi : Kuhusu Kanisa la Mwenyezi Mungu, Filamu za Injili