Ijumaa, 14 Septemba 2018

Swahili Christian Music Video "Hadithi ya Xiaozhen" (5): Maisha katika Bwalo la Dansi

Swahili Christian Music Video "Hadithi ya Xiaozhen" (5): Maisha katika Bwalo la Dansi

    Akiishi nyuma ya kinyago, Xiaozhen alisimilishwa na kumezwa polepole na ulimwengu huu. Alipoteza heshima yake miongoni mwa njia potovu za ulimwengu mbaya …

Alhamisi, 13 Septemba 2018

Swahili Christian Movie | Nyendo za Mateso ya Kidini Nchini China | "Njia Ndefu ya Uhamisho"

Swahili Christian Movie | Nyendo za Mateso ya Kidini Nchini China | "Njia Ndefu ya Uhamisho"

    Tangu kilipokuja mamlakani katika China Bara mnamo mwaka wa 1949, Chama Cha Kikomunisti cha China kimekuwa hakikomi katika mateso yake kwa imani ya kidini. Kwa wayowayo kimewashika na kuwaua Wakristo, kuwafukuza na kuwadhulumu wamishonari wanaofanya kazi nchini China, wakachukua ngawira na kuchoma nakala nyingi za Biblia, wakafunga kabisa na kubomoa majengo ya kanisa, na bila mafanikio wakajaribu kukomesha makanisa yote ya nyumbani.…

est Christian Music "Yule Anayeshikilia Ukuu Juu ya Kila Kitu" (Swahili Musical Documentary) | Power of God

Best Christian Music "Yule Anayeshikilia Ukuu Juu ya Kila Kitu" (Swahili Musical Documentary) | Power of God

    Throughout the vast universe, all celestial bodies move precisely within their own orbits. Under the heavens, mountains, rivers, and lakes all have their boundaries, and all creatures live and reproduce throughout the four seasons in accordance with the laws of life…. This is all so exquisitely designed—is there a Mighty One ruling and arranging all this?

Jumatano, 12 Septemba 2018

Latest Swahili Christian Video "Kufungulia Moyo Minyororo" | Are We Really in Control of Our Own Fate?

Latest Swahili Christian Video "Kufungulia Moyo Minyororo" | Are We Really in Control of Our Own Fate?

    Chen Zhi alizaliwa katika familia iliyokuwa masikini. Shuleni, "Maarifa yanaweza kubadilisha majaliwa yako" na "Majaliwa ya mtu yako mikononi mwake" kama alivyofundishwa na shule ikawa wito wake. Aliamini kuwa almuradi angefanya kazi kwa bidii siku zote, angeweza kuwa bora kuliko wenzake, na kujipatia sifa na umaarufu. Baada ya kuhitimu kutoka chuo kikuu, Chen Zhi alipata kazi iliyolipa vizuri sana katika biashara ya nchi za nje. Hata hivyo, hakuridhika na hali aliyokuwa kwa wakati huo hata kidogo.

Jumanne, 11 Septemba 2018

Sinema Fupi ya Injili "Kuamka Kutoka kwa Ndoto" (2) - Bila Utakatifu Hakuna Mwanadamu Atakayeingia katika Ufalme wa Mbinguni



Sinema Fupi ya Injili "Kuamka Kutoka kwa Ndoto" (2) - Bila Utakatifu Hakuna Mwanadamu Atakayeingia katika Ufalme wa Mbinguni

    Wakati dhambi zetu sisi wanaomwamini Bwana zinasamehewa, je, tunapokea utakaso? Ikiwa hatutajitahidi kupata utakaso, na kujali tu kutumika kwa ajili ya Bwana na kufanya kazi ya Bwana kwa uaminifu, je, tutanyakuliwa kuingia katika ufalme wa mbinguni? Filamu hii ya Kuamka Kutoka kwa Ndoto, itakupa majibu yote!


    Sikiliza zaidi:Kuhusu Kanisa la Mwenyezi MunguFilamu za Injili

Jumatatu, 10 Septemba 2018

Sinema Fupi ya Injili "Kuamka Kutoka kwa Ndoto" (4) - Kukubali Kristo wa Siku za Mwisho na Kunyakuliwa Kuingia katika Ufalme wa Mbinguni

Sinema Fupi ya Injili "Kuamka Kutoka kwa Ndoto" (4) - Kukubali Kristo wa Siku za Mwisho na Kunyakuliwa Kuingia katika Ufalme wa Mbinguni

    Tukimwamini Bwana Yesu tu, na kutetea njia ya Bwana Yesu, lakini tukose kukubali kazi ya Mwenyezi Munguya hukumu katika siku za mwisho, tunawezaje kupokea utakaso na kuingia katika ufalme wa mbinguni? Je, unataka kuwa mwanamwali mwerevu ambaye anaweza kufuata nyayo za Mungu ili kupokea baraka katika ufalme wa mbinguni? Tafadhali tazama filamu hii.

Jumapili, 9 Septemba 2018

Swahili Gospel Movie Clip "Kutoka kwa Enzi Hububujika Maji ya Uzima" (1) - Jinsi ya Kutafuta Nyayo za Kazi ya Mungu

Swahili Gospel Movie Clip "Kutoka kwa Enzi Hububujika Maji ya Uzima" (1) - Jinsi ya Kutafuta Nyayo za Kazi ya Mungu

    Tunapokabiliana na ukiwa wa makanisa na giza iliyo katika roho, tunapaswa kuanza kutafuta nyayo za Bwana vipi? Tangu nyakati za kale njia ya kweli hupatwa mara kwa mara na mateso, na kuonekana na kazi ya Mungu wa kweli siku zote vitakumbana na ukandamizaji wa kikatili zaidi na mateso na upinzani wa hasira na hukumu ya ulimwengu wa kidini na Mungu serikali. Kama inavyosema katika Biblia, "dunia nzima hukaa ndani ya maovu" (1 Yohana 5:19). Hivyo, popote ambapo Mungu wa kweli huonekana kufanya kazi Yake bila shaka patakuwa ambapo sauti zinazomlaani zi kubwa zaidi. Hii ndiyo njia ya kutafuta nyayo za Bwana.


    Yaliyopendekezwa: Asili ya Kanisa la Mwenyezi Mungu