Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Chukua-imani-katika-Yesu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Chukua-imani-katika-Yesu. Onyesha machapisho yote

Ijumaa, 6 Julai 2018

Latest Christian Video Swahili "Nuru ya Kweli Yaonekana" | The Good News From God

Latest Christian Video Swahili "Nuru ya Kweli Yaonekana" | The Good News From God

Gangqiang ni Mkristo. Aliona namna upendo wa Bwana na huruma Yake kwa binadamu vilivyo vikubwa, na akaamua mara nyingi kwamba angempenda Bwana, kumridhisha Bwana, kutekeleza neno la Bwana, na kuwa na mwenendo wake binafsi kama mtu anayesifiwa na Bwana. Lakini alipotoa athari ya kimatendo kwa neno la Bwana, aligundua kwamba kwake yeye mwenyewe kulikuwa na mambo mengi potovu na ya uasi-ubinafsi, kiburi, udanganifu, na ulaghai na kadhalika. Tabia hizi potovu zilikuwa zinamrudisha nyuma, na hakuwa na nguvu kamwe za kuyatekeleza maneno ya Bwana.