Jumapili, 11 Machi 2018

Umeme wa Mashariki Hutoka wapi?

Umeme wa Mashariki Hutoka wapi?


Wafuasi wengi wa Bwana Yesu Kristo husikia kuhusu Umeme wa Mashariki kutoka kwa wachungaji wao, wazee wa kanisa, au wahubiri, lakini kwa hakika hakuna mtu anayejua Umeme wa Mashariki ulitoka wapi. Linapokuja suala la asili ya Umeme wa Mashariki, kila mtu ana maoni yake mwenyewe: Watu wengine wanaamini kuwa ni dhehebu jipya tu katika Ukristo, wengine huitweza kuwa "uasi" au "dhehebu bovu." Watu wana mawazo haya ya upuuzi kwa sababu hawajui kazi ya Mungu.

Kuamini Uvumi ni Kupoteza Wokovu wa Mungu wa Siku za Mwisho

Kuamini Uvumi ni Kupoteza Wokovu wa Mungu wa Siku za Mwisho


Wakati wowote wanaposikia mtu akizungumza juu ya injili ya Mwenyezi Mungu ya siku za mwisho, ndugu wengi wa kiume na wa kike kanisani wanashindwa kusikiliza na hawathubutu kukubali kile kinachosemwa kwa kuwa wameshtushwa na uvumi wa mihemko.

Jumamosi, 10 Machi 2018

Umeme wa Mashariki | Chanzo cha Mafanikio ya Umeme wa Mashariki

Kila wakati Umeme wa Mashariki linapotajwa, ndugu wengi katika Bwana huhisi mafadhaiko: Ni kwa nini jumuiya ya kidini kwa ujumla huzidi kuhuzunika na kupotoka, wakati kila dhehebu linazidi kuwa na hadhari na kushikilia ukale katika kushutumu na kufukuza Umeme wa Mashariki, Umeme wa Mashariki halihuzuniki tu na kudhoofika, lakini linaendelea mbele kama mawimbi yasiyoweza kusimamishwa, likienea kote China Bara?

Umeme wa Mashariki | "Wakati Wa Mabadiliko"(2) - Njia ya Pekee ya Kuinuliwa Kwenda Katika Ufalme wa Mbinguni

Umeme wa Mashariki | Wakati Wa Mabadiliko"(2) - Njia ya Pekee ya Kuinuliwa Kwenda Katika Ufalme wa Mbinguni


Watu wengine huamini, kwa kuwa Mungu aliweza kuumba mbingu na dunia na vitu vyote kwa neno moja, kuweza kuwafufua wafu kwa neno moja, Mungu pia Ataweza kubadili taswira zetu mara moja, kutufanya watakatifu, kutuinua hewani kukutana na Bwana wakati Atakaporudi katika siku za mwisho. Je, kweli ni ili kuinuliwa kwenda katika ufalme wa mbinguni?

Ijumaa, 9 Machi 2018

Umeme wa Mashariki | "Wakati Wa Mabadiliko"(1) - Wanawali Wenye Hekima Hunyakualiwaje?


Umeme wa Mashariki | "Wakati Wa Mabadiliko"(1) - Wanawali Wenye Hekima Hunyakualiwaje?


Watu wengine huongozwa na maneno ya Paulo katika suala la kumngoja Bwana ili kuinuliwa kwenda katika ufalme wa mbinguni: "Kwa ghafla, kufumba na kufumbua, wakati wa tarumbeta ya mwisho: kwa maana tarumbeta italia, na wafu watafufuliwa bila uovu, na tutabadilishwa" (1Kor 15:52).

"Ivunje Laana" (6) - Je, Utiifu kwa Wachungaji na Wazee wa Kanisa ni Sawa na Kumtii Mungu?

 "Ivunje Laana" (6) - Je, Utiifu kwa Wachungaji na Wazee wa Kanisa ni Sawa na Kumtii Mungu?


Waumini wengine huamini kwamba wachungaji na wazee wa kanisa wa ulimwengu wa kidini wamechaguliwa na kuteuliwa na Bwana, na kwamba wote ni watu wanaomtumikia Bwana. Hivyo wanaamini kwamba kuwatii tu wachungaji na wazee wa kanisa ni kumtii Bwana, na kwamba kuwaasi au kuwahukumu wachungaji na wazee wa kanisa ni kumpinga Bwana.

Alhamisi, 8 Machi 2018

"Ivunje Laana" (5) - Je, Wachungaji na Wazee wa Kanisa wa Ulimwengu wa Dini Wanateuliwa na Bwana Kweli?

"Ivunje Laana" (5) - Je, Wachungaji na Wazee wa Kanisa wa Ulimwengu wa Dini Wanateuliwa na Bwana Kweli?


Mungu mwenyewe hutoa ushuhuda kwa kila mtu Anayemteua na kumtumia. Angalau, wote hupokea uthibitisho wa kazi ya Roho Mtakatifu, huonyesha matunda ya kazi ya Roho Mtakatifu, na wanaweza kuwasaidia watu wa Mungu waliochaguliwa kupokea utoaji wa maisha na uchungaji wa kweli. Kwa sababu Mungu ni mwenye haki na mtakatifu, kila mtu Anayemteua na kumtumia lazima alingane na mapenzi ya Mungu.