Jumatatu, 29 Januari 2018

Dondoo ya Filamu ya Bwana Wangu Ni Nani-Kanisa la Ukiwa Linatiwa Nguvu

Dondoo ya Filamu ya Bwana Wangu Ni Nani-Kanisa la Ukiwa Linatiwa Nguvu

Baada ya ndugu katika pahali pa mkutano pa kanisa la Mzee wa Kanisa Liu Zhizhong mkutupilia mbali pingu za Biblia, walisoma mtandaoni kuhusu kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho. Kwa kusoma maneno ya Mwenyezi Mungu, walistawishwa kwa maji hai ya maisha, na waliweza kurudisha imani na upendo wao wa asili na kuthibitisha ndani ya mioyo yao kwamba Mwenyezi Mungu ndiye kuja kwa mara ya pili kwa Bwana Yesu.

Sura ya 55. Usieleze Kile Mungu Alicho Nacho na Kile Alicho

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Mungu
Sura ya 55. Usieleze Kile Mungu Alicho Nacho na Kile Alicho
Sura ya 55. Usieleze Kile Mungu Alicho Nacho na Kile Alicho

Mwenyezi Mungu alisema, Kazi na matamshi ya Mungu ya miaka michache iliyopita yote yamerekodiwa kimsingi katika kitabu, Neno Laonekana katika Mwili. Baadhi ya maneno katika kitabu hiki ni ya kinabii na yanatabiri vile enzi za baadaye zitakavyokuwa. Unabii kwa kweli ni mfumo wa jumla, na zaidi ya nusu ya kitabu kinajadili kuingia kwa mwanadamu kwa maisha, kinaweka wazi utu, na kinazungumzia kuhusu kumwelewa Mungu na tabia Yake.

Jumapili, 28 Januari 2018

Umeme wa Mashariki | Sura ya 94. Wale Ambao Hawawezi Kuishi Mbele Ya Mungu Daima Ni Wasioamini

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Mungu
Umeme wa Mashariki | Sura ya 94. Wale Ambao Hawawezi Kuishi Mbele Ya Mungu Daima Ni Wasioamini

Umeme wa Mashariki |  Sura ya 94. Wale Ambao Hawawezi Kuishi Mbele Ya Mungu Daima Ni Wasioamini

Mwenyezi Mungu alisema, Nguzo inapopandishwa kidogo, mnaweza kupiga hatua kidogo. Si jambo baya kuwa na mahitaji ya juu kutoka kwenu na wala si jambo baya kuwauliza maswali magumu. Lengo ni kuwafanya muwe na ufahamu zaidi juu ya elimu na maarifa ya kawaida ya kipengele cha weledi cha wajibu wenu.[a]

Jaweni na Upendo kwa Ajili ya Mungu | Muziki wa Akapela "Yasifu Maisha Mapya"

Jaweni na Upendo kwa Ajili ya Mungu | Muziki wa Akapela "Yasifu Maisha Mapya"

Yasifu Maisha Mapya

Haleluya! Twakushukuru na kukusifu Wewe!
Haleluya! Twakushukuru na kukusifu Wewe, Mwenyezi Mungu!

Kristo wa siku za mwisho ameonekana, akifanya kazi na kuzungumza miongini mwa wanadamu.
Neno lake hutuhukumu, kutuadibu na kututakasa, likituongoza kwenye njia sahihi ya maisha ya binadamu.

Jumamosi, 27 Januari 2018

Sura ya 88. Kulipa Gharama ili Kupata Ukweli ni Muhimu Sana

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu
Sura ya 88. Kulipa Gharama ili Kupata Ukweli ni Muhimu Sana

Sura ya 88. Kulipa Gharama ili Kupata Ukweli ni Muhimu Sana

Mwenyezi Mungu alisema, Sio rahisi kwa vijana kuendeleza kazi; wengi wao hawadumishi mwendo. Ni lazima moyo wako uwe mtulivu, lazima uweze kudumisha mwendo na uwe tayari kutumia muda kwake. Wengine hujiburudisha au kuwachezea wengine, lakini wewe unasema, "Siwezi, sina wakati. Biashara yangu ina shughuli sana. Nendeni mkajiburudishe.

Neno la Mungu Humwongoza Mtu Kuishi Maisha Mapya | Maisha Yetu ya Kanisa Yanapendeza Sana

Neno la Mungu Humwongoza Mtu Kuishi Maisha Mapya | Maisha Yetu ya Kanisa Yanapendeza Sana

Maisha Yetu ya Kanisa Yanapendeza Sana

I

Mwenyezi Mungu mwenye mwili, tunaimba nyimbo za sifa kubwa Kwako.
Wewe hutuleta katika maisha ya ufalme.
Sisi watu wa ufalme tu katika karamu yako ya fahari,
tukifurahia maneno Yako, tukitakaswa upotovu wetu.

Ijumaa, 26 Januari 2018

Christian Movie Video Swahili “Maskani Yangu Yako Wapi” | Mungu ni Kimbilio la Nafsi Yangu

Christian Movie Video Swahili “Maskani Yangu Yako Wapi” | Mungu  ni Kimbilio la Nafsi Yangu

Wazazi wa Wenya walitengana alipokuwa na umri wa miaka miwili, na baada ya hapo aliishi na baba yake na mama wa kambo. Mamake wa kambo hakuweza kumvumilia na daima alikuwa akibishana na baba yake. Alikuwa na chaguo dogo — alilazimika kumpeleka Wenya nyumbani kwa mama yake, lakini mama yake alilenga kikamilifu kuendesha biashara yake na hakuwa na muda wa kumtunza Wenya, hivyo mara nyingi alipelekwa nyumbani kwa jamaa na marafiki zake kupata ulezi.