Ijumaa, 29 Juni 2018

Christian Music Video Swahili "Hadithi ya Xiaozhen" | Praise God for His Great Love (Trailer)

Christian Music Video Swahili "Hadithi ya Xiaozhen" | Praise God for His Great Love (Trailer)


Xiaozhen alikuwa Mkristo mwenye moyo safi, ulio na huruma, ambaye kila wakati alikuwa akiwashughulikia wenzake kwa uaminifu. Hata hivyo, ilipokuwa ni kwa manufaa yao, marafiki wake wa awali waligeuka na kuwa maadui wake. Baada ya kuteseka kutokana na msiba huu, Xiaozhen alilazimika kuuacha moyo wake wa kweli na kanuni zake za awali. Alianza kuisaliti dhamiri yake mwenyewe iliyo nzuri na roho safi, na kugaagaa katika kinamasi cha ulimwengu mbaya. … Huku akianguka kutoka kwa rehema na kutembea katika njia ya upotovu, alikanyagwa na ulimwengu na kukung’utwa na makovu na vilio. Alikuwa amefika mwisho kabisa, na katika wakati wa kukata tamaa wakati alikuwa amepoteza matumaini yote, mwishowe mwito wa kuaminika wa Mwenyezi Mungu ukauamsha moyo na roho ya Xiaozhen …


Alhamisi, 28 Juni 2018

"Njia ya Kwenda katika Ufalme wa Mbinguni ni Yenye Hatari" (1) - Umeme wa Mashariki Laitikisa Dunia ya Kidini

"Njia ya Kwenda katika Ufalme wa Mbinguni ni Yenye Hatari" (1) - Umeme wa Mashariki Laitikisa Dunia ya Kidini


Umeme wa Mashariki—kuonekana na kazi ya Mungu katika siku za mwisho limetikisa makundi na madhehebu yote, na kila aina ya wanadamu wamefichuliwa. Kondoo wengi wazuri katika kanisa wangependelea kuteseka kukamatwa kusikodhibitiwa na kuteswa na Chama cha Kikomunisti cha China ili tu kutafuta na kuchunguza Umeme wa Mashariki.

Jumatano, 27 Juni 2018

Gospel Film Swahili "Njia ya Kwenda katika Ufalme wa Mbinguni ni Yenye Hatari" | Follow God by the Way of the Cross

Gospel Film Swahili "Njia ya Kwenda katika Ufalme wa Mbinguni ni Yenye Hatari" | Follow God by the Way of the Cross


Zhong Xin ni mhubiri kutoka katika kanisa moja la nyumbani katika bara China. Amekuwa muumini katika Mungu kwa miaka mingi na kila mara amepitia kukamatwa na mateso ya CCP. Chuki yake ya CCP ni ya kina sana, na ameona wazi kwa muda mrefu sasa kwamba CCP ni utawala wa kishetani ambao unajiweka katika upinzani na Mungu.

Jumanne, 26 Juni 2018

"Kubisha Hodi Mlangoni" (3) - Wakristo Wameamka Baada ya Kumsikia Bwana Akizungumza Wakati wa Kurudi Kwake


"Kubisha Hodi Mlangoni" (3) - Wakristo Wameamka Baada ya Kumsikia Bwana Akizungumza Wakati wa Kurudi Kwake


    Bwana Yesu alisema, "Tazama, nasimama mlangoni, na kubisha: mtu akiisikia sauti yangu, na kuufungua mlango, nitaingia kwake, nami nitakula pamoja na yeye, na yeye pamoja na mimi" (Ufunuo 3:20). Kwa miaka hii yote, Kanisa la Mwenyezi Mungu limeshuhudia kwa uthabiti kuwa Bwana Yesu amerudi, na kwamba amesema maneno ya kufanya kazi ya hukumu ya siku za mwisho.

Jumatatu, 25 Juni 2018

Christian Movie Video Swahili | Nyendo za Mateso ya Kidini Nchini China | "Mhalifu ni Nani?"

Christian Movie Video Swahili | Nyendo za Mateso ya Kidini Nchini China | "Mhalifu ni Nani?"



Tangu kilipokuja mamlakani katika China Bara mnamo mwaka wa 1949, Chama Cha Kikomunisti cha China kimekuwa hakikomi katika mateso yake kwa imani ya kidini. Kwa wayowayo kimewashika na kuwaua Wakristo, kuwafukuza na kuwadhulumu wamishonari wanaofanya kazi nchini China, wakachukua ngawira na kuchoma nakala nyingi za Biblia, wakafunga kabisa na kubomoa majengo ya kanisa, na bila mafanikio wakajaribu kukomesha makanisa yote ya nyumbani.

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Tamko la Arubaini na Tatu

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Tamko la Arubaini na Tatu


Mwenyezi Mungu alisema, Labda ni kwa sababu tu ya amri Zangu za utawala ndio watu "wamevutiwa" sana na maneno Yangu. Wasingaliongozwa na amri Zangu za utawala, wote wangalikuwa wakilia kama chui wakubwa wenye milia ambao wamesumbuliwa sasa hivi. Kila siku Mimi Huzurura juu ya mawingu, Nikiwaangalia binadamu wanaoifunika dunia wakiwa katika kukurukakara zao, wakizuiliwa na Mimi kwa njia ya amri Zangu za utawala. Hii ndiyo njia pekee ya kuweka jamii ya binadamu kwa hali ya utaratibu, na hivyo Nimedumisha amri Zangu za utawala.

Jumapili, 24 Juni 2018

13. Kama Tu Binadamu Watamwabudu Mungu wa Kweli Ndiyo Wataweza Kuwa na Jaala Nzuri

Mungu aliumba dunia hii. Aliumba binadamu.
Alikuwa mjenzi wa utamaduni wa zamani wa Ugiriki na ustaarabu wa binadamu.
Mungu tu ndiye Anayefariji, Anayefariji binadamu huyu.
Mungu pekee ndiye Anayejali kuhusu binadamu huyu mchana na usiku.
Kukua kwa binadamu na kuendelea 
hakutenganishwi na mamlaka ya Mungu, mamlaka kuu ya Mungu.
Historia na siku za baadaye za binadamu
zinahusiana sana na mpango wa Mungu, mpango wa Mungu.