Jumatano, 11 Julai 2018

Sura ya 91. Kupitia Aina Tofauti Za Mazingira Kuna Manufaa Kwa ukuaji Wa Maisha Ya Binadamu

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Kanisa

Sura ya 91. Kupitia Aina Tofauti Za Mazingira Kuna Manufaa Kwa ukuaji Wa Maisha Ya Binadamu


Mwenyezi Mungu alisema, Ni vyema kupitia mazingira ya aina tofauti. Mungu hakupangii mazingira haya bila sababu. Yeye hakuongozi popote pale bila makusudi, bali Yeye huandaa mazingira fulani spesheli kwa kila mmoja—mazingira ya kifamilia, mazingira ya kimaisha, mazingira uliyokulia, na mazingira unatekeleza majukumu yako punde utakapo mwamini. Yeye hutayarisha hali au mazingira fulani spesheli kwako wewe kuzipitia.

Jumanne, 10 Julai 2018

Swahili Worship Song "Unapoufungua Moyo Wako kwa Mungu" | Seeing the Love of God

Swahili Worship Song "Unapoufungua Moyo Wako kwa Mungu" | Seeing the Love of God


Wakati hamumwelewi Mungu na hamjui asili Yake,
mioyo yenu haiwezi kamwe kufunguka, kufunguka kwa Mungu.
Mara utakapomwelewa Mungu wako,
utaelewa kile kilicho moyoni Mwake,
na kufurahia kile kilicho ndani Yake
kwa imani na usikivu wako wote.

Jumatatu, 9 Julai 2018

Best Swahili Worship Song "Nitampenda Mungu Milele" | Kusogea Mbele na Upendo wa Mungu

Best Swahili Worship Song "Nitampenda Mungu Milele" | Kusogea Mbele na Upendo wa Mungu


Best Swahili Worship Song "Nitampenda Mungu Milele" | Kusogea Mbele na Upendo wa Mungu (Swahili Dubbed)

I
Ee Mungu! Maneno Yako yameniongoza kukurudia Wewe.
Nakubali kufundishwa katika ufalme Wako mchana na usiku.
Majaribu mengi na uchungu, dhiki nyingi sana.
Mara nyingi nilitoa machozi na kuhuzunika sana,
mara nyingi nimeanguka katika mtego wa Shetani.
Lakini hujaniacha kamwe.
Uliniongoza kupitia taabu nyingi, Ukanilinda katika hatari nyingi.
Sasa najua kuwa Umenipenda.

Jumapili, 8 Julai 2018

Swahili Gospel Full Movie "Fichua Siri Kuhusu Biblia" | Kufichua Hadithi ya Kweli ya Biblia


Swahili Gospel Full Movie "Fichua Siri Kuhusu Biblia" | Kufichua Hadithi ya Kweli ya Biblia


Feng Jiahui na wazazi wake waliamini katika Bwana tangu alipokuwa mdogo. Alipokuwa na umri wa miaka 18 aliingia katika shule ya seminari, na katika miaka yake ya 30 akawa mhubiri katika kanisa la nyumba huko Shanxi, Uchina. Kwa miaka mingi, Feng Jiahui alidumisha imani madhubuti ya kuwa Biblia ilitiwa msukumo na Mungu, na kwamba lazima tuamini katika Mungu kwa mujibu wa Biblia.

Jumamosi, 7 Julai 2018

Christian Movie Video Swahili | Nyendo za Mateso ya Kidini | "Kukaribia Hatari na Kurudi"

Christian Movie Video Swahili | Nyendo za Mateso ya Kidini | "Kukaribia Hatari na Kurudi"


Tangu kilipokuja mamlakani katika China Bara mnamo mwaka wa 1949, Chama Cha Kikomunisti cha China kimekuwa hakikomi katika mateso yake kwa imani ya kidini. Kwa wayowayo kimewashika na kuwaua Wakristo, kuwafukuza na kuwadhulumu wamishonari wanaofanya kazi nchini China, wakachukua ngawira na kuchoma nakala nyingi za Biblia, wakafunga kabisa na kubomoa majengo ya kanisa, na bila mafanikio wakajaribu kukomesha makanisa yote ya nyumbani.

Ijumaa, 6 Julai 2018

Latest Christian Video Swahili "Nuru ya Kweli Yaonekana" | The Good News From God


Latest Christian Video Swahili "Nuru ya Kweli Yaonekana" | The Good News From God


Gangqiang ni Mkristo. Aliona namna upendo wa Bwana na huruma Yake kwa binadamu vilivyo vikubwa, na akaamua mara nyingi kwamba angempenda Bwana, kumridhisha Bwana, kutekeleza neno la Bwana, na kuwa na mwenendo wake binafsi kama mtu anayesifiwa na Bwana. Lakini alipotoa athari ya kimatendo kwa neno la Bwana, aligundua kwamba kwake yeye mwenyewe kulikuwa na mambo mengi potovu na ya uasi-ubinafsi, kiburi, udanganifu, na ulaghai na kadhalika. Tabia hizi potovu zilikuwa zinamrudisha nyuma, na hakuwa na nguvu kamwe za kuyatekeleza maneno ya Bwana.

Alhamisi, 5 Julai 2018

"Njia ya Kwenda katika Ufalme wa Mbinguni ni Yenye Hatari" (6) - Mungu Humtumiaje Shetani Kufanya Huduma

"Njia ya Kwenda katika Ufalme wa Mbinguni ni Yenye Hatari" (6) - Mungu Humtumiaje Shetani Kufanya Huduma



Mungu anasema, "Katika Mpango Wangu, Shetani amewahi ondoka katika kisigino cha kila hatua, na, kama foili ya hekima Yangu amejaribu siku zote kutafuta njia na namna ya kuvuruga mpango Wangu wa awali. Lakini Ningeweza kukabiliwa na miradi yake ya udanganyifu? Vyote mbinguni na duniani vinanitumikia—njama za udanganyifu za shetani zingeweza kuwa tofauti? Huku ndiko hasa kukutana kwa hekima Yangu, ndiyo hasa yaliyo ya ajabu kuhusu matendo Yangu, na ni kanuni ambayo mpango Wangu mzima wa usimamizi mzima unafanywa" (Neno Laonekana katika Mwili). Kazi ya Mungu ya siku za mwisho inakitumiaje Chama cha Kikomunisti cha China na nguvu zinazompinga Kristo katika dunia ya kidini kufanya huduma ya kuwafanya watu kukamilika kuwa washindi? Kwa nini inasemwa kwamba hekima ya Mungu inatumika kulingana na njama za ujanja za Shetani? Matokeo ya mwisho ya Chama cha Kikomunisti cha China na nguvu za upinga Kristo katika dunia ya kidini ambazo bila kukoma zimeuchukia ukweli, na kumkataa Mungu kwa fujo yatakuwa yapi? Tunakualika utazame video hii fupi.



Soma Zaidi: Kuhusu Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki Hutoka wapi?