Kupitia neema na kuinuliwa kwa Mungu, nilichukua jukumu la kuwa kiongozi wa kanisa. Wakati huo, nilikuwa na shauku mno na niliweka azimio mbele ya Mungu: Bila kujali kinachonikabili, sitayatelekeza majukumu yangu. Nitafanya kazi vizuri na yule dada mwingine na nitakuwa mtu anayetafuta ukweli.
"Jina la Mungu Limebadilika?!" (1) - Je, Kuna Maneno Mengine ya Mungu Kando ya Yale Yaliyo kwenye Biblia?
Biblia inasema, "Kisha nikaona katika mkono wa kuume wake yeye aliyeketi juu ya kile kiti cha enzi kitabu kilichoandikwa ndani na nyuma, kilichofungwa kwa mihuri saba" (Ufunuo 5:1). "Yeye aliye na sikio, na alisikie neno ambalo Roho aliyaambia makanisa;
New Gospel Movie Swahili "Jina la Mungu Limebadilika?!" | Kufichua Siri ya Jina la Mungu
Jina lake ni Wang Hua, na ni mhubiri wa kanisa la nyumbani Kusini mwa Uchina. Baada ya kuanza kumwamini Bwana, alipata kwenye Biblia kuwa Mungu aliitwa Yehova katika Agano la Kale, na aliitwa Yesukatika Agano Jipya. Ni kwa nini Mungu ana majina tofauti? Wang Hua alishangazwa sana na hili.
Gospel Movie clip "Kusubiri" (7) - Mwenyezi Mungu Afichua Siri za Mpango Wake wa Usimamizi wa Miaka 6,000
Bwana Yesu alifichua siri za ufalme wa mbinguni, na Mwenyezi Mungu alikuja kufunua siri zote za usimamizi wa wanadamu wa miaka 6,000! Je, unaweza kutambua kuwa Mwenyezi Mungu ni kurudi kwa mara ya pili kwa Bwana Yesu kwa kutazama siri ambazo Mwenyezi Mungu amezifunua? Tazama video hii fupi!
Wakati wa kufanya kazi kwangu kama kiongozi katika kanisa, kiongozi wangu mara nyingi angeshirikiana mifano ya kushindwa kwa wengine ili kutumikia kama somo kwetu. Kwa mfano: Viongozi wengine walizungumza tu kuhusu elimu na mafundisho lakini walikosa kutaja upotovu wao au kuwasiliana kwa karibu kuhusiana na ufahamu wao wa jinsi ukweli unavyotumika kwa ukweli.
Muda mfupi uliopita, kila wakati niliposikia kwamba wahubiri wa wilaya walikuwa wakija kwa kanisa letu, ningehisi kutaharaki kiasi. Sikufichua hisia zangu kwa nje, lakini moyo wangu ulijaa upinzani wa siri. Nilidhani: "Ingekuwa bora kama nyinyi nyote hamkuja.
Gospel Movie clip "Siri ya Utauwa" (3) - Siri ya Kupata Mwili kwa Mungu
Katika Enzi ya Neema, Mungu alipata mwili na akawa Bwana Yesu aliyekuja kuwakomboa wanadamu, na Mafarisayo wa Kiyahudi wakasema kwamba Bwana Yesu alikuwa mwanadamu tu. Katika siku za mwisho, Mungu amepata mwili na amekuwa Mwenyezi Mungu ambaye Amekuja kufanya kazi Yake ya hukumu, wachungaji na wazee wa kanisa wa ulimwengu wa kidini pia wanasema kwamba Mwenyezi Mungu ni mwanadamu tu, kwa hiyo tatizo ni lipi hapa?