Jumapili, 10 Juni 2018

10. Usitafute Mbinu Mpya Unapomtumikia Mungu

10. Usitafute Mbinu Mpya Unapomtumikia Mungu

Heyi   Mji wa Zhuanghe, Mkoa wa Liaoning
Nilikuwa nimepandishwa cheo tu kuchukua jukumu la kiongozi wa kanisa. Lakini baada ya kipindi cha kazi ngumu, sio tu kuwa kazi ya kiinjili ilikuwa bila uhai kiasi, lakini ndugu zangu wa kiume na wa kike katika timu ya kiinjili walikuwa pia wakiishi katika hali hasi na ya udhaifu. Nikiwa nimekabiliwa na hali hii, sikuweza tena kudhibiti hisia zangu.

Trela ya Filamu "Yule Anayeshikilia Ukuu juu ya Kila Kitu" | Ushuhuda wa Nguvu ya Mungu

Trela ya Filamu "Yule Anayeshikilia Ukuu juu ya Kila Kitu" | Ushuhuda wa Nguvu ya Mungu


Throughout the vast universe, all celestial bodies move precisely within their own orbits. Under the heavens, mountains, rivers, and lakes all have their boundaries, and all creatures live and reproduce throughout the four seasons in accordance with the laws of life…. This is all so exquisitely designed—is there a Mighty One ruling and arranging all this?

Jumamosi, 9 Juni 2018

26. Roho Mtakatifu Hufanya Kazi kwa Njia yenye Maadili

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Roho Mtakatifu, Umeme wa Mashariki

26. Roho Mtakatifu Hufanya Kazi kwa Njia yenye Maadili

Qin Shuting Jijini Linyi, Mkoani Shandong
Kwa muda fulani, ingawa sikuwa nimeacha kula na kunywa manen0 ya Mungu, sikuhisi mwanga kamwe. Nilikuwa nimeomba kwa Mungu kwa ajili ya hili lakini, baadaye, bado sikuwa nimepata nuru. Hivyo niliwaza, “Nimekula na kunywa kile ambacho nilipaswa na Mungu hanipi nuru. Hakuna kile ninachoweza kufanya, na sina uwezo wa kupokea maneno ya Mungu.

Best Swahili Worship Gospel Songs "Njoo Mbele Ya Mungu Mara kwa Mara" | Uso kwa uso na Mungu



Chukua fursa unapokuwa na wakati, keti kimya mbele ya Mungu.
Soma neno Lake, jua ukweli Wake, rekebisha makosa yaliyo ndani yako.
Majaribu huja, yakabili; ijue nia ya Mungu na utakuwa na nguvu.
Mwambie ni vitu gani unavyokosa, shiriki ukweli Wake kila mara.
Roho yako ina furaha unapomwabudu Yeye.

Ijumaa, 8 Juni 2018

Nyimbo za Sifa "Upendo wa Kweli wa Mungu" | Haleluya! Msifuni Mungu! (Korean Song Swahili Subtitle)

Nyimbo za Sifa "Upendo wa Kweli wa Mungu" | Haleluya! Msifuni Mungu! (Korean Song Swahili Subtitle)


Leo naja mbele ya Mungu tena,
naona uso Wake wa kupendeza.
Leo naja mbele ya Mungu tena,
nimeacha siku zangu za zamani za kuzurura nyuma yangu.
Leo naja mbele ya Mungu tena,
kufurahia neno Lake kunanijaza na furaha.

Alhamisi, 7 Juni 2018

9. Ninaona njia ya kumjua Mungu

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mungu, Umeme wa Mashariki


9. Ninaona njia ya kumjua Mungu

Xiaocao Mji wa Changzhi, Mkoa wa Shanxi
Siku moja, niliona kifungu hiki kifuatacho cha neno la Mungu kwa maandishi “Namna Petro Alivyopata Kumjua Yesu”: “Kwenye kipindi kile alichomfuata Yesu, Petro alitazama na kutia moyoni kila kitu kuhusu maisha Yake: Matendo Yake, maneno Yake, mwendo Wake na maonyesho Yake. … Tangu wakati huo akiwa na Yesu, Petro alitambua pia kwamba hulka Yake ilikuwa tofauti na ile ya binadamu wa kawaida.

Christian Video Swahili "Mtoto, Rudi Nyumbani" | Hakuna Wokovu Ila Kupitia Kwa Bwana

Christian Video Swahili "Mtoto, Rudi Nyumbani" | Hakuna Wokovu Ila Kupitia Kwa Bwana


    Li Xinguang ni mwanafunzi wa shule ya upili ya ngazi ya juu. Alikuwa mvulana mwenye busara na mwenye tabia nzuri tangu alipokuwa mdogo. Wazazi wake na walimu wake walimpenda sana. Alipokuwa akienda katika shule ya kati, alipumbazwa na michezo ya kompyuta ya mtandaoni. Angekosa kwenda darasani mara kwa mara ili aende kwenye chumba cha mtandao.