Jumapili, 17 Juni 2018

"Kubisha Hodi Mlangoni" (4) - Bwana Anabisha Mlangoni: Unaweza Kuitambua Sauti ya Bwana (1)

"Kubisha Hodi Mlangoni" (4) - Bwana Anabisha Mlangoni: Unaweza Kuitambua Sauti ya Bwana (1)


Bwana Yesu alisema, "Kondoo wangu huisikia sauti yangu" (Yohana 10:27). Kwa dhahiri, Bwana ananena ili kuwatafuta kondoo Wake wakati wa kurudi Kwake. Jambo la muhimu zaidi kwa Wakristo kufanya wanaposubiri kuja kwa Bwana ni kutafuta kusikia sauti ya Bwana. Mtu anawezaje kuitambua sauti ya Bwana, hata hivyo? Kuna tofauti gani kati ya sauti ya Mungu na sauti ya wanadamu?

Kutembea Katika Njia Ng’avu ya Maisha

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mungu, Umeme wa Mashariki

Kutembea Katika Njia Ng’avu ya Maisha

Xie Li, Marekani
Zamani nilikuwa mtu ambaye angefuata mitindo ya dunia, nilitaka kujiachilia kwa maisha yaanasa, na nilijali tu kuhusu anasa za mwili. Mara nyingi ningeenda na rafiki zangu kwa KTV usiku mzima, ningeenda matembezi kwa motokaa katikati ya usiku, ningeenda kuvua samaki katika bahari, na kusafiri pande zote nikitafuta vyakula vizuri.

Jumamosi, 16 Juni 2018

75. Hatimaye Naishi kwa Kudhihirisha Kiasi Kama Mwanadamu

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mungu, Umeme wa Mashariki

75. Hatimaye Naishi kwa Kudhihirisha Kiasi Kama Mwanadamu

Xiangwang Mkoa wa Sichuan
Ninahisi kuadibiwa sana moyoni mwangu kila mara ninapoona kwamba maneno ya Mungu yanasema: “Wanadamu dhalimu, wakatili! Kufumba macho na kula njama, kusukumana, kung’ang’ania sifa na mali, kuuana—haya yote yataisha lini? Mungu amezungumza maelfu na mamia ya maneno, ilhali hakuna hata mmoja ambaye amejifahamu.

Ijumaa, 15 Juni 2018

22. Maneno ya Mungu Yameniamsha

Kanisa la Mwenyezi Mungu, hukumu, Umeme wa Mashariki

22. Maneno ya Mungu Yameniamsha

Miao Xiao Mji wa Jinan, Mkoa wa Shandong
Katika siku zilizopita, nilikuwa daima nikifikiri kuwa Mungu aliposema “ni kibaraka na msaliti anayekikimbia kiti kikuu cheupe cha enzi” Alikuwa anaashiria wale wanaoikubali hatua hii ya kazi lakini wanaishia kurudi nyuma kwa sababu hawako radhi kustahimili mateso ya kuadibu na hukumu Yake. Kwa hivyo, wakati wowote nilipoona ndugu wakijiondoa katika njia hii kwa sababu yoyote ile, moyo wangu ungejawa na dharau kwao.

"Kubisha Hodi Mlangoni" (2) - Ni Makosa Gani Ambayo Hufanyika kwa Urahisi Zaidi Katika Kumkaribisha Bwana

"Kubisha Hodi Mlangoni" (2) - Ni Makosa Gani Ambayo Hufanyika kwa Urahisi Zaidi Katika Kumkaribisha Bwana


    Watu wengi wa imani katika jamii za kidini wanaamini kile wachungaji na wazee wa kanisa wanachokisema, "Maneno na kazi zote za Munguziko katika Biblia. Haiwezekani kwa maneno yoyote ya Mungu kuonekana nje ya Biblia." Je, kuna msingi wa kibiblia wa dai hili, hata hivyo?

Alhamisi, 14 Juni 2018

"Jina la Mungu Limebadilika?!" (3) - Umuhimu wa Jina la Mungu

"Jina la Mungu Limebadilika?!" (3) - Umuhimu wa Jina la Mungu


    "Yehova" na "Yesu" yalikuwa ni majina ya Mungu katika Enzi ya Sheria na Enzi ya Neema, na imetabiriwa katika Ufunuo kuwa Mungu atakuwa na jina jipya katika siku za mwisho. Ni kwa nini Mungu anaitwa kwa majina tofauti katika enzi mbalimbali? Majina haya mawili ya "Yehova" na "Yesu" yana umuhimu gani? Video hii fupi itakusaidia kukutatulia fumbo hili.

5. Ulinzi Bora Zaidi wa Mungu kwa Wanadamu

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mungu, Umeme wa Mashariki

5. Ulinzi Bora Zaidi wa Mungu kwa Wanadamu

Mji wa Kuiqian Rizhao, Mkoa wa Shandong
Kituo changu katika maisha, au hadhi, kilikuwa kitu ambacho sikuweza kamwe kukiachilia, na wakati Mungu alitengeneza mazingira yaliyonifichua, nilikuwa hasi, nikilalamika, na kukata tamaa tu. Ni kwa njia ya kusafishwa baada ya kusafishwa tu nilipopata kuelewa nia nzuri za Mungu, na kwamba kunijaribu Kwake hakukuwa kwa nia ya kunitesa. Badala yake, kulikuwa ni kunitakasa na kunifanya kuwa mkamilifu,