Sura ya 88. Kulipa Gharama ili Kupata Ukweli ni Muhimu Sana |
Sura ya 88. Kulipa Gharama ili Kupata Ukweli ni Muhimu Sana
Mwenyezi Mungu alisema, Sio rahisi kwa vijana kuendeleza kazi; wengi wao hawadumishi mwendo. Ni lazima moyo wako uwe mtulivu, lazima uweze kudumisha mwendo na uwe tayari kutumia muda kwake. Wengine hujiburudisha au kuwachezea wengine, lakini wewe unasema, "Siwezi, sina wakati. Biashara yangu ina shughuli sana. Nendeni mkajiburudishe.