Jumanne, 1 Mei 2018

Umeme wa Mashariki | 58. Wivu, Ugonjwa Sugu Wa Kiroho

58. Wivu, Ugonjwa Sugu Wa Kiroho

He Jiejing    Jiji la Hezhou, Mkoa wa Guangxi
Dada mmoja na mimi tuliunganishwa ili tusahihishe makala pamoja. Tulipokuwa tukikutana, nilitambua kuwa haikujalisha kama ilikuwa ni kuimba, kucheza ngoma, kupokea neno la Mungu, au kuwasiliana ukweli, huyu dada alikuwa bora kuniliko katika kila kipengele.

Latest Gospel Movie Swahili "Kusubiri" | Bwana Yesu Kristo Ameonekana Kufanya Kazi Yake

Latest Gospel Movie Swahili "Kusubiri" | Bwana Yesu Kristo Ameonekana Kufanya Kazi Yake

     Yang Hou'en ni mchungaji katika kanisa la nyumbani Uchina. Pamoja na babake Yang Shoudao, wamemngoja Bwana Yesu ashuke kutoka mawinguni na kuwachukua juu hadi katika ufalme wa mbinguni. Kwa ajili ya hili, walimfanyia Bwana kazi kwa bidii, walishikilia imara jina Lake, na kuamini kuwa yeyote ambaye sio Bwana Yesu ashukaye mawinguni ni Kristo wa uongo. Na hivyo, waliposikia habari kuhusu kuja mara ya pili kwa Bwana, hawakuisikiliza wala kuikubali.

Jumatatu, 30 Aprili 2018

New Gospel Movie Swahili "Siri ya Utauwa" | Bwana Yesu Kristo Atarudi Vipi?

New Gospel Movie Swahili "Siri ya Utauwa" | Bwana Yesu Kristo Atarudi Vipi?

    Lin Bo'en alikuwa mzee wa kanisa katika kanisa la nyumbani Uchina. Wakati wa miaka yake yote kama muumini, alihisi kwamba ameheshimiwa kuteseka kwa ajili ya Bwana, na alithamini kumfahamu na kumpata Bwana Yesu Kristo zaidi ya kitu kingine chochote duniani. Siku moja ya jaala, alienda nje kuhubiri na akasikia habari fulani za kushtua: Bwana Yesu amerudi katika mwili, na Yeye ni Kristo wa siku za mwisho—Mwenyezi Mungu! Lin Bo'en alikanganyikiwa.

Umeme wa Mashariki | 64. Huku Ni Kuweka Ukweli Katika Vitendo

64. Huku Ni Kuweka Ukweli Katika Vitendo

Fan Xing    Mji wa Zhumadian, Mkoa wa Henan
Katika siku za nyuma, nilikuwa nimeunganishwa na dada mmoja kufanya kazi kwa wajibu fulani. Kwa sababu nilikuwa na majisifu na mwenye kiburi na sikutafuta ukwelinilikuwa na mawazo kiasi ya kabla kuhusu dada huyu ambayo niliweka moyoni mwangu daima na sikuzungumza waziwazi naye.

Jumapili, 29 Aprili 2018

Umeme wa Mashariki | Gospel Movie clip "Kusubiri" (1) - Je, Tunapaswa Kukesha na Kungoja Vipi Kuja Mara ya Pili kwa Bwana?

Umeme wa MasharikiGospel Movie clip "Kusubiri" (1) - Je, Tunapaswa Kukesha na Kungoja Vipi Kuja Mara ya Pili kwa Bwana?

    Bwana atakapokuja tena, Atashuka na mawingu, au Atakuja kwa siri kama mwizi? Je, Utakukabili vipi kuja kwa mara ya pili kwa Bwana? Je, utakuwa na hofu kubwa ya kupotoshwa na Kristo wa uongo hivi kwamba utakataa kumtafuta, au utaiga sehemu ya bikira mwenye busara na kusikiliza kwa makini sauti ya Mungu? Tunapaswaje "kukesha na kungoja" ili tuweze kumkaribisha Bwana atakapokuja? Tazama video hii fupi!

Jumamosi, 28 Aprili 2018

Umeme wa Mashariki | 52. Jitiishe Mwenyewe ili Kufundisha Wengine Nidhamu

Kanisa la Mwenyezi Mungu, ukweli, Umeme wa Mashariki

Umeme wa Mashariki | 52. Jitiishe Mwenyewe ili Kufundisha Wengine Nidhamu

Xiaoyan    Jiji la Xinyang, Mkoa wa Henan

Mwenyezi Mungu alisema, Nilikuwa na ubia wa kazi wa karibu na dada mmoja mzee katika masuala ya jumla. Baada ya kufanya kazi naye kwa muda fulani, nikamwona kuwa mzembe katika kazi yake na kwamba hakukubali ukweli. Kikwelikweli, nilikata kauli kumhusu.