Jumatano, 4 Aprili 2018

Umeme wa Mashariki | Karibu Kurudi kwa Bwana Yesu | Drama ya Muziki "Kwaya ya Injili ya Kichina Onyesho la 19"

Karibu Kurudi kwa Bwana Yesu | Drama ya Muziki "Kwaya ya Injili ya Kichina Onyesho la 19"


    Chini ya mbingu ya usiku yenye nyota, tulivu na kimya, kundi la Wakristo wanasubiri kwa ari kurudi kwa Mwokozi wakiimba na kucheza kwa muziki mchangamfu.Wanaposikia habari za furaha "Mungu amerejea" na "Mungu ametamka maneno mapya", wanashangaa na kusisimka.

Jumanne, 3 Aprili 2018

Umeme wa Mashariki | Mwabudu Mungu kwa Roho na Ukweli | "Sauti ya Moyo ya Kiumbe Aliyeumbwa"

Mwabudu Mungu kwa Roho na Ukweli | "Sauti ya Moyo ya Kiumbe Aliyeumbwa"


Sauti ya Moyo ya Kiumbe Aliyeumbwa

I
Nilitaka kulia lakini hakuna mahali palihisi sawa.
Nilitaka kuimba lakini hakuna wimbo ulipatikana.
Nilitaka kuonyesha upendo wa kiumbe aliyeumbwa.
Nikitafuta juu na chini, lakini hakuna maneno yangeweza kusema,
yangeweza kusema jinsi hasa ninavyohisi.
Mungu wa vitendo na wa kweli, upendo ndani ya moyo wangu.
Nainua mikono yangu kwa sifa, ninafurahia kwamba Ulikuja katika dunia hii.

Umeme wa Mashariki | Maono ya Kazi ya Mungu (2)

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki
Umeme wa Mashariki | Maono ya Kazi ya Mungu (2)

Umeme wa Mashariki | Maono ya Kazi ya Mungu (2)



Mwenyezi Mungu alisema, Enzi ya Neema ilihubiri injili ya toba, na alimradi mwanadamu aliamini, basi angeokolewa. Leo, badala ya wokovu kuna majadiliano tu ya ushindi na ukamilifu. Haisemwi katu kwamba mtu mmoja akiamini, familia yake yote itabarikiwa, au kwamba wokovu ni ya mara moja na kwa wote. Leo, hakuna mtu anayezungumza maneno haya, na vitu kama vile vimepitwa na wakati. Wakati huo kazi ya Yesu ilikuwa ni ukombozi wa wanadamu wote. Dhambi za wote ambao walimwamini zilisamehewa;

Jumatatu, 2 Aprili 2018

Umeme wa Mashariki | Kuhusu Maisha ya Petro

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mungu, Umeme wa Mashariki
Umeme wa Mashariki | Kuhusu Maisha ya Petro

Umeme wa Mashariki | Kuhusu Maisha ya Petro



Mwenyezi Mungu alisema, Petro ni mfano ambao Mungu aliutambulisha kwa wanadamu, na yeye ni mtu mashuhuri anayejulikana vizuri. Kwa nini mtu mnyonge kama huyo aliwekwa mahala kama mfano na Mungu na amesifiwa na vizazi vya baadaye? Bila shaka, ni wazi kwamba hili halitenganishwi na maonyesho yake na azimio lake la upendo kwa Mungu.

Umeme wa Mashariki | Gospel Music Swahili | "Njia Yote Pamoja na Wewe" Mungu ni Upendo

Umeme wa Mashariki | Gospel Music Swahili | "Njia Yote Pamoja na Wewe" Mungu ni Upendo


Nilikuwa kama mashua, ikielea baharini.
Ulinichagua, na mahali pazuri Uliniongoza.
Sasa katika familia Yako, nikipewa joto na upendo Wako,
nina amani kabisa.
Unanibariki, Unatoa maneno Yako ya hukumu.
Bado sijui jinsi ninavyokosa kuithamini neema Yako.

Jumapili, 1 Aprili 2018

Umeme wa Mashariki | Maono ya Kazi ya Mungu (1)

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mungu, Umeme wa Mashariki
Umeme wa Mashariki | Maono ya Kazi ya Mungu (1)


Umeme wa Mashariki
 | 
Maono ya Kazi ya Mungu (1)





Mwenyezi Mungu alisema, Yohana alimfanyia Yesu kazi kwa miaka saba, na tayari alikuwa ameandaa njia Yesu alipofika. Kabla ya haya, injili ya ufalme wa mbinguni iliyohubiriwa na Yohana ilisikika kotekote katika nchi, hivyo ilienea kutoka upande mmoja hadi upande mwingine wa Uyahudi, na kila mtu alimwita nabii. Wakati huo, Mfalme Herode alitamani kumuua Yohana, lakini hakuthubutu, kwani watu walimheshimu sana Yohana, na Herode aliogopa kwamba kama angemuua Yohana wangemuasi.

Je, Biblia ndiye Bwana, au ni Mungu? | "Bwana Wangu Ni Nani" ( Filamu za Injili )

Je, Biblia ndiye Bwana, au ni Mungu? | "Bwana Wangu Ni Nani" ( Filamu za Injili )


    Liu Zhizhong ni mzee katika kanisa moja la mtaani la nyumba nchini China. Amekuwa muumini kwa zaidi ya miaka 30, na amesisitiza bila kukoma kwamba "Biblia ni ufunuo wa Mungu," "Biblia inamwakilisha Mungu, kuamini katika Mungu ni kuamini katika Biblia, kuamini katika Biblia ni kuamini katika Mungu." Moyoni mwake, Biblia ni kuu.